Unapokaza kuomba kisha anapewa mwingine ambaye hata hakuomba.

.

Hahaa hata kama sio Mimi ila naamini yanawatokea Wengine pia
Mwenyewe ilishanitokea ndiyo maana nikalikumbuka.

Wengi wanakufa na taia shingoni. Ila mwisho wa siku nilijipa moyo huwezi kukubaliwa na kila mtu.
 
Back
Top Bottom