Unaolewa na hustler? Dishi limeyumba nini?

Unaolewa na hustler? Dishi limeyumba nini?

Mume mwema hutoka kwa Mungu, achana na tamaa za dunia tafuta furaha ya kweli kwa MTU unaempenda hata kama muuza maji
 
Hakuna mwenye status ya kudumu ktk hii dunia. Dunia inazunguka, aliye juu leo kesho yupo chini and vice versa.

Unaweza oa au kuolewa na tajiri leo mwakani mambo yakabadilika and vice versa.

Nina uhakika Mtoa maada hii kisaikolojia tuu nmekusoma unatoka familia ya chini kimaisha, unafikiri KE yako ndiyo ukombozi wako.

It's unbecoming
 
Halafu hii tabia ya kudharau wanaume maskini sio nzuri kabisa...wewe sio mpangaji wa riziki maisha ni kutafuta mkuu, kwa hiyo usifikiri kila aliyeolewa na 'hustler' mwisho wake huwa mbaya.

Ajuae ya leo na kesho ni Mola mkuu

One of the best ever comment in jf Joseverest
 
Hakuna mwenye status ya kudumu ktk hii dunia. Dunia inazunguka, aliye juu leo kesho yupo chini and vice versa.

Unaweza oa au kuolewa na tajiri leo mwakani mambo yakabadilika and vice versa.

Nina uhakika Mtoa maada hii kisaikolojia tuu nmekusoma unatoka familia ya chini kimaisha, unafikiri KE yako ndiyo ukombozi wako.

It's unbecoming
Hawajui wanaume huyu ataitembeza hyo papuchi kwa wanaume anaodhani ni matajiri mpk atachoka mwenyewe
 
Wenye hivo vitu hawaangalii wanawake wa iana yako
Wanataka wanawake wanaojielewa na independent
Utachezewa mpaka unazeeka.
 
Ewe dada amka shoga yangu. Unaanzaje kuolewa na mlalahoi mwenzako? Tafuta mtu mwenye kukupa raha ya maisha; -mitoko ya nguvu, nyumba safi, usafiri poa, n.k. Siyo unaolewa na mjinga mjinga tu ana vyeti vya elimu ya juu lkn maisha ya chini. Unaambulia kuandikiwa meseji zenye maneno magumu ya kingereza tuu. Au unaolewa na mtu mwenye kifua cha mazoezi lakini hana kitu mfukoni. Huyu ataendeleza mazoezi yake kwenye mwili wako tuu.

Wenzako wakiolewa wanaenjoy eti wewe unajifariji kwamba hayo ndiyo mapenzi ya kweli. Mmh! Kweli? Unajisikiaje unapo olewa na hustler, unachakaa na kuzeeka kabla ya wakati kwasabb ya ugumu wa maisha?

Mara unakutana na classmate, choir-mate, au hata mpangaji mwenzio unakuta anazidi kuwa kijana wewe umepinda mgongo na miguu na unanuka uvundo kisa unataabika na mlalahoi anayekutesa na maisha magumu.

Eti unadanganywa tuanze maisha wote mpenzi wangu. Hii! Mkiyaanza maisha wakati mnananihino mtayakamilisha lini wakati mnaongeza shida kwa kuzaa watoto? Nenda kwa mtu mwenye maisha mazuri shosti. Acha uzwazwa.
-Umeolewa unapandishwa bodaboda ya kukodi?
-Umeolewa unaishi kwa baba mwenye nyumba?
-Umeolewa halafu mumeo ndo kwanza anatafuta kazi? Hana A wala B. Pole yako

Hivi unapokuwa unamkubalia mlalahoi wa dizaini hii unakuwa unawaza nini?

Au umevurugwa?

Wanaume masikini pishana nao round about.

HUHITAJI KUPENDWA, unapendwa na wazazi wako.
Maneno kuntu haya...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ndiyo maana yake. Wewe ulitaka mwanamke aolewe halafu ale ugali na chumvi na alazwe chini? Lisa nini? Ana nn ambacho ni special saaana hadi mwanamke akubali mateso yote hayo? Kama uume hata bata anao.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3]haki jiandae kuvamiwa si kwa mapovu hayo
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Muulize vizuri mama ako alichagua nini kwa baba ako maana kwa huu uandishi naamini hata gari haukuikuta barazani kwenu ulipozaliwa,kuna mama mmoja wa TGNP nilikua nafanya nae kazi alikua anahamasisha haki sawa na mbwembwe kibaooo siku moja nikampelekea ripoti yangu nyumbani kwake nikamkuta anapika na kufanya shughuli zote za home akija kwe semina anawaambia wenzake wasiwe wafanya kazi za ndani nahisi na wewe uko kwenye mikono salama ya mhuni mmoja ivi.
 
nimesikitika sana baada ya kuusoma huu uzi,wewe uliyeanzisha huu uzi mama yako aliolewa na huyo tajiri,kwa kifupi itakuwa tu hapana na kama ni hapana ndio maana unatokwa povu hapa,kikubwa ukumbuke hicho ukifikiriacho kaa ufe nacho huyo uliyenae akija kugundua una akili za kimasikini hivo nae atakutupa vibaya,jishughulishe uwe na vya kwako fala wewe,no free lunch,hao unaowataka wewe ndio huwa wanagegeda nyumba nzima kuanzia mama mtu wanae hadi house girl,tena usiombee kikukute unachodhania ni kizuri kwako kuolewa na mtu mwenye pesa,tunajua haujakua,ila usijitoe akili...utakuja kunywa sumu bila kulazimishwa na mtu yeyote boya wewe...wewe ndio mwanamke mpumbavu kuwahi kutokea humu JF!
 
Ha ha ha ha ha ha....
Mkuu, sexless.

Kwanza naomba utambue kuwa maisha katika wanadamu hayafanani pili Mungu ndiye mpangaji katika maisha ya wanadamu.

inaonesha ya kwamba kutembelea gari zuri aina ya escalade, chevrolet, renaultt, ni jambo geni kwako, inaonesha kutoka outing za kifahari ni jambo la ajabu kwako, hivyo basi lazima utambue hata wewe ni maskini kwa sababu huna uwezo wa kufanya yote hayo, ila unatamani kufanya kupitia mwanaume, anza wewe kwanza halafu mtafute mwanaume mwenye pesa ili aweze kukufanyia yote hayo utakayo.

kila jambo na wakati wake na siku zote kila mwana wa adamu katika maisha yake lazima aanze chini kisa apande juu,

Hata hao matajiri walianza chini wakafanya jitihada hadi wakafika juu,

Conclusion,
Kwanini usiwe hustler & self made mwenyewe ukafanya yote hayo ambayo unataka kufanyiwa.

" The art of hustling "
 
Hahahaaaaa, haki ya Mungu hawa viumbe KE ni waajabu kishenzi!!!!
 
Mimi niko tayari, Je wewe utakuja na nini?
 
Back
Top Bottom