Unaolewa na hustler? Dishi limeyumba nini?

Unaolewa na hustler? Dishi limeyumba nini?

Sasa kwa akili&mawazo yako wanawake wangeolewa na akina Bahresa,Mengi,Manji,Mo and other badala ya kuwaza ww utatoka vp katika umasikini wa mali na akili hizo za kumtegemea mwanaume kwa kila kitu katika maisha yako ,unaleta mawazo hasi kwa wanawake wenzio.ndio maana tunawatumia na kuwatupa kama tishu.narudia tena ww ni kiazi !
 
Lazima uwe kinara wa kumsogeza mbele zaidi.
Babake kashindwa kumsogeza mm nitweza? Utaanzia wapi kumsogeza mtu mwenye 30+ ama 40+ ? Anafundishika tena huyu?
 
hamjiongezi. Mnatamani mkute mnatumbua tu.
Mwanamke anakuja kwako kuyaishi maisha siyo aanze tena kujiongeza. Yaani unibebeshe matenga ya nyanya kisa kujiongeza??? Never ever, over my dead body
 
Yaani mimi hivi ninavyombana kuweka maisha yangu yawe poa kisha nije kuoa mwanamke anaemili lipstick na wanja tu, ujinga huo sifanyi kabisa
Katafute mwenye matrekta umuoe
 
Mwanamke anakuja kwako kuyaishi maisha siyo aanze tena kujiongeza. Yaani unibebeshe matenga ya nyanya kisa kujiongeza??? Never ever, over my dead body
Hongera sana.
Kwahiyo siku akiishiwa huyo Mume wako, nawe unarudi kwenu na watoto wako au utawaacha kwa baba yao?
Sikuombei hivyo ila tunajadili tu.
 
Mume mwema hutoka kwa Mungu, achana na tamaa za dunia tafuta furaha ya kweli kwa MTU unaempenda hata kama muuza maji
Mkuu umeongelea kiroho zaidi, kidunia hiyo haipo. Nianze tu kumpenda mchoma mkaa?
 
Dunia inazunguka, aliye juu leo kesho yupo chini and vice versa.
Haya in maneno ya kujifariji tuuu, na yapo hapa kwetu Afrika. Huyo Trump babu yake alikuwa tajiri na yeye tajiri na anakaribia kuzeeka hajawahi kushuka akamfikia ombaomba Matonya. Na Matonya tangu utoto mpk amefarki akiwa mzeee anaombaga tuuu barabarani wala hajawahi kupanda kiuchumi.
 
hao unaowataka wewe ndio huwa wanagegeda nyumba nzima kuanzia mama mtu wanae hadi house gir
Masikini wangapi wamefungwa kwa kubaka watito wa wake zao? Si bora hao wanaogegeda kwa hiari
 
wewe ndio mwanamke mpumbavu kuwahi kutokea humu JF!
Siku kweli mkuu. Nadhani shule niliyoitoa in kubwa kuliko uwezo wako wa kuelewa ndiyo maana unakosa hoja unatumia maneno yasiyokuwa na staha.
 
Conclusion,
Kwanini usiwe hustler & self made mwenyewe ukafanya yote hayo ambayo unataka kufanyiwa.
Mm napinga mwanamke kuamua kufunga pingu za maisha na hustler. Kwa kipi hasa? Uume tu? Mbona hata mbuzi anao huo uume? Ili nikubali kufa na kuzikana na mwanaume lazima awe na kitu cha ziada. Kipi hicho? Utajiri
 
Hongera sana.
Kwahiyo siku akiishiwa huyo Mume wako, nawe unarudi kwenu na watoto wako au utawaacha kwa baba yao?
Sikuombei hivyo ila tunajadili tu.
Siwezi kumkimbia maana imetokea bahati mbaya na itakuwa dhambi. Lkn ni dhambi kujitumbukiza kwenye shimo LA umaskini ((kuolewa na maskini) huku ukiona
 
Ww mwanamke akili yako ndogo sana wenzako siku hizi wanapambana wapate hela zao kwa jasho lao wenyewe ww unawaza kitonga uolewe kwny pesa ili utokee humo humo. Na wanawake sample km ww hua hamuolewi mnakua sidechicks tu utagongwa na kuzaa watt kila mmoja na baba ake mpaka hyo mbunye iote sugu km msasa
 
Hivyo vyote tunapitia katika maisha lazima utambue hilo hamna aliyezaliwa Mara Paap akawa na utajiri elewa hivyo
Sasa kama una 40+ bado unapanga unategemea utatoboa ? Ndiyo basis tena utakufa maskini.
 
utagongwa na kuzaa watt kila mmoja na baba ake
Kuzaa no kuzaa tu. Kuzaa na baba 7 mambo safi in bora zaidi kukiko kuzaa na baba mmoja choka mbaya. Umaskini in mbaya sana mkuu
 
Back
Top Bottom