Unaolewa na hustler? Dishi limeyumba nini?

Unaolewa na hustler? Dishi limeyumba nini?

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
27,696
Reaction score
65,329
Ewe dada amka shoga yangu. Unaanzaje kuolewa na mlalahoi mwenzako? Tafuta mtu mwenye kukupa raha ya maisha; -mitoko ya nguvu, nyumba safi, usafiri poa, n.k. Siyo unaolewa na mjinga mjinga tu ana vyeti vya elimu ya juu lkn maisha ya chini. Unaambulia kuandikiwa meseji zenye maneno magumu ya kingereza tuu. Au unaolewa na mtu mwenye kifua cha mazoezi lakini hana kitu mfukoni. Huyu ataendeleza mazoezi yake kwenye mwili wako tuu.

Wenzako wakiolewa wanaenjoy eti wewe unajifariji kwamba hayo ndiyo mapenzi ya kweli. Mmh! Kweli? Unajisikiaje unapo olewa na hustler, unachakaa na kuzeeka kabla ya wakati kwasabb ya ugumu wa maisha?

Mara unakutana na classmate, choir-mate, au hata mpangaji mwenzio unakuta anazidi kuwa kijana wewe umepinda mgongo na miguu na unanuka uvundo kisa unataabika na mlalahoi anayekutesa na maisha magumu.

Eti unadanganywa tuanze maisha wote mpenzi wangu. Hii! Mkiyaanza maisha wakati mnananihino mtayakamilisha lini wakati mnaongeza shida kwa kuzaa watoto? Nenda kwa mtu mwenye maisha mazuri shosti. Acha uzwazwa.
-Umeolewa unapandishwa bodaboda ya kukodi?
-Umeolewa unaishi kwa baba mwenye nyumba?
-Umeolewa halafu mumeo ndo kwanza anatafuta kazi? Hana A wala B. Pole yako

Hivi unapokuwa unamkubalia mlalahoi wa dizaini hii unakuwa unawaza nini?

Au umevurugwa?

Wanaume masikini pishana nao round about.

HUHITAJI KUPENDWA, unapendwa na wazazi wako.
 
Hivi unajua Takwimu za uwiano kati ya wanaume na wanawake zikoje?

Unajua hata biblia ilitabiri itafika mahala mtataka ninyi kuolewa ilimradi uitwe jina la bwana fulani?

Endelea kuchagua,bahati ya mwezio usiilalie mlango wazi.

Unaweza zeekea kwenu.

Shukrani!!!
 
Ewe dada amka shoga yangu. Unaanzaje kuolewa na mlalahoi mwenzako? Tafuta mtu mwenye kukupa raha ya maisha; -mitoko ya nguvu, nyumba safi, usafiri poa, n.k. Siyo unaolewa na mjinga mjinga tu ana vyeti vya elimu ya juu lkn maisha ya chini. Unaambulia kuandikiwa meseji zenye maneno magumu ya kingereza tuuu. Au unaolewa na mtu mwenye kifua cha mazoezi lkn hana kitu mfukoni. Huyu ataendeleza mazoezi yake kwenye mwili wako tuuu.

Wenzako wakiolewa wanaenjoy eti wewe unajifariji kwamba hayo ndiyo mapenzi ya kweli. Mmh!! Kweli?? Unajisikiaje unapo olewa na hustler, unachakaa na kuzeeka kabla ya wakati kwasabb ya ugumu wa maisha? Mara unakutana na classmate, choir-mate, au hata mpangaji mwenzio unakuta anazidi kuwa kijana wewe umepinda mgongo na miguu na unanuka uvundo kisa unataabika na mlalahoi anayekutesa na maisha magumu.

Eti unadanganywa tuanze maisha wote mpenzi wangu. Hii!!!! Mkiyaanza maisha wakati mna nanihino mtayakamilisha lini wakati mnaongeza shida kwa kuzaa watoto? Nenda kwa mtu mwenye maisha mazuri shosti. Acha uzwazwa.
-Umeolewa unapandishwa bodaboda ya kukodi?
-Umeolewa unaishi kwa baba mwenye nyumba?
-Umeolewa halafu mumeo ndo kwanza anatafuta kazi? Hana A wala B. Pole yako

Hivi unapokuwa unamkubalia mlalahoi wa dizaini hii unakuwa unawaza nn? Au umevurugwa?

Wanaume maskini pishana nao round about.

HUHITAJI KUPENDWA, unapendwa na Wazazi wako.

Huhuhuhuhuhu
Mie nasubscribe thread kabsaaa nasubiria hayo mapovu [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
 
Nimebaki kucheka tuu.... Khaaaa.... JF kuna vichwa haswaaa!!
 
Unajua dada yangu,
Maisha sivyo hivyo wewe unavyofikiri,
Halafu pia kila mtu ana chagua lake la moyoni, usijidanganye eti kwenye pesa ndiko kwenye mapenzi, ni kinyume chake.

Vile vile ndoa nyingi za dizain unayotaka wewe huwa hazidumu mara nyingi,
Mume ukimsumbua kidogo tu lazima akudharau kuwa wewe si chochote kwa maana umemkuta yeye na pesa zake, wewe si kitu.

Vile vile lazima kuwe kuna uwiano sahihi katika maisha, sio kila mtu aoelewe na tajiri, hapana
unafikiri hawa unaosema wewe ni walalaoi wataoa kina nani?

Haya mambo ya uwiano huwa ni automatic tu na hata ukijaribu principle yake inaleta sense,
Kwa mfano unafikiri kama kila mtu angekuwa tajiri hapa Duniani nani angemtegemea mwenzake?
Au kila mtu angekuwa na gari unafikiri ingekuwaje?
Ndio maana kuna masikini na tajiri, mwenye gari na mwenye baiskeli nk.

Maisha ni uwiano.
Tafadhali.
 
Back
Top Bottom