Unaolewa na hustler? Dishi limeyumba nini?

Unaolewa na hustler? Dishi limeyumba nini?

Hivi huo usawa mnaolilia kila siku mtaupata kweli..??? Maana mada nzima ni MWANAUME AWE NA HELA. Kwann usiseme WEWE MWANAMKE UWE NA HELA, unakuwa financially free na hutoyumbishwa na mwanaume..??

Sasa kma ishu ni MWANAUME MWENYE HELA, hiyo 50/50 ya kazi gani sasa..?? Haujioni kama hela ipo upande mmoja wewe utaishi kma mtumwa..??

Kila wkt ni lazima umfanye yeye afurahi ili ule hela yake, so ukimkuta muhuni na akaomba tako, huwezi kukataa, akisema hakutaki utabaki unalialia tu, ukisikia kachepuka utamsaka huyo mchepuko na hata kumuua, kila siku ww ni "ndiyo mzee". Huna option nyngn zaidi ya kukubali kila anachokitaka. Akinuna tu, imekula kwako.

Nakushauri kwmb MAPENZI YANANOGA WOTE MKIWA NA HELA. Mwanaume anakupeleka vacation New York, wewe unampeleka Paris. Ngoma droo...!!!
 
Haya in maneno ya kujifariji tuuu, na yapo hapa kwetu Afrika. Huyo Trump babu yake alikuwa tajiri na yeye tajiri na anakaribia kuzeeka hajawahi kushuka akamfikia ombaomba Matonya. Na Matonya tangu utoto mpk amefarki akiwa mzeee anaombaga tuuu barabarani wala hajawahi kupanda kiuchumi.

Sawa mimi najidanganya, je ww ushafikia ata 1/64 ya Trump mkuu?! Msipende kuishi maisha ya kuigiza wakati maisha yenu ni ya mihogo na kisamvu.
Kina Trump na kina dangote wapo wangapi dunia hii?!
Mtaishia kujipa hope mfu tuu. Hapa Tz ni kilimo cha jembe la mkono na biashara mtaji laki tatu tuu.
Kubet nayo ni viable investment nchini saivi utegemee kuwa kama Trump thubutuuuuuuuu...
 
Unawadanganya wenzio ili wapotee huku wewe umeolewa na kinyozi..
Acha hayo mambo jirani
 
aah wapi kwani ukiwa tajiri ndo hufi au unadhani Israel anapokea rushwa
Hoja hapa siyo kifo. Nauliza lini utafurahia maisha kwa kujirusha na kutoka out za nguvu na mwenzi wako? Maana kila siku bajeti imebana.
 
Na wakipata matako Julia mbwata atakuona takataka aio type take atatafuta wengine.
 
Mkuu kama wewe ni KE basi utakua gumegume lililowashinda wanaume mpaka mitume.. Na kama ni ME basi kuna mlalahoi amekufanya.. Yaaan hilo povu ungelisafishia hata choo cha bar unapofanya kazi..
 
We umeolewa na tajiri? Kama jibu ni hapana basi jiandae kuzalishwa tu na kubaki ukishuhudia `hustlers' wakiendelea kuvuta majiko.

Halafu madame type yako unakutaga ni wabaya tu na wana hasira/stress za kukosa wanaume wanaojielewa wanabaki kutumika na kutupwa mithili ya tissues.
 
Ewe dada amka shoga yangu. Unaanzaje kuolewa na mlalahoi mwenzako? Tafuta mtu mwenye kukupa raha ya maisha; -mitoko ya nguvu, nyumba safi, usafiri poa, n.k. Siyo unaolewa na mjinga mjinga tu ana vyeti vya elimu ya juu lkn maisha ya chini. Unaambulia kuandikiwa meseji zenye maneno magumu ya kingereza tuu. Au unaolewa na mtu mwenye kifua cha mazoezi lakini hana kitu mfukoni. Huyu ataendeleza mazoezi yake kwenye mwili wako tuu.

Wenzako wakiolewa wanaenjoy eti wewe unajifariji kwamba hayo ndiyo mapenzi ya kweli. Mmh! Kweli? Unajisikiaje unapo olewa na hustler, unachakaa na kuzeeka kabla ya wakati kwasabb ya ugumu wa maisha?

Mara unakutana na classmate, choir-mate, au hata mpangaji mwenzio unakuta anazidi kuwa kijana wewe umepinda mgongo na miguu na unanuka uvundo kisa unataabika na mlalahoi anayekutesa na maisha magumu.

Eti unadanganywa tuanze maisha wote mpenzi wangu. Hii! Mkiyaanza maisha wakati mnananihino mtayakamilisha lini wakati mnaongeza shida kwa kuzaa watoto? Nenda kwa mtu mwenye maisha mazuri shosti. Acha uzwazwa.
-Umeolewa unapandishwa bodaboda ya kukodi?
-Umeolewa unaishi kwa baba mwenye nyumba?
-Umeolewa halafu mumeo ndo kwanza anatafuta kazi? Hana A wala B. Pole yako

Hivi unapokuwa unamkubalia mlalahoi wa dizaini hii unakuwa unawaza nini?

Au umevurugwa?

Wanaume masikini pishana nao round about.

HUHITAJI KUPENDWA, unapendwa na wazazi wako.
Angalia utazeekea kwenu mkuu
 
Hoja hapa siyo kifo. Nauliza lini utafurahia maisha kwa kujirusha na kutoka out za nguvu na mwenzi wako? Maana kila siku bajeti imebana.
Maisha ni zaidi ya kujirusha na kutoka out za nguvu
 
Kilaza huyu... ndali vyeti faki vingine vipo huku.. haaaa!! Hakuna kitu muhimu zaid ya FURAHA NA AMANI, ukipata hivyo vingine utaongezewa
 
Always time will tell,,,,falsafa ya maisha haiko hivyo.....


Kwa mtoa post
 
Yaani mimi hivi ninavyombana kuweka maisha yangu yawe poa kisha nije kuoa mwanamke anaemili lipstick na wanja tu, ujinga huo sifanyi kabisa
Kamwe siwezi tafuta pesa eti lije limwanamke from nowhere kufuja pesa zangu never,nimeos but Mimi ndo controller wa pesa ila uzoefu unaonesha ndoa zilizofanikiwa hazina upuuzi wa hiyo dada
 
Back
Top Bottom