Unaolewa na hustler? Dishi limeyumba nini?

Unaolewa na hustler? Dishi limeyumba nini?

Weee wangapi wamekukubalia unachosema ilihali huna hela .....
katika mahusiano kukubaliwa vitu unavyotaka haihusiani na hela unaweza usiwe na pesa na bado ukakubaliwa.
Choice is yours .... Being a surviver or to live a life everyone wish tooo
Kwakweli the choice is yours but choose wisely, veeeeeery wisely.
 
Kuna watu na viatu dunia Hii, mtoa mada wewe ni kiatu
 
Wewe jivunie PESA ....wenzio tunajivunia MASHINE....wewe OA NA PESA ZAKO..,mke humridhishi ANAKUJA KWA HUSTLER.....pesa hainipi shida sana najuwa AS LONG AS IAM MENTALY...AND PHISICALLY FIT....nitapata tu pesa..mbaya UWE NA PESA ZAKO....MKE MZURI LAKINI mashine LOW CHARGE...hesabu UMEUMIA
 
ndoa za kizazi hiki eeh Mungu inua mkono juu ya hizi ndoa za kufuata mali pekee
 
Ewe dada amka shoga yangu. Unaanzaje kuolewa na mlalahoi mwenzako? Tafuta mtu mwenye kukupa raha ya maisha; -mitoko ya nguvu, nyumba safi, usafiri poa, n.k. Siyo unaolewa na mjinga mjinga tu ana vyeti vya elimu ya juu lkn maisha ya chini. Unaambulia kuandikiwa meseji zenye maneno magumu ya kingereza tuuu. Au unaolewa na mtu mwenye kifua cha mazoezi lkn hana kitu mfukoni. Huyu ataendeleza mazoezi yake kwenye mwili wako tuuu.

Wenzako wakiolewa wanaenjoy eti wewe unajifariji kwamba hayo ndiyo mapenzi ya kweli. Mmh!! Kweli?? Unajisikiaje unapo olewa na hustler, unachakaa na kuzeeka kabla ya wakati kwasabb ya ugumu wa maisha? Mara unakutana na classmate, choir-mate, au hata mpangaji mwenzio unakuta anazidi kuwa kijana wewe umepinda mgongo na miguu na unanuka uvundo kisa unataabika na mlalahoi anayekutesa na maisha magumu.

Eti unadanganywa tuanze maisha wote mpenzi wangu. Hii!!!! Mkiyaanza maisha wakati mna nanihino mtayakamilisha lini wakati mnaongeza shida kwa kuzaa watoto? Nenda kwa mtu mwenye maisha mazuri shosti. Acha uzwazwa.
-Umeolewa unapandishwa bodaboda ya kukodi?
-Umeolewa unaishi kwa baba mwenye nyumba?
-Umeolewa halafu mumeo ndo kwanza anatafuta kazi? Hana A wala B. Pole yako

Hivi unapokuwa unamkubalia mlalahoi wa dizaini hii unakuwa unawaza nn? Au umevurugwa?

Wanaume maskini pishana nao round about.

HUHITAJI KUPENDWA, unapendwa na Wazazi wako.
Kwa akili hizo utaishia kuchezewa na kuzalishwa kama mbwa tafuta mali zako shenzi wewe usitegemee mwanaume
 
Sawa mkuu umenena vema. Lkn wanaume wa siku hizi wanahangaika hovyo. Anakuja kutulia na kuamua kuoa tayari yu takribani miaka 40. Sasa mwanaume wa hivi hata uwe na upako huwezi kumpushi mfike mahali mtoke kimaisha. Ni bora kwenda kwa aliyepiga hattua.

Idea yako ya kusaidiana ilikuwa inafanya kqzi miaka ya nyuma wakati vijana ktk umri wa miaka 18-20 walikuwa wakioana na kuanza safari ya maisha pamoja
Nani aliyepiga hatua akuoe wewe kapuku???Wewe komaa na unaoendana nao
 
Hivi unajua Takwimu za uwiano kati ya wanaume na wanawake zikoje?

Unajua hata biblia ilitabiri itafika mahala mtataka ninyi kuolewa ilimradi uitwe jina la bwana fulani?

Endelea kuchagua,bahati ya mwezio usiilalie mlango wazi.

Unaweza zeekea kwenu.

Shukrani!!!
Takwimu zikukudanganye. mwanaume wengi wako magerezani, wengine mateja, wengine kwenye selo za polisi daily wengine mashoga hivyo uwiano HAUWEZI kuwapo ila si kwamba HAWAPO . potentials ni wachache, madaktari, mainjinia, wafanyabiashara...
 
Ninashukuru nimeolewa kwa mapenzi wala si kwa kipato chake. Uwepo wake ndiyo ninaouhitaji
Kupitia koment tu nlikujua kiasi gani upo smart babu aspirin amepata mke
Huu ndo uzuri wa kuwa msomi nakukubal sana dadangu
 
Ewe dada amka shoga yangu. Unaanzaje kuolewa na mlalahoi mwenzako? Tafuta mtu mwenye kukupa raha ya maisha; -mitoko ya nguvu, nyumba safi, usafiri poa, n.k. Siyo unaolewa na mjinga mjinga tu ana vyeti vya elimu ya juu lkn maisha ya chini. Unaambulia kuandikiwa meseji zenye maneno magumu ya kingereza tuuu. Au unaolewa na mtu mwenye kifua cha mazoezi lkn hana kitu mfukoni. Huyu ataendeleza mazoezi yake kwenye mwili wako tuuu.

Wenzako wakiolewa wanaenjoy eti wewe unajifariji kwamba hayo ndiyo mapenzi ya kweli. Mmh!! Kweli?? Unajisikiaje unapo olewa na hustler, unachakaa na kuzeeka kabla ya wakati kwasabb ya ugumu wa maisha? Mara unakutana na classmate, choir-mate, au hata mpangaji mwenzio unakuta anazidi kuwa kijana wewe umepinda mgongo na miguu na unanuka uvundo kisa unataabika na mlalahoi anayekutesa na maisha magumu.

Eti unadanganywa tuanze maisha wote mpenzi wangu. Hii!!!! Mkiyaanza maisha wakati mna nanihino mtayakamilisha lini wakati mnaongeza shida kwa kuzaa watoto? Nenda kwa mtu mwenye maisha mazuri shosti. Acha uzwazwa.
-Umeolewa unapandishwa bodaboda ya kukodi?
-Umeolewa unaishi kwa baba mwenye nyumba?
-Umeolewa halafu mumeo ndo kwanza anatafuta kazi? Hana A wala B. Pole yako

Hivi unapokuwa unamkubalia mlalahoi wa dizaini hii unakuwa unawaza nn? Au umevurugwa?

Wanaume maskini pishana nao round about.

HUHITAJI KUPENDWA, unapendwa na Wazazi wako.
Hata Bashite was once a hustler,,,
 
Bila shaka aliyeandika uzi huu atakuwa ni mwanamke mfupi!akili zao wanazijua wenyewe
 
Back
Top Bottom