Unamshauri nini mtu anayeenda kutafuta maisha jiji la Dar es Salaam?

Unamshauri nini mtu anayeenda kutafuta maisha jiji la Dar es Salaam?

jamaikatz

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2023
Posts
369
Reaction score
1,252
Unamshauri nini mtu anayeenda kutafuta maisha jiji la Dar es Salaam?
 
Huku makalio ni mengi barabarani kuliko hela, akiendekeza uzinzi atarudi kwao matraco matupu kama alivyokuja.
 
Maisie ni popote tu, aweke nia awe na moyo wa uvumilivu matumaini na imani.

Ila huu mji ni mgumu kwa kiasi cha kutosha, Una changamoto nyingi sambaba na frusa, ila wingi wa changamoto unapelekea kukata tamaa na kurudi nyuma kimafanikio.
 
Back
Top Bottom