nasikia hadi rais wa marekani hana taarifa za kutosha kuhusiana na hili eneo.
Trump anaiongoza America kupitia visible government lakini kuna kitu kinachoitwa invisible government hii ndo inayohusiana na mambo ya siri zote hasa za Aliens invasion n.k....Area 51 ni moja wapo ya maeneo ambayo yanahusishwa na kutua kwa viumbe toka dunia za mbali hivyo lina security ya hali ya juu sana....wanasema ardhini wamechimbia highly magnet ambayo hata ndege ikipita juu inatrapiwa haraka sana inapotea mitaa hiyo,pia kuna kamera zenye megapixel 500 mbazo hata yai la sisimizi linaonekana ....
ha ha ha ukifuatilia conspiracy za eneo hili utabaki umeduwaaa.....pia hilo eneo linatajwa kama eneo la kufanyia majaribio ya biological weapons hasa mambo ya nuclear testing pamoja na viral innoculation tests,,,
lakini kwa upande mwingine baadhi ya documentaries za EDWARD SNOWDEN zinasema kuwa viral innoculation tests zinafanyika bala la ANTACTICA NA SIO AREA 51,,hapo napo bado panaleta sintofaham kwa undani zaidi...
but inshort hilo eneo lina sub-station underground ambazo inasemekana zimuunganishwa na tunnel zinazotokea PERU,ambako pia kuna ALIENS SITTINGS,lakini ukisome hidden documentary zinaizungumzia AREA 51 kama sehemu ya handaki ambapo kama kuna vita yoyote basi rais na viongozi potential wa nchi wanaweza kuja kufichwa wakasafirishwa na kutokea peru huko,,,yani kuna mambo kibao hayajawekwa wazi kuhusu eneo hilo but formally linajulikana kama eneo miongoni mwa maeneo yenye siri kubwa sana america na dunia kote,,,,