Unalijua eneo la siri zaidi duniani Area 51?

Niliwahi kusoma historia flani ya zamani kuwa...
Aliens, wakiwa ni viumbe wa angani wenye akili na teknolojia kuliko binadamu wote walishaishi kwenye baadhi ya sayari lakini hali ya hewa haikuwa sufficient kwao.

Kuanzia miaka ya 1200's Aliens walianza kuwa na uhusiano na Binadamu wa sayari hii ya Earth ili wapate makazi duniani.

Viumbe hao + jamii ndogo sana ya kabila la dogon huko mali ndio waliotengeneza kaburi la Farao Khufu na wake zake.

Teknolojia yao iko juu sana na ndio siri ya teknolojia ya wamarekani na waingereza, hata ugunduzi wa ndege, rockets, computer una mchango wa asilimia kubwa sana kutoka kwao.
 
Hakuna kitu kama hicho!....hamna kitu kinachoitwa UFO!...UFO husababishwa na akili ya binadamu pale inaposhindwa kutafsiri kile ilichokiona hata kama kimetengenezwa na binadamu na hata mataifa makubwa yanalijua hilo ndo maana huwa hawana hofu ya kupeleka vyombo vyao anga za mbali!....ingekuwa UFO ni issue ya kweli basi mataifa makubwa yangehofia kupeleka vifaa vyao anga za mbali kwa kuogopa kuwa vitatunguliwa na UFO!
Ndugu unapokua umefika mwisho wa kuelewa jambo fuani, usiseme wala usipende kusema kuwa "hakuna kitu kama hicho",
 
Hivi kama wazungu wanaweza kutuaminisha katika movies zao zenye uhalisia wa jambo wanalolikusudia,ni kipi watashindwa kufanya ili tuwaamini?
UFO zipo jamani mbona wabishi,kama hamuwaamini wazungu kuhusu Uwepo wa ALIENS na UFO mbona hushangai kuhusu,binadamu kwenda kuka angani kwa mwaka mzima,au hushangai mimi na wewe tunawasiliana sasa hivi kwa internet au kumtazama Trump live kwa TV.
 
Kazi ya UFO ni nini?
Nini sababu ya msingi ya wamarekani kutaka serikali yao iongelee hao viumbe ?
Kwasababu vimewahi kujitokeza vyombo vya ajabu na viumbe vya ajabu katika Anga la marekani Kwenye baadhi ya nyakati
_20180309_105234.JPG
_20180309_105213.JPG
_20180309_105151.JPG
_20180309_105138.JPG
 
Niliwahi kusoma historia flani ya zamani kuwa...
Aliens, wakiwa ni viumbe wa angani wenye akili na teknolojia kuliko binadamu wote walishaishi kwenye baadhi ya sayari lakini hali ya hewa haikuwa sufficient kwao.

Kuanzia miaka ya 1200's Aliens walianza kuwa na uhusiano na Binadamu wa sayari hii ya Earth ili wapate makazi duniani.

Viumbe hao + jamii ndogo sana ya kabila la dogon huko mali ndio waliotengeneza kaburi la Farao Khufu na wake zake.

Teknolojia yao iko juu sana na ndio siri ya teknolojia ya wamarekani na waingereza, hata ugunduzi wa ndege, rockets, computer una mchango wa asilimia kubwa sana kutoka kwao.
Naweza kusema inaukweli ndani yake, nimejaribu kufuatilia historia ya Alliens na ukweli kuhusu uwepo wao nikajua haya mataifa makubwa yana siri nzito sana wasiyotaka Dunia iijue
 
Hakuna kitu kama hicho!....hamna kitu kinachoitwa UFO!...UFO husababishwa na akili ya binadamu pale inaposhindwa kutafsiri kile ilichokiona hata kama kimetengenezwa na binadamu na hata mataifa makubwa yanalijua hilo ndo maana huwa hawana hofu ya kupeleka vyombo vyao anga za mbali!....ingekuwa UFO ni issue ya kweli basi mataifa makubwa yangehofia kupeleka vifaa vyao anga za mbali kwa kuogopa kuwa vitatunguliwa na UFO!
Ndio maana kabla ya hawa wanasayansi kwenda wenyewe wanatuma chombo pekeake bila MTU Kama walivyofanya Kwenye MARS.. Wanafanya utafiti Wa kutosha..
 
Area 51 ni kweli ipo na picha za satelite za hivi karibuni zinaonyesha kukuzwa kwa eneo hilo kulingana na likivyokua mwanzo kwa maana kwamba shughuli za eneo hilo zimeongezwa.
Kikawaida eneo hili haliruhusiwi kupigwa picha ila kuna kipindi satelite moja ilifanya makosa na kupiga picha eneo hilo na picha zake kusambaa.
Eneo hilo lipo jangwani huko Nevada.
 
UFO zipo jamani mbona wabishi,kama hamuwaamini wazungu kuhusu Uwepo wa ALIENS na UFO mbona hushangai kuhusu,binadamu kwenda kuka angani kwa mwaka mzima,au hushangai mimi na wewe tunawasiliana sasa hivi kwa internet au kumtazama Trump live kwa TV.
Sawa si kwamba ninabisha,ila ninazungumzia uhakika wa hayo unayoyasema,kwa maana bado imebaki ni siri kubwa miongoni mwao,mimi na wewe ni watu wa mapokeo tuu,ila hakuna mwenye uhakika thabiti kuhusiana na hayo mambo
 
Naweza kusema inaukweli ndani yake, nimejaribu kufuatilia historia ya Alliens na ukweli kuhusu uwepo wao nikajua haya mataifa makubwa yana siri nzito sana wasiyotaka Dunia iijue
Ndugu wala habari za Aliens na UFO sio za mataifa makubwa tu,UFOs na Aliens wameshaoneka katika nchi nyingi tu za kiafrika,South Africa,Zimbabwe,West Africa n.k,binafsi niliwahi ona viumbe wa ajabu wakati nikiwa mtoto,nahisi Walikua ni Aliens sina uhakika lkn,nimekuja kugundua miaka hii baada kuanza kusoma habari zao.
 
Hivi kama wazungu wanaweza kutuaminisha katika movies zao zenye uhalisia wa jambo wanalolikusudia,ni kipi watashindwa kufanya ili tuwaamini?
Haya mataifa makubwa yana siri nzito sana, Movie hasa za Marekani sikuzote zina akisi kitu kilichopo au kilicho katika utafiti.. Wana vifaa vya ajabu Sana ambavyo nchi zetu tutasubiri miaka billion 1000 kuja kuvitengeneza
 
Sawa si kwamba ninabisha,ila ninazungumzia uhakika wa hayo unayoyasema,kwa maana bado imebaki ni siri kubwa miongoni mwao,mimi na wewe ni watu wa mapokeo tuu,ila hakuna mwenye uhakika thabiti kuhusiana na hayo mambo
Mkuu hata kwao sio siri ila na wenyewe wanaogopa kuwatangazia waziwazi watu kwa vile wanaogopa kuleta hofu kwa binadamu,na wao pia wanafanya utafiti juu ya UFO na ALIENS maana huja na kupotea,Ufos zimeonekana sehemu mbalimbali Duniani na watu wamepiga picha kivyao na picha zipo ukiGoogle waweza ona.UFOs zimeonekana RUSSIA,CHINA,UK,JAPAN,INDIA,CANADA BRAZIL,CHILE,SENEGAL,n.k
 
Hakuna kitu kama hicho!....hamna kitu kinachoitwa UFO!...UFO husababishwa na akili ya binadamu pale inaposhindwa kutafsiri kile ilichokiona hata kama kimetengenezwa na binadamu na hata mataifa makubwa yanalijua hilo ndo maana huwa hawana hofu ya kupeleka vyombo vyao anga za mbali!....ingekuwa UFO ni issue ya kweli basi mataifa makubwa yangehofia kupeleka vifaa vyao anga za mbali kwa kuogopa kuwa vitatunguliwa na UFO!
Ungekuwa umegundua mswaki ningekuamini
 
Back
Top Bottom