Unalijua eneo la siri zaidi duniani Area 51?

Anything is possible kwani yapo mengi sana ambayo hatuwezi yaona kwa macho yetu ya kibinadamu lakini yanatendeka
 
wazungu wana connection na mashetani kuliko hata waafrica, mfano,hiyo free mason ambayo mnadanganyana hapa bongo kuwa hata kina diamond ambao wameenda tu kwa mganga ni freemason, wazungu wako mbali sana, chama chao kina connection na shetan kabisa na kinarithiwa hadi na watoto wao, wanaongea na shetani kabisa live, wana operate kiroho. wana cults nyingi sana.
Vipi kuhusu mataifa mengine kama Uchina, Urusi, Japan , Ujerumani nk ambao pia wako juu kiteknolojia kama wanaconnection na hayo mashetani?
Kama jibu ni ndio kwann watu weupe tu ndio wawe na connection na mashetani kwa ajili ya teknolojia na kama jibu ni hapana hayo mataifa mengine wanatoa wapi ujuzi?

Halafu kama source ya teknolojia ni mashetani mbona Afrika wao hawaconnect nao wapewe maujuzi?
Samahani kwa maswali mengi lkn.
 
Palantir
Malcom Lumumba
Da'Vinci
wakuu salamu"" kwni hamkuiona hii topic hebu tieni neno tafadhali ..mpaka muda huu bado Nipo nusu nusu..kama sio robo kilo."" naamini then siamini
Me siamini katik hizo dhana!.. Ni hoax tu za watu kuishi kwenye fantasy dreams zao!.. Hao alien iweje waonekane Ulaya tu?, je Africa haiwezekani kuwaona ukiitoa Zimbabwe waliposema walionekana!.
Area 51 ni eneo la Research and Development so kuwa secured ni jambo la kawaida ili kulinda vumbuzi zilizopo pale, sawa na Kapustin Yar kule Russia!. Amini haya mataifa yaloendelea lazima yawe na maeneo ambayo ni Classfied ili kulinda research zao, ndio maana hata Russia ana miji ambayo mgeni huruhusiwi kuingia (Closed City) je tujiulize humo wanakaa watu gani ambao wageni haturuhusiwi kukutana nao?.
Na hao Alien kama kweli wapo advanced kutuzidi iweje vumbuzi zingine zitoke nchi masikini kama Africa si wangekuwa wamezileta tayari wao?..
Mwingine anakuja na notion Wazungu wanatumia Uchawi sasa mbona Africa karne ya 21 bado tu wachawi na masikini au kuna jini/shetani la kizungu na kiafrica?. Kama wazunhu wachawi si wawapige Vipapai Putin, Asad, Kim na Jin ili waweze kufanya yao kwa amani!.
Wenzetu waliacha Imani za kichawi kwenye kizazi cha mwanga na kuuliza (age of enlightment and reason) karne ya 18 kipindi wapo Lost Generation lakini sisi hadi leo Generation X na Millenial generation tumestick nao tu.
 
hiki ndicho nilichokuwa nahitaji kukisikia aisee"" asante kwakushiriki....hahaa
 
Lakin hali hiyo haikusaidia kitu!
Baada ya kupita wiki 2 wale viumbe walirudi tenaa!
Safari hii waliongezeka na walizid kutisha sanaaa!!!
Tembea yao ilikuwa ya ajabu Sana'a!
Na walikuwa wanatumia screen kama hizi za kutach kufanya madude yao(sikuw najua wala kuelewa)
Kutokana na uoga na wasiwasi ikabidi nipige kelele but nilikuwa n kama nimejitia kitanz!
Kuna kiumbe alinisogelea yaan mpaka Leo ilee taswira yake IPO kichwan!!
Alinishika kwa kutumia hewa(yaan sijuh alinishikaje sikuona aliponishika laikn ilkkuwa mzito kutoka)
Nilikuwa sielew wala sijuh LA kufanya!
Oops nisingependa nikumbuke
But nilichukuliwa na kupelekwa nisipopajuaaa lakin
Ajabu huko nilipopelekwa kulikuwa na binadamu kama cc tena wazungu
Naendelea
Hii movie nshaiona ila jina lake melisahau ..ngoja nikikumbuka jina ntawapa mrejesho
 
Mambo ya aliens Na maisha sehem kwengine tofauti Na duniani hua hayajasibitishwa Na mtu yeyote...mpaka Leo wnasayansi wanatafuta ushahidi kuhusu hao viumbe lakin hatuna..Na hakuna picha yeyote ya hawa viumbe zaid ya picha za kubuniwa..NB kuna watu wanakutana Na majini afu wanazani Ni hao viumbe
 
Hata hio. Area 51 huko USA hakuna vitu hivyo Ni uwongo wa watu tuh ....ukiwafata wenye hio kambi ukawaambia masuala ya aliens watakushangaa
 
Mtanzania katika ubora wake

kila asichokiona yeye kwa macho yake mawili,basi hukataa kuwa hakipo na wala haiwezekani!!!!
 
Mambo ya aliens Na maisha sehem kwengine tofauti Na duniani hua hayajasibitishwa Na mtu yeyote...mpaka Leo wnasayansi wanatafuta ushahidi kuhusu hao viumbe lakin hatuna..Na hakuna picha yeyote ya hawa viumbe zaid ya picha za kubuniwa..NB kuna watu wanakutana Na majini afu wanazani Ni hao viumbe
Mkuu haya masuala yanajulikana hata kwa wakubwa ila bado yapo sirini sisi wananchi wa kawaida ndio hatuambiwi ila maserikali haya yana taarifa nayo zote

Unakumbuka the philadelphia experiment?? Unakumbuka usiri uliowekwa kiasi kwamba hata ukichunguza tu unauawa?? Haya mambo hta yakiwepo wanayajua watu wachache hivyo usihoji ushahidi hoji KWANINI YANAFICHWA

Jikumbushe michoro ya kule azteca..... Enzi hizo hakuna ndege je nani aliweza kupanda juu angani na kuelekeza namna ya kuchora michoro ile ya ajabu ukiwa angani?? Michoro kwenye mapango kuanzia indonesia hadi misri..... Brazil hadi uturuki je nani alichora michoro ya ndege za aliens miaka zaidi ya 2000 iliopita?? Ina maana hta hizo paintings zimetengenezwa?? Michoro imetengenezwa?? Vipi kuhusu memoir ya Christopher columbus nayo imepotoshwa??

Tusipende kubisha kila kitu kumbuka dunia hii 70% ni maji na hayo maji zaidi ya 70% hatujawahi kuidiscover wala kuijua ina nini ndani yake so why reach a stalemate conclusion??
 
Mkuu ukisema ubishane Na mwafrica utapoteza Muda
 
vitu vya kutengeneza tu.. walitudanganya wamekwenda mwezina mpaka leo hawajaenda tena.. watachezea akili
 
jambo unalotakiwa kuelewa kuanzia leo ni kwamba, technolojia nyingi hutoka kuzimu kwa shetani, hata hizo computer tunatumia huko kuzimu walianza kuzitumia miaka mingi sana, design nyingi za magari kabla hazijatoka hudesigniwa kuzimu everything. hapa duniani pia tunaishi na wanadamu kabisa ambao wanaoa na kuolewa ambao sio wanadamu halisi, ni nusu mwanadamu nusu jini/shetani, wanawake wengi sana huwa wanazaa na majini bila wao kujua, reincarnation ya mashetani na wanadamu inatokea sana na zao la hao watu nusu ndio hao wanaotumiwa na shetani kuendesha ulimwengu, hao ni mashetani ambao wamevaa miili ya wanadamu na wana connection zote. wavumbuzi wengi huwa sio wanadamu wa kawaida na kama ni wanadamu wa kawaida huwa wameingiwa na shetani anakuwa ndani yao na wanafanya mambo. magenious wote huwa sio wanadamu wa kawaida bali ni mashetani nusu. wazungu wengi hufuga misukule na huituma hata angani kusuka mitambo na networks, uswiss ni nchi mojawapo yenye sayansi ya kichawi kutumia watu waliokufa kutengeneza ndege na magari.
 
Back
Top Bottom