Unalijua eneo la siri zaidi duniani Area 51?

mjumbe wa bwana

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2016
Messages
3,667
Points
2,000

mjumbe wa bwana

JF-Expert Member
Joined Sep 19, 2016
3,667 2,000
Kama ni kweli ina maana huyo kiumbe hazeeki!?
Je, si angeliwapa ujanja wa kuwabana IS haya huyo Enwazi!?
Jf bwana si mchezo
mkuu unajua vifaa vya kivita vinavyotumiwa na makundi ya kigaidi vinatoka hapo Kwa huyo jamaa.
lengo kuu la hivyo vikundi ni kunyakua mali asili za watu wa nchi husika
rejea alichomfanya Gaddafi na hakuna nchi yoyote iliokoroma kumkemea
 
Omary Ndama

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2017
Messages
3,131
Points
2,000

Omary Ndama

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2017
3,131 2,000
Yup,eneo hilo ndipo hadi leo wapo the two white tall aliens,ukweli ni kwamba vituvingi wanavyofanya hawa jamaa sio akili za kibinadamu,wanapewa na aliens ambao wana uwezo wa kuishi hadi miaka 10,000
Unadhani mpaka watuwamefikia hatua ya kufanya project ya CERN bila msaada ya hivyo viumbe,project ambayo ikikosewa kidogo tu ita destroy dunia nzima?
wengi wa area 51 wako kwenye unit ya MEN IN BLACK
Ujitahidi kuandika ktk lugha ya St kayumba mkuu, unapoandika CERN kwa mtu wa kawaida ni ngumu kukuelewa....
 
Super Sub Steve

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2011
Messages
14,031
Points
2,000

Super Sub Steve

JF-Expert Member
Joined Jul 9, 2011
14,031 2,000
Yup,eneo hilo ndipo hadi leo wapo the two white tall aliens,ukweli ni kwamba vituvingi wanavyofanya hawa jamaa sio akili za kibinadamu,wanapewa na aliens ambao wana uwezo wa kuishi hadi miaka 10,000
Unadhani mpaka watuwamefikia hatua ya kufanya project ya CERN bila msaada ya hivyo viumbe,project ambayo ikikosewa kidogo tu ita destroy dunia nzima?
wengi wa area 51 wako kwenye unit ya MEN IN BLACK
Eti brain zote za Dunia hii kwenye teknolojia zipo MIT (Massachusetts Institute of Technology,vipi kati ya MIT na Area 51 wapi wapo juu?
 
lifecoded

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2018
Messages
1,351
Points
2,000

lifecoded

JF-Expert Member
Joined May 9, 2018
1,351 2,000
Itakua unatoka MIT ,kisha unaingia kufanya kazi zaidi Area 51 ( mtazamo Wangu )
Area 51 ni moja kati ya maeneo ambayo ndani yake kuna maabara za Undeground ambapo testing zote za mambo ya technolojia yanafanyika....

Moja ya kitu kinachofanyika Area 51 sub base 3 tunnel 9.0 ni human cloning project ambapo ni mambo ya siri nzito sana...

Huko ndo wanapikwa watu mbadala kwa ajili ya kuja huku duniani kureplace the lost and captured one..
Ndani ya area 51 kuna turnel zinazoasafiri umbali mrefu sana kulifanya eneo hilo kuwa na miji midogo ndani( sub underground cities) ambazo kazi yake ni kutest makazi na utendaji kazi wa viumbe hao wapya..

Lakini pia Viral innoculation testing ndo zinafanyikia mule ndani..

zikitoka nje huku ni kuja kufanya kazi kwetu tu...

Ni hatare sana chief .....

we have to dance with this frequency ya maangamizi...who is to survive now...between me and you...who gonna start to unolock the pattern of reality and work in right way ??

kazi ipo....stay awake
 
mtu chake

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2010
Messages
15,839
Points
2,000

mtu chake

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2010
15,839 2,000

Mkuu umenifungua sana khs Area 51, na mambo yake ,huwa naisomaga tu kwa juu juu
 
lee van cliff

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Messages
2,023
Points
2,000

lee van cliff

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2013
2,023 2,000
Mkuu umenifungua sana khs Area 51, na mambo yake ,huwa naisomaga tu kwa juu juu
Mkuu Area 51 sio sehemu ya ajabu sana kama inavyoelezwaga na watu,ni sehemu ya kawaida tu kama sehemu nyingine,unajua watu wanaionaga Marekani kama kipande cha Mbingu na maana makazi ya MUNGU lakini si kweli.Hapa duniani kuna sehemu nyingi tu kama Area 51.Na maana ya Area 51 ni code name iliyokuwa inatumiwa na wanajeshi wa Marekani waliokuwa vitani Vietnam ili kuwaficha maadui zao juu ya mahali au eneo kilipo kituo hicho.Kwa kufupisha Area 51 ni eneo la siri ambapo hufanyika tafiti za siri sana kuhusu sayansi na teknolojia za juu sana za vitu na silaha,hususan silaha.Sasa kwa hali hiyo kuna maeneo kam hayo yapo kwa kila nchi kubwa zenye sayansi na teknolojia ya juu sana lakini kila nchi ina jina lake.UK,FR,RUSSIA,GERMAN,CHINA ,CANADA,USA,JAPAN etc wana maeneo kama hilo eneo, na lengo ni hilo hilo.Ila kwa sababu Marekani watu wanaiona kama ni kitu ama nchi ya kipekee.lakini sio cha kipekee.Area 51 hakuna vitu inafanya wengine hawafanyi,tofauti niuwezo tu.
 
Forum statistics

Threads 1,343,281
Members 515,004
Posts 32,778,886
Top