Unalijua eneo la siri zaidi duniani Area 51?

Unalijua eneo la siri zaidi duniani Area 51?

Wataangaika Na technology yao lakin hawatagundua life sehem yeyote zaid ya duniani...
 
Lakin hali hiyo haikusaidia kitu!
Baada ya kupita wiki 2 wale viumbe walirudi tenaa!
Safari hii waliongezeka na walizid kutisha sanaaa!!!
Tembea yao ilikuwa ya ajabu Sana'a!
Na walikuwa wanatumia screen kama hizi za kutach kufanya madude yao(sikuw najua wala kuelewa)
Kutokana na uoga na wasiwasi ikabidi nipige kelele but nilikuwa n kama nimejitia kitanz!
Kuna kiumbe alinisogelea yaan mpaka Leo ilee taswira yake IPO kichwan!!
Alinishika kwa kutumia hewa(yaan sijuh alinishikaje sikuona aliponishika laikn ilkkuwa mzito kutoka)
Nilikuwa sielew wala sijuh LA kufanya!
Oops nisingependa nikumbuke
But nilichukuliwa na kupelekwa nisipopajuaaa lakin
Ajabu huko nilipopelekwa kulikuwa na binadamu kama cc tena wazungu
Naendelea
 
Kwa jinsi now navyoelewa na kukua nadhan wale wazungu walikuwa n wanasayansi na pale kilikuwa kituo cha research hapa dunian sema mpaka Leo sifahamu n sehemu gan/Nchi gani
Kufika kulee kulikuwa na viumbe wengi wa ajabu ambao walikuwa wanashirikiana na hao watu! Tena wanaelewana kabisaaa!!!
Nadhan walikuwa na nia moja!
Waleee wazungu sikuwa najua wanaongea nn but waliwaita wale viumbe na kuwapa kama maelekexo flan hivi!
Nikaona wamekuja wakanichukua na kunirudisha but mpaka nafika home ilipita wiki 1
Nikama nimefupisha story!!
Ilaaa kwa jinsi maada ilivyo nakubaliana na mleta maada kuwa
Kama nilivyoviona ndo hivyo
Bhas hawa viumbe wapo na wanashirikiana kwa kiasi kikubwa sanaaa na binadamu (wachache)
Also wanakituo chao kabisa kwa hapa dunian maaana nilipelekwa

NB: Kipindi hayo yanatokea nilikuwa na 7 yrs
Kumb chache bado zipo ilaa kutokana na maisha dun ya kipind kilee Vingi nilikuwa sivijuh lakin nilikuwa naona mambo mengi sanaaa
Na hata hao viumbe washawah wasili Mara kibao kijijn kwetu(naomba nipahifadhi)
Na me ni shuhuda kwa jinsi yaliyonikuta!!!!
 
Stori nzur sana
 
Stori nzur sana
Hapna hii n reality ambayo ishawah Nikuta!
Lakin nikawa sitambui kitu!!
Mpaka now ndo naanza kuconect dots!
Also tambua niliishi kijijin nikiwa na 7yrs hata nilipoakuwa nawambia wazee wao walishia kunitambikia na hata nilipochukuliwa nilichelewa kurudi cjuh zilipita cku ngap
Ila nakumbuka niliporud nilitambikiwa tenaaa
Mengi sanaaa semaaa nafupisha
 
Mkuu siku walizokuchukua walikua wanakulisha nin
 
Mkuu siku walizokuchukua walikua wanakulisha nin
Chakula tu chakawaida lakin cyo chenye mandhari ya kitanzania!!
Nilikuwa nakula sawa na cha binadamu wa kule!
Japo cfahamu mpaka now reason ya kuchukuliwa lakin nahisi uenda coz ya kuwaona
 
Nilipokuwa mdogo nilikuwa nachunga mbuzi na kondoo kijijini!!
Nilipokuwa nachunga kuna kipindi nilikuwa naona maruwe ruwe angani!!
Yaaan vitu vya ajabu vinatembea kwa spid ya hatari
Nakumbuka kuna kimoja kilitua jiran nilipo kwa vile nikiuwa na akili za kitt (7yrs)
Nikabaki nashangaaaa but nilijificha nyuma ya majan na vimiti
Bhas vikatokea viumbe vifupiiiiiii na vya ajabu yaan hata hawaeleweki maumbo yao! Nilikuwa sijuh kuhesabu(sikuwa naenda shule nashinda porini)
Lakin kwa kusika now nadhan walifika wa 3/4
Wale viumbe walikaa pale kwa muda wa dk kama 10!
Nakumbuka walifukua chini wakatoaa kitu na kuondoka!!

Kama kawaida nilipofika home nilimwambia mzaz lakin kutokana na mambo ya kijijini(mila zimetawala)
Wakasema.n mambo ya mizmu so wakanifanyia tambiko!
But..
Nitaendelea
Mkuu embu endelea kufikirisha ubongo naona kuna mengi yakutusimulia.
 
jambo unalotakiwa kuelewa kuanzia leo ni kwamba, technolojia nyingi hutoka kuzimu kwa shetani, hata hizo computer tunatumia huko kuzimu walianza kuzitumia miaka mingi sana, design nyingi za magari kabla hazijatoka hudesigniwa kuzimu everything. hapa duniani pia tunaishi na wanadamu kabisa ambao wanaoa na kuolewa ambao sio wanadamu halisi, ni nusu mwanadamu nusu jini/shetani, wanawake wengi sana huwa wanazaa na majini bila wao kujua, reincarnation ya mashetani na wanadamu inatokea sana na zao la hao watu nusu ndio hao wanaotumiwa na shetani kuendesha ulimwengu, hao ni mashetani ambao wamevaa miili ya wanadamu na wana connection zote. wavumbuzi wengi huwa sio wanadamu wa kawaida na kama ni wanadamu wa kawaida huwa wameingiwa na shetani anakuwa ndani yao na wanafanya mambo. magenious wote huwa sio wanadamu wa kawaida bali ni mashetani nusu. wazungu wengi hufuga misukule na huituma hata angani kusuka mitambo na networks, uswiss ni nchi mojawapo yenye sayansi ya kichawi kutumia watu waliokufa kutengeneza ndege na magari.
Duh! Haya mazito sasa, ehee kwahiyo wazungu ndo wana connection na mashetani maana ndo wavumbuzi wa zana na silaha mbalimbali duniani pmj na watu weupe kwa ujumla?
 
Duh! Haya mazito sasa, ehee kwahiyo wazungu ndo wana connection na mashetani maana ndo wavumbuzi wa zana na silaha mbalimbali duniani pmj na watu weupe kwa ujumla?
wazungu wana connection na mashetani kuliko hata waafrica, mfano,hiyo free mason ambayo mnadanganyana hapa bongo kuwa hata kina diamond ambao wameenda tu kwa mganga ni freemason, wazungu wako mbali sana, chama chao kina connection na shetan kabisa na kinarithiwa hadi na watoto wao, wanaongea na shetani kabisa live, wana operate kiroho. wana cults nyingi sana.
 
Niliwahi kusoma historia flani ya zamani kuwa...
Aliens, wakiwa ni viumbe wa angani wenye akili na teknolojia kuliko binadamu wote walishaishi kwenye baadhi ya sayari lakini hali ya hewa haikuwa sufficient kwao.

Kuanzia miaka ya 1200's Aliens walianza kuwa na uhusiano na Binadamu wa sayari hii ya Earth ili wapate makazi duniani.

Viumbe hao + jamii ndogo sana ya kabila la dogon huko mali ndio waliotengeneza kaburi la Farao Khufu na wake zake.

Teknolojia yao iko juu sana na ndio siri ya teknolojia ya wamarekani na waingereza, hata ugunduzi wa ndege, rockets, computer una mchango wa asilimia kubwa sana kutoka kwao.
Ni kweli!
 
Back
Top Bottom