Unalijua eneo la siri zaidi duniani Area 51?

Unalijua eneo la siri zaidi duniani Area 51?

Tangu nimeanza soma physics ikielezea vitu mbalimbali na miundo yake ktk huu ulimwengu wa sayansi na technolojia nimekuwa nikijiuliza sana mgunduzi aliwezaje ktk ufikiri wa kibinadamu baada ya ujio wa siri ya dini za kifreemasons nikawa nacomment kuwa hivi vitu wazungu wanapata idea kutoka kwa shetani then wanatudanganya kwa kusema wao ndio wagunduzi kama swala la uwepo wa alliens linahusishwa na maendeleo ya sayansi na technolojia ulimwenguni me naamini maana mifumo ya technolojia nyingine ni complex sana
ndugu hakuna mwanasayansi yeyote aligundua jambo jipya. wanasayansi hawa walifasili yale ambayo yaliandikwa na wakazi wa mwanzo wa dunia hii.tafuta historia ya wasumeria na jamii zingine zilizoishi kabla. kuna ukweli mkubwa sana umefichwa ktk dunia hii.
 
UFO zipo jamani mbona wabishi,kama hamuwaamini wazungu kuhusu Uwepo wa ALIENS na UFO mbona hushangai kuhusu,binadamu kwenda kuka angani kwa mwaka mzima,au hushangai mimi na wewe tunawasiliana sasa hivi kwa internet au kumtazama Trump live kwa TV.
umeandika nini sasa hapo??
 
Kila jambo na wakati so ukifika wakati dunia itafahamishwa juu ya Technology hiyo kongwe ambayo haijawahi na haitakuja kupitwa na wakati.
 
Tangu nimeanza soma physics ikielezea vitu mbalimbali na miundo yake ktk huu ulimwengu wa sayansi na technolojia nimekuwa nikijiuliza sana mgunduzi aliwezaje ktk ufikiri wa kibinadamu baada ya ujio wa siri ya dini za kifreemasons nikawa nacomment kuwa hivi vitu wazungu wanapata idea kutoka kwa shetani then wanatudanganya kwa kusema wao ndio wagunduzi kama swala la uwepo wa alliens linahusishwa na maendeleo ya sayansi na technolojia ulimwenguni me naamini maana mifumo ya technolojia nyingine ni complex sana

Bahati mbaya hatumpendi shetani lakini alitutangulia kuwepo na ana uwezo mkubwa sana wa kisayansi na technology.Maarifa makubwa tunayoyashangaa ni ya kale sana ambayo binadamu walikuwa wanapokea taratibu kulingana na wakati pia yapo makubwa zaidi ya haya ambayo ni forbidden [emoji724].......Tukiyajua yote dunia itakuwa haitoshi...Kimtazamo wa kidini ni kuwa shetani alikuwa waziri mkuu so anajua mambo mengi sana kabla ya binadamu.
 
Makamu alikuwa nani
 
IMG_1520686201.004198.jpg
 
Kwahiyo wingereza wanatumia mfumo wa shetani??

Shetani kabla hajaasi nafasi yake katika ufalme wa Mungu alikuwa ni kama waziri mkuu.Labda ulikuwa haujanielewa bro.Mfumo huo ndio ambao umekuwa ukitumiwa na falme mbalimbali duniani.
 
Shetani kabla hajaasi nafasi yake katika ufalme wa Mungu alikuwa ni kama waziri mkuu.Labda ulikuwa haujanielewa bro.Mfumo huo ndio ambao umekuwa ukitumiwa na falme mbalimbali duniani.
Kitabu gani hicho kinasema hivyo?
 
Hivi vitu inawezekana wengi tumeviona lakini tuliaminishwa ni vibwengo wengi wanavihusisha na ushirikina
 
jambo unalotakiwa kuelewa kuanzia leo ni kwamba, technolojia nyingi hutoka kuzimu kwa shetani, hata hizo computer tunatumia huko kuzimu walianza kuzitumia miaka mingi sana, design nyingi za magari kabla hazijatoka hudesigniwa kuzimu everything. hapa duniani pia tunaishi na wanadamu kabisa ambao wanaoa na kuolewa ambao sio wanadamu halisi, ni nusu mwanadamu nusu jini/shetani, wanawake wengi sana huwa wanazaa na majini bila wao kujua, reincarnation ya mashetani na wanadamu inatokea sana na zao la hao watu nusu ndio hao wanaotumiwa na shetani kuendesha ulimwengu, hao ni mashetani ambao wamevaa miili ya wanadamu na wana connection zote. wavumbuzi wengi huwa sio wanadamu wa kawaida na kama ni wanadamu wa kawaida huwa wameingiwa na shetani anakuwa ndani yao na wanafanya mambo. magenious wote huwa sio wanadamu wa kawaida bali ni mashetani nusu. wazungu wengi hufuga misukule na huituma hata angani kusuka mitambo na networks, uswiss ni nchi mojawapo yenye sayansi ya kichawi kutumia watu waliokufa kutengeneza ndege na magari.
 
Hvi mbona flying saucers na hzo UFO hazitokei Africa na nchi zinazoendelea?.!
Hizo nchi zina vifaa gani vyakuona matakataka uko angani.Hadi tufike kwenye technolojia yao hao waliondelea ndo angalau tutaanza kujua ukweli na uongo.sasa hivi ngoja tu tuendelee kula bata na kuzaana badala yakuumiza vichwa.
 
Kweli kazi tunayo wabantu... Yani mtu kasikia UFO, kafananisha na kifo... Ansema ni wafu na majini....!!?
 
Sasa Kama ni Unidentified Object inawezekanaje watu wakiona UFO waweze kutambua kwamba hiyo ndio UFO?
 
Back
Top Bottom