Dingswayo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 4,019
- 2,930
- Siku za Jumapili ilikuwa mwisho saa nane mchana kuendesha gari, vinginevyo, lazima uwe na kibali.
- Bia zilikuwa adimu, tukienda bar tulikuwa tunanunua crate nzima na kuweka chini ya meza.
- Bia kama zikitoka TBL ni brand hiyo hiyo kwa hiyo ukienda bar huna chaguao: Crown au Safari.
- Upungufu mkubwa wa bidhaa kama Colgate na sabuni za kuogea.
- Sukari ilikuwa inapatikana kwa ration, lazima uwe na kadi kutoka kwa mjumbe ndio upate sukari.
- n.k.
