cerengeti
JF-Expert Member
- Jan 19, 2011
- 3,879
- 1,631
Shilling tano ndio ikiwa daladala.Ilikuwa sh. 5 sawa na dollar moja.
Shilling tano ndio ikiwa daladala.Ilikuwa sh. 5 sawa na dollar moja.
Hahaa una macho mimi sikuionaMkuu mbona ubaoni kuna tarehe/Mwaka 2017?
90 kushuka chini,kama bado msichana,kweni ni lazima uchangie.Mi nakumbuka kifo cha Nyerere tu
SureYo! Rap Bonanza na Kim Mgomelo. Kuanzishwa ITV, Radio One, CTN.
Hahahahaaaaaaaa.......Nakumbuka wakati sokoine alipopata ajali..pia kipindi mwinyi anagombea uraisi huku mpinzani wake akiwa ni kivuli.
Mkuu yaani mawazo yangu yameenda mbali sana.hebu endelea kutiririka.Bea Simba, malota soma, DEO njohole, Nico njohole, Raphael Paul, RAMADHANI Lenny , DEO mkuki, peter tino, gebo peter, MOHAMED mwameja, kichochi lemba, HAMISI kinye, zamoyoni mogella.
Yeah zilikua zikiitwa summer jamsBeach parties za Clouds pale Coco beach...
Ha ha mambo ya Kim&boyz..Yo! Rap Bonanza na Kim Mgomelo. Kuanzishwa ITV, Radio One, CTN.
Umetisha! Hiyo mvua ilikuwa ya aje?Mimi nakumbuka mvua
Nakumbuka mwaka 1985 tukiwa darasa la 6 Muhimbili Primary school na akina Dj Bonny love na Kibonde, alikuja Mwl. Nyerere shuleni kwa shuhuli ya mwenge. Tukaambiwa usipoimba wimbo wa taifa utakufa.. hiyo bidii ya kukariri huo wimbo sitakaa nisahau..
!! Nimecheka sana aisee watoto wa zamani walikuwa wanadanganywa sanaKwani kuwa mtu mzima ni dhambi hata watu wajifiche mkuu?!!!Kweny uzi huu ndipo tutapowabaini watu wazima.
Kuna wengine watabaini mtego huu na kutochangia kumbukumbu zao ili tusiwajue kwamb watu wazima
Ilikuwa inanyesha watu wanalima na kuvuna.Umetisha! Hiyo mvua ilikuwa ya aje?
Unaonekana unakumbuka mengi aseeView attachment 518594
Kwetu tulikua tukifunga mlango kwa namna hiyo