pecial
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 735
- 556
hapa umetufunga kamba bhana ukiwa muongo uwe na kumbukumbu, mbona huo mwaka ubaoni ni 2017?
hapa umetufunga kamba bhana ukiwa muongo uwe na kumbukumbu, mbona huo mwaka ubaoni ni 2017?
Marhabaa kua nawewe uipate.Shikamoo mkuu.
Ndiyo na ndilo chimbuko la neno dala dala. Kila ukipanda uda popote pale dala dala.Shilling tano ndio ikiwa daladala.
Ni kwamba asili ya neno daladala ni wakati wa Mwl Julius Nyerere wakati shilingi tano likuwa sawa na dollar moja ya kimarekani hivyo shillingi tano ikawa inaitwa dala na wapiga debe enzi hizo walisema dala -dala-dala kumaanisha kuwa nauli ni dala moja(gwala/shilingi tano) na ndipo lilipoibuka neno daladala.Ndiyo na ndilo chimbuko la neno dala dala. Kila ukipanda uda popote pale dala dala.
Hiyo shule ipo pale Kunduchi mpaka leo haikuwa shule ya kubuni tuKitabu cha English cha kina baraka, Musa, Neema, Mr& Mrs Daud. Musa na Neema walikuwa wanasoma shule ya msingi mtakuja.
Sana aiseeee........Unaonekana unakumbuka mengi asee
Dah nakumbuka miaka hiyo ya 80's ckuku ya IDD na Pasaka tunajazana kwa Jani kununua bajia na mijeledi huku tunasubiri walioingia kuangalia picha ya kwanza Plaza cinema watoke tuingie picha ya pili 10:30 ya Disco dancer.Mambo ya mo town hayo.Itifaki izibgatiwe,
Kuna mambo nmeyakumbuka wkt wa miaka 90's kuja 80's, kwanza kulala ilikuwa saa12 ukionekana nje umeumia. Sukari haikuuzwa dukani tulikuwa tunapanga foleni kununua sehemu fulani zinaitwa ugawaji. Tv mnatizama jumapili tu na ukiwa na TV lazima iwe na kibali.
Wewe unakumbuka nini?
Sio huko tu,hata musoma pia Kuna mtakuja village pmj na shule ya msingi.Hiyo shule ipo pale Kunduchi mpaka leo haikuwa shule ya kubuni tu
Kwa nini ukwepe kuitwa mtu mzima (aged?)Kweny uzi huu ndipo tutapowabaini watu wazima.
Kuna wengine watabaini mtego huu na kutochangia kumbukumbu zao ili tusiwajue kwamb watu wazima
Mmmh darasa LA sita duuh we Senior.shikamooNakumbuka mwaka 1985 tukiwa darasa la 6 Muhimbili Primary school na akina Dj Bonny love na Kibonde, alikuja Mwl. Nyerere shuleni kwa shuhuli ya mwenge. Tukaambiwa usipoimba wimbo wa taifa utakufa.. hiyo bidii ya kukariri huo wimbo sitakaa nisahau..
Ndio yaani miaka hiyo ya 80 dollar moja ya marekani ilikuwa sawa na sh. tano ya Tz. Ama kweli kwa sasa shilingi yetu imeshuka thamani!!!Ndiyo na ndilo chimbuko la neno dala dala. Kila ukipanda uda popote pale dala dala.
Ndiyo na mimi ndivyo nilieleza kabla ya hii comment. Tupo wote. Hakupenda kugeuka jiwe kushuNi kwamba asili ya neno daladala ni wakati wa Mwl Julius Nyerere wakati shilingi tano likuwa sawa na dollar moja ya kimarekani hivyo shillingi tano ikawa inaitwa dala na wapiga debe enzi hizo walisema dala -dala-dala kumaanisha kuwa nauli ni dala moja(gwala/shilingi tano) na ndipo lilipoibuka neno daladala.