Unakubali kushika bomba kwenye usafiri wa umma huku umeshika simu Yako ya gharama mkononi ili isiibiwe

Unakubali kushika bomba kwenye usafiri wa umma huku umeshika simu Yako ya gharama mkononi ili isiibiwe

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
5,102
Reaction score
14,024
Sometimes maisha sio magumu kiasi hicho vipaumbele na mipango ndiyo vinagharimu watu sasa kuliko kumiliki simu worth 2 million na huna usafiri binafsi why don't you go for Tecno then vuta hii chuma tia full tinted kula zako kishoka unapiga harakati zako bila kupakana jasho na watu
FB_IMG_1743424912513.jpg
 
Sometimes maisha sio magumu kiasi hicho vipaumbele na mipango ndiyo vinagharimu watu sasa kuliko kumiliki simu worth 2 million na huna usafiri binafsi why don't you go for Tecno then vuta hii chuma tia full tinted kula zako kishoka unapiga harakati zako bila kupakana jasho na watuView attachment 3288806
Unanunua m2.5 halafu unaenda gereji kukarabati kwa m8. Daaadeck!
 
Sometimes maisha sio magumu kiasi hicho vipaumbele na mipango ndiyo vinagharimu watu sasa kuliko kumiliki simu worth 2 million na huna usafiri binafsi why don't you go for Tecno then vuta hii chuma tia full tinted kula zako kishoka unapiga harakati zako bila kupakana jasho na watuView attachment 3288806
Kumiriki gari sio sawa na kumiriki simu, maintenance ya gari ni kubwa, kuna mafuta, vipuri, nk, na pls gari ya 2.5! Huo ni mkweche Mara 10000!
 
Unaniwekea maneno mdomoni kaka
Hamna kaka ni matani tu....hilo gari la million mbili likifika mpaka 2027 nitainunua😁😁😁now acha niendelee kushikilia Bomba na jogging mdog mdogo
 
Kumiriki gari sio sawa na kumiriki simu, maintenance ya gari ni kubwa, kuna mafuta, vipuri, nk, na pls gari ya 2.5! Huo ni mkweche Mara 10000!
Kumaintain simu ni gharama pia ukitaka kujua hilo piga hesabu bundle unalotumia kwenye mb Wacha dk na sms pia. Vits hiyo litres tatu unaweza kutumia hata siku mbili kama hauna mizunguko mingi yaani go and return maintenance ni affordable compared na usumbufu unaopatikana kwenye daladala
 
Ijapokuwa sina gari lakini kwa gari hii hamna mkuu japo nimewahi kusema ikipatikana ya m2 mnisitue hii hamna heri toyo niwe nasimama mguu mmoja chini mwingine juu kama mbwa anakojoa
 
Back
Top Bottom