Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,252
- 11,649
Kimekutokea nini hadi ukaamua kufanya uchokozi uliovuka mipaka namna hii??
Babu DC!!
mimi nilikuwa tabora miaka ya nyuma nafanya kazi tabotex, nikirudi namuomba jirani yangu, binti wa mwenye nyumba a anipepetee mchele si unajua tena msela na kupika , kosa akileta ndani naimbisha lakini, it was not easy. ilichukua karibu mwaka , then she was my wife till divorce, so that was my first encounter
yaap mwisho tuliachana na sasa tuna mtoto 15yrs of age , nikwambie kitu unajua mwanaume akiachwa na mke na akiwa na mtoto mdogo, inaumiza sana kuliko mume akimuacha mke na mtoto mdogo. THINK BIG
aah jamani divorce tena, so bad! !!
so umeoa tena?
Wewe unajiita BABA PAROKO!!??
Hii ni laana na uharibifu kwa jamii.
Na mwenye ku promote mambo haya na ALAANIWE.
sijao bado na ndiyo maana nilipost katika love connect siku za nyuma , hatimaye nimempata mwana JF mwenzangu naona fahari. may be god will help us not to divorce in jesus name, ni member mzuri i like heraah jamani divorce tena, so bad! !!
so umeoa tena?
Kwa hii mada leo nimekuwa mtoto..ngoja nisome love story zenu....
yaap mwisho tuliachana na sasa tuna mtoto 15yrs of age , nikwambie kitu unajua mwanaume akiachwa na mke na akiwa na mtoto mdogo, inaumiza sana kuliko mume akimuacha mke na mtoto mdogo. THINK BIG
Mie nilimuona kwenye Sherehe,waliishi karibu na my Best friend siku ya sherehe akaniambia huyu mkaka anaringa sana
mie nikamponda sana nikasema girlfriend wake ana shida sana mi siwezi kutoka na mkaka kama huyu hataa
kwanza anaonekana kama PLAYBOY tu..lakin rohoni nilimsifia He was such a GENTLEMAN for real
kuna siku akanikuta kwenye mgahawa fulani tunakula na my friend alikuwa ye na rafiki yake mara ya kwanza
walitupita walivopita tu tukaanza kuwasema hamad hao wakarudi wakatusalimia ka dk 2 then wakasepa...........
baadae akaniambia pale ndio ilikuwa first time kuniona na pale ndio moyo wake ulinidondokea
hakuwahi kunitongoza directly tulizoeana tukajikuta tunafall in LOVE tumepita mengi lakin we are still together
rafiki zangu hadi leo huwa wananicheka sana na kurecall yale maneno yangu niliosemaga kwenye ile sherehe
sijao bado na ndiyo maana nilipost katika love connect siku za nyuma , hatimaye nimempata mwana JF mwenzangu naona fahari. may be god will help us not to divorce in jesus name, ni member mzuri i like her
god bless u and all JF membersdah u c!!!!
kwa Mungu hakuna kinachoshindikana cha msingi mfuate taratibu nakuombea mfike ndoani
kwnn
mbona kashajibu
^^
Sitaki hata kukumbuka chochote! Mwisho wa safari uliharibu uzuri wa mwanzo wake!
Ngoja nisome Best Memories za wenzangu
^^