Unaikumbuka hii siku ya kwanza..??

Unaikumbuka hii siku ya kwanza..??

Hakuna exactly place, ila nilikuwa rafiki sana wa rafiki yake na siku ya kwanza alitambulishwa kwamgu pale mdegree, alikuwa ni mpole mnoo mpaka nikawa nawauliza rafiki zake how do you live with this man ila love came between na sasa wananiuliza how do you live with him? Nje ya upole wake, he makes me laugh all the time. I love him.

Looh mdegree panatokea mengi....kuna Shoga angu alitoa kibuti mdegree....
 
dah inamaana stori zote ni love at first sight mpaka ndoa ?
 
Dah,,nakumbuka tumepokea boom auxillary police udsm kwa mara ya kwanza unapewa mkononi 450,000 (201o) ndo tunaanza mwaka wa kwanza hapo udsm..yeye ndo namfahaamu tulisoma wote advance tukatoka pale na pesa zetu mkononi kanisindikiza mpaka nmb magomeni kudeposit, naye nikamsindikiza mpaka nbc kuweka zake ndo ikawa mwanzo wa mazungumzo mpaka sasa mipango ya harusi mlangoni..advance nilikuwa namuonana tu class sikuwa na xtori nae
 
Sorry kwa gazeti langu, so msinichoke na story yangu wapenzi.

Awww I remember nilikutana naye tukiwa chuo na tulikuwa differeny years. The first day tumekutana, tulikuwa cafeteria doing our assignments, me na groupmates wangu na yeye alikuwa na friends zake wanaandika research proposal. Bahati nzuri wao walikuwa wanafahamiana na my best friend. Basi wakaja wakatusalimia pale, but I was so busy na assignment coz ilkuwa ngumu vibaya, so ht sikuwatilia maanan kihivyo wakaondoka.

According to yeye, alkuwa anakutana na mimi mara nyingi afu ananisalimia but me simuitikii so akawa ananiona km nina dharau balaa, but friends zake wakawa wanampa 2 hopes kwamba asikate tamaa. Am kinda shy yani nikitembea barabarani siangalii mtu, najisikia aibuuu mwee

Basi kuna this lucky day, tulikuwa tunaenda discussion wth ma frend usiku, tukakutana naye(my man) akaanza kutusalimia kwa kum-hug rafik angu afu ilivyofika kwangu ni alinihug mpaka nikajishtukia though nilichukulia poa 2(ilikuwa janja yake 2 ya kunikumbatia), tukamuacha tukaenda zetu discussion. Tupo disc akatuma text kwa rafik angu "disc njema, msalimie na heaven sent". Afu alitumia namba nyingine sasa ambayo my frend haifahamu, na my frend alikuwa hana credit kwa phone ake so tukamuulizia kwa phone kuwa ye ni nani ndo akajibu me fulani, so he got my number automatically.

Tukaanza chartn tu as frends, yan everytime alkuwa anataka kuniona, lazima aniulize uko wapi? Atanisindikiza prepo na atakaa sehemu anisubiri mpaka nitoke. Alichukua muda kidogo kunimwagia sumu but na me nilikuwa nshaanza ku-fall for him. He was sooooo smart, mpole but very charming yan nilikuwa nacheka sana, afu he was so caring yan acha tuuu.

Siku ya siku akanitokea mwenyewe but sikumjibu chochote kwanza. Tukaendelea 2 na friendship na ht sikumbuki ni lini nilimjibu YES but hadi leo we are a made in heaven couple. God heaven sent him for me, yan he is an angel on earth. Luv u so so my B

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
images

nashukuru kwa kuona asante sana Eiyer be blessed loh
 
mimi nilikuwa tabora miaka ya nyuma nafanya kazi tabotex, nikirudi namuomba jirani yangu, binti wa mwenye nyumba a anipepetee mchele si unajua tena msela na kupika , kosa akileta ndani naimbisha lakini, it was not easy. ilichukua karibu mwaka , then she was my wife till divorce, so that was my first encounter
 
mimi nilikuwa tabora miaka ya nyuma nafanya kazi tabotex, nikirudi namuomba jirani yangu, binti wa mwenye nyumba a anipepetee mchele si unajua tena msela na kupika , kosa akileta ndani naimbisha lakini, it was not easy. ilichukua karibu mwaka , then she was my wife till divorce, so that was my first encounter

Aisee mwisho ulikuwa mbaya....
 
Mtoa mada Eiyer,this thread is soo goood,na unanifurahisha zaidi unavochangamkia kila mtu...am quite exhausted sijamaliza kuisoma,bt daah...YANI NMEPENDA LOVE STORIES ZENU JAMAN WANA'MMU,atlst leo hamna kupondana,ni full kusifiana,mapenzi nk..ENDELEENI KUTIRIRIKA they r soo good,me team single ntakuwa msomaji wenu
 
Aisee mwisho ulikuwa mbaya....
yaap mwisho tuliachana na sasa tuna mtoto 15yrs of age , nikwambie kitu unajua mwanaume akiachwa na mke na akiwa na mtoto mdogo, inaumiza sana kuliko mume akimuacha mke na mtoto mdogo. THINK BIG
 
mmhhh....!! mi nikikumbuka... nacheka na kutabasamu!!

nakumbuka siku hiyo niling'atwa, nilichapwa vibao, alilia japo si machozi!

aliona aibu kuniangalia usoni..! alidai ananipenda sana baada ya rumba ya kwanza..! nilitumia nguvu kidogo kumshawishi kuuacha mwili wake wazi, japo naye alitaka.. si unajua tena aibu!!!

ilikuwa zamani sana, nikiwa shule ya upili hivi vidato vya kati..!

by the way, siko nae tena... japo bado yupo! tena wa afya kabisa!!
 
yaap mwisho tuliachana na sasa tuna mtoto 15yrs of age , nikwambie kitu unajua mwanaume akiachwa na mke na akiwa na mtoto mdogo, inaumiza sana kuliko mume akimuacha mke na mtoto mdogo. THINK BIG

Aisee pole...na huu utoto nilionao siwezi ku THINK BIG...ila pole sana...
 
Hawa ndiyo wachunga kondoo unategemea nini kondoo watasalimika.

Huyu Eiyer nimemsoma siku nyingi akiwa ni mmoja wa wale wapiga debe wazuri wa NENO LA BWANA.
Leo nashangaa vitu vya kuharibu jamii badala ya kuvipiga vita YEYE NDIO ANAVIANZISHA.!
Hawa si ndio wale wachungaji baadae wanakutwa na kesi za ubakaji?
Yaani mimi mwanangu kuingia kwenye makanisa ya hawa watu ni bora amkose hata huyo yesu!
 
Last edited by a moderator:
Duh, nakumbuka aliniona skonga. Niko o level, ye yuko a level, basi ndo alikuwa anajishughulisha kila siku kunisalimia na kunitafutia material na kunisisitiza nisome kwa bidii na nitii ratiba ya shule. Mie nikachukulia poa tu ni kakangu. Nilimalipomaliza o level akaniandikia barua ila hakuniambia ananipenda bali alinisifia sana hadi mwenyewe nikajua kifuatacho ni............ Nilipoenda a level ndo akaja sasa kwenye point na hivi leo ni mume na mke wa mtoto mmoja.
 
Back
Top Bottom