Siku ya mtoko wa kwanza ulikuwaje?
kumbe una my wife wake asa na yule aliekuhonga chain ya silver na laki mbili yuko kwenye list ipi ? hahaha ulipostigi hapa hii habari JF vey interesting.nakumbuka tulikutana pale mbele ya soko kuu Bukoba mjini; alikuwa anatoka kwenye kambi ya Umiseta - Ihungo; yeye alikuwa anasoma Rugambwa Sekondari, mimi nilikuwa chuo; ninaye hadi leo na tayari tuna watoto; maisha yanakwenda;
nikifika home lazima nimuulize kama kweli naye anakumbuka.
I love mama watoto wangu.
Kiaje tena??
haha tulikutana deluxe pale mwanza ilikuwa likizo ya pasaka asa wk iliyofuata ndo nilikuwa narudi kowak boarding so nikamuachia p.o box tukawa tunaendelea kuwasiliana it went on ...... A" level nikapangiwa shule Benjamin mkapa sekondari uwii sikuwa na simu so dazaini mawasiliano yakakataNawe story yako ikoje??
Umekumbuka nini????
Nilikutana nae kwenye ngazi mabibo hostel mwenyewe nimebeba maji kama power mabula.kulikuwa na shida sana ya maji mabibo hostel akaona anisaidie kupandisha juu coz nilikuwa floor ya kwanza na napanda floor ya tatu na nimebeba ndoo mbili.mtoto nikashukuru pale na kumsindikiza mpaka chini akaendelea na safari zake.nilijua ni mwanafunzi kumbe alikuwa si mwanafunzi bali aliagizwa na rfk ake alete mzigo kwa mdogo wa huyo rafiki yake waliekuwa wanaishi mkoa fulani hivi pamoja.alirudi tena nitafuta baada ya miezi miwili coz alishajua room nnayokaa baada ya kunisaidia kufikisha maji ninapoenda.ghafla tukawa marafiki na mwisho wapenzi.last year afta 5 years of friendship tumefunga ndoa na sasa tunaexpect kupata first born wetu on april.Thank God nimeokota lulu kwenye ngazi.the man is real real in love n treat me like an Angel!
Lazima tujiweke wazi bana hujui kuna vimwana vinavyotafuta wenza humu .........lolzzzzzz!!!!!!!!!!!!!!
Hapo utakuwa umenifikisha kabisaaaaa
Unataka wimbo gani wa Bob?
![]()
Natural mystic
One love
Exdus
War
No woman no cry
Slogan
N.k......
Je unataka wimbo gani wa Lucky Dube?
![]()
It's not easy
Trinity
Taxman
Kiss no frog
Good girl
House of exile
Guns and roses
N.k...........
Nilikutana nae kwenye ngazi mabibo hostel mwenyewe nimebeba maji kama power mabula.kulikuwa na shida sana ya maji mabibo hostel akaona anisaidie kupandisha juu coz nilikuwa floor ya kwanza na napanda floor ya tatu na nimebeba ndoo mbili.mtoto nikashukuru pale na kumsindikiza mpaka chini akaendelea na safari zake.nilijua ni mwanafunzi kumbe alikuwa si mwanafunzi bali aliagizwa na rfk ake alete mzigo kwa mdogo wa huyo rafiki yake waliekuwa wanaishi mkoa fulani hivi pamoja.alirudi tena nitafuta baada ya miezi miwili coz alishajua room nnayokaa baada ya kunisaidia kufikisha maji ninapoenda.ghafla tukawa marafiki na mwisho wapenzi.last year afta 5 years of friendship tumefunga ndoa na sasa tunaexpect kupata first born wetu on april.Thank God nimeokota lulu kwenye ngazi.the man is real real in love n treat me like an Angel!
Hebu niambie ilikuwaje siku ileeeeee alipokuona mara ya kwanza???