venine
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 1,458
- 1,571
Mi nina story 2, ngoja nihadithie ya huyu niliye naye, maana mwingine ni zilipendwa
nilimfahamu kupitia rafiki yangu (alikuwa cousin wa rafiki yangu), nilikuwa namu-admire sana especially kwa urefu wake, masculine body na ucheshi. alikuwa na gal wake pia, so sikuwaza kama tungekuwa pamoja.
siku tulikuwa mziki, nimekaa na rafiki zangu. akatokea ghafla kwenye meza yetu na kuniomba tucheze. nilikataa, nikasema huu mwimbo siupendi. akaja mara ya pili nikakataa tena. akaniuliza unapenda nyimbo za aina gani, nikamwambia.
dj alivyoanza kuzipiga tu, akaja kuninyanyua. nikawa sina jinsi nikakubali tukadance sana tu.
kesho yake akanitafuta akasema anafanya evening walk kwa ajili ya kuupa mwili mazoezi, akaniomba nimpe company, nikakubali. ilikuwa walk nzuri, kwenye maeneo flani ya mitimiti na upepo mzuri, tukafika sehemu kwenye majani mazuri ya green tukakaa chini kupiga story za kufahamiana.
tukaendelea na urafiki wa kawaida, kupiga story na nini. tukazoeana, urafiki ukanoga, mengine nimesahau