Unaikumbuka hii siku ya kwanza..??

Unaikumbuka hii siku ya kwanza..??

Hakulisikia hata kidogo

Alikuwa anawaza atoke haraka ili afuatilie ninaishi wapi, maana asingenifuatilia asingejua nakoishi.

Afu nime-edi kwenye post yangu ya kwanza, nimeweka nyama na maelezo yakutosha.

Dah!!!!!!!
Sipati picha kama "neno" la kanisani alilisikia siku hiyo ....lol!!!!!!!!!!
 
nakumbuka tulikutana pale mbele ya soko kuu Bukoba mjini; alikuwa anatoka kwenye kambi ya Umiseta - Ihungo; yeye alikuwa anasoma Rugambwa Sekondari, mimi nilikuwa chuo; ninaye hadi leo na tayari tuna watoto; maisha yanakwenda;
nikifika home lazima nimuulize kama kweli naye anakumbuka.

I love mama watoto wangu.
 
Hakulisikia hata kidogo

Alikuwa anawaza atoke haraka ili afuatilie ninaishi wapi, maana asingenifuatilia asingejua nakoishi.

Afu nime-edi kwenye post yangu ya kwanza, nimeweka nyama na maelezo yakutosha.

Kudadadeki .........

Ilikuwaje siku anakupiga vesi?
Uling'ataje vidole????
 
nakumbuka tulikutana pale mbele ya soko kuu Bukoba mjini; alikuwa anatoka kwenye kambi ya Umiseta - Ihungo; yeye alikuwa anasoma Rugambwa Sekondari, mimi nilikuwa chuo; ninaye hadi leo na tayari tuna watoto; maisha yanakwenda;
nikifika home lazima nimuulize kama kweli naye anakumbuka.

I love mama watoto wangu.

Hongereni sana ...................!!!!!!!!!!!!!
 
Sinaga aibu kivile, ila nlikuwa nafurahia mastori yake

Hakunipiga verse from day 1, nilijikuta kanizoea sana, afu akaanza kuniita 'mke wangu' from no where, siku ya kwanza kuniita vile niliona aibu, nikadhani keshanijaza mimba kwa uwezo wa mdomo.

Kudadadeki .........

Ilikuwaje siku anakupiga vesi?
Uling'ataje vidole????
 
Sinaga aibu kivile, ila nlikuwa nafurahia mastori yake

Hakunipiga verse from day 1, nilijikuta kanizoea sana, afu akaanza kuniita 'mke wangu' from no where, siku ya kwanza kuniita vile niliona aibu, nikadhani keshanijaza mimba kwa uwezo wa mdomo.

Ebanaeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!

Hii nayo kali,mimba kwa mudomooooooooo!!!!!!!!!!!!

Hebu nieleze ilikuwaje siku ya kwanza ya ma deep kisssssssssss
Ulihisi unaelea angani eeeeehhhhhh!!!!!!

CC: Asprin , Kaizer , Dark City .......!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Nimevuta picha nikajikuta natabasamu tuu
Hebu tuambie bana ulijisikiaje siku ya mtoko wa kwanza?
Au ulihisi sasa unaenda kuchinjwa?????
 
Back
Top Bottom