well,
aliniona kituoni nikiwa narudi hom, alikuwa na marafiki zake, akawauliza km kuna anaenifaham kati ya wale marafiki zake hakuna aliyekuwa ananifaham,
basi kuna fundi 1 hiv wa nguo nilikuwa naongea nae coz niliacha nguo yangu pale ni njiani kutoka kituoni to hom, akasubur niondoke akamfuat na kumuomba no yangu....
anasema akawa anaogopa kunicol ataanzaje/ataongea nn...cku ya cku kanicol, nikamjib kwa ukali na maswali juu umeipata wap no yangu bt alikuwa mpole mwingine angeanipotezea, akaniambia naomba tuonane ndo utanifaham, hakuwa anaishi mbali sn, nikakubali huku nina ham sn ya kujua ni nan....
baada ya dkk 30 hamadi amefika nilipomuelekeza anikute....nilipomuona mi mwenyewe nilimkubali nikajisemea moyoni km yupo serious simuachii. .....
mhh baada ya salam/story kidogo coz alikuja na rafk ake ndo urafiki ukaanza hapo though @1st ckuonyesha km nipo interested. bt I was.....muda unavyoenda tukazoeana na anavyoni care ndo nikazama kabisa na cku 1 akaniambia anatamani niwe mkewe km nipo tayar......ndo hivyo tena.
im proud of him
....Mungu mkubwa ndo nipo nae na ndo Mume wangu mtarajiwa, soon cherekochereko mambo yakienda km yalivyopangwa