Unafiki huu wa wanaharakati (CHADEMA), kiboko

Nape wakanye Lowasa na JK wasiwaharibie chama chenu, wenzenu wamegeuza chimbo wawe unabwatabwata na chadema,

Kwataarifa yako chadema haitakufa kwa wewe kupiga kelele mitandaoni, kinyume chake nikuwa Chadema imeushinda udharimu wenu,

Haya kijana wenu Zitto tushampiga chini, mchukueni agombee uenyekiti huko ccm .

Mie namshangaa Nnauye na wenzie ni kwa vipi akili zao ziendelee kufikiri Dr Slaa, Mbowe etc na sio CDM kama taasisi? habari za mtu binafsi haziwezi athiri chama kwani tunaamini imani ile ya chama inayosimamia na kamwe si mtu..kama Mbowe Slaa wanamatatizo basi na wao wakati muafaka ukifika wataondolewa kwa utaratibu uleule wa ndugu yake Nnauye (ZZK) anatakavyotolewa ndani ya CDM

Kwa jumla CCM wamefadhaika sana kuona nguzo yao walioitegemea imeporomoka ghafla na jumba lao lipo hatarini kumegeka ndio maana CCM & ZZK hivi sasa wanaanzisha propaganda za kufitinisha wanachama na viongozi wetu wa CDM
 
Naandika hili kwa masikitiko makubwa maana watani zangu CHADEMA siku zao zinahesabika kwa kasi inayonitisha sana. Mimi ni muumini wa uimara wa CCM kutegemea sana uimara na umakini wa upinzani nchini! Kwahiyo anguko la upinzani nchini si jambo zuri kwa CCM, nchi na demokrasia yetu, CHADEMA kikiwa moja ya taasisi muhimu kwenye ukiaji wa demokrasia hiyo!

Kilichonistua ni degree ya unafiki inayojidhihirisha kila kukicha ya viongozi wengi wa CHADEMA. Kupinga ufisadi kwa mdomo mpana halafu unaendesha Chama kwa pesa hizohizo huu ni unafiki wa ajabu! Tunajifunza nini kwa kiongozi wa Chama anayesema pesa ni pesa tu inategemea unaitumiaje!!? Ha! Kwahiyo unaweza kuuza nchi ilimradi unapewa pesa!!?

Niliwahi kutoa mfano mkubwa wa unafiki wa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Slaa (sikuhizi nasikia vijana wanamwita Mzee wa Gongo) akihubiri watu waichukie CCM.

Na wakati mwingine alihamasisha wachane na hata kuchoma kadi za CCM wakati yeye kabanisha yake tena kwa matunzo makubwa! Huu ni unafiki mkubwa! Vijana tunajifunza nini kwa unafiki huu!???!

Lakini niliwahi kusema Chadema kinaendeshwa kwa pesa kutoka nje, wakabwata wakinipa siku saba kukanusha, kabla mate hayajakauka, aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Ndg. Zitto anakiri hadharani kuwa gazeti leo, ambacho ni chombo kikuu cha propaganda limeanzishwa kwa pesa kutoka nje!! Huwezi kujenga Chama kwa msingi wa uongo kuliko wa shetani halafu ukadhani chama kitadumu!!!

Utaratibu wa vyama kufukuza wanasiasa vijana kwenye vyama hivyo ni wa hovyo na unapaswa kukemewa! Vijana wasipokosea mnataka wakafanyie wapi makosa?? Vyama lazima vitumike kulea na kuwafumdisha vijana badala ya kuwafukuza. Toka watani zangu waanze kufukuza wamekuwa wakifukuza vijana tu hasa wanaohoji. Kuhoji ndani ya CHADEMA ni mwiko! Mtakumbuka ya Kafulila na vijana wengine wengi tu. Mtauliza we Nape!! Ndio mimi chama changu kilinisikiliza na ndio maana nipo sikufukuzwa! Ukomavu ni pamoja na kuwa tayari kusikiliza maoni tofauti na uliyonayo!!

Ushauri wa bure: Watani anzeni upya! Msione aibu fumua anza upya tutawasubiri mkomae msihofu kuachwa sana! Mmekutana na ajali ya kisiasa kutafuta mchawi sio dawa, tafuteni mmejikwaa wapi.

Tulipo jikwaa ni ZZk,na tunaanza kumtimua yeye ili tujenge safu imara... Tunajua Mnaumia kwa kumtimua Kibaraka wenu ambaye mlimuandaa avujishe Siri na Mikakati ya jinsi gani Tunajipanga kwa Uchaguzi.. sasa imekula kwenu!
 
watu kutofautiana jambo la kawaida kinachotakiwa ni kuangalia nini kimewatofautisha na je kikiwa exposed kwa jamii kina kuwa na madhara gani,nikiwa kama mwana chadema narudia kusema tundu ndo anaua chama hana sifa hata moja ya kuwa kiongozi na hana busara kabisa.
 
Nape agenda yenu nkuu ni mambo ya chadema...zitto wenu kababwa mchukueni...siwezi hata kusoma porojo zako
naandika hili kwa masikitiko makubwa maana watani zangu chadema siku zao zinahesabika kwa kasi inayonitisha sana. Mimi ni muumini wa uimara wa ccm kutegemea sana uimara na umakini wa upinzani nchini! Kwahiyo anguko la upinzani nchini si jambo zuri kwa ccm, nchi na demokrasia yetu, chadema kikiwa moja ya taasisi muhimu kwenye ukiaji wa demokrasia hiyo!

Kilichonistua ni degree ya unafiki inayojidhihirisha kila kukicha ya viongozi wengi wa chadema. Kupinga ufisadi kwa mdomo mpana halafu unaendesha chama kwa pesa hizohizo huu ni unafiki wa ajabu! Tunajifunza nini kwa kiongozi wa chama anayesema pesa ni pesa tu inategemea unaitumiaje!!? Ha! Kwahiyo unaweza kuuza nchi ilimradi unapewa pesa!!?

Niliwahi kutoa mfano mkubwa wa unafiki wa katibu mkuu wa chadema dr. Slaa (sikuhizi nasikia vijana wanamwita mzee wa gongo) akihubiri watu waichukie ccm.

Na wakati mwingine alihamasisha wachane na hata kuchoma kadi za ccm wakati yeye kabanisha yake tena kwa matunzo makubwa! Huu ni unafiki mkubwa! Vijana tunajifunza nini kwa unafiki huu!???!

Lakini niliwahi kusema chadema kinaendeshwa kwa pesa kutoka nje, wakabwata wakinipa siku saba kukanusha, kabla mate hayajakauka, aliyekuwa naibu katibu mkuu wa chadema ndg. Zitto anakiri hadharani kuwa gazeti leo, ambacho ni chombo kikuu cha propaganda limeanzishwa kwa pesa kutoka nje!! Huwezi kujenga chama kwa msingi wa uongo kuliko wa shetani halafu ukadhani chama kitadumu!!!

Utaratibu wa vyama kufukuza wanasiasa vijana kwenye vyama hivyo ni wa hovyo na unapaswa kukemewa! Vijana wasipokosea mnataka wakafanyie wapi makosa?? Vyama lazima vitumike kulea na kuwafumdisha vijana badala ya kuwafukuza. Toka watani zangu waanze kufukuza wamekuwa wakifukuza vijana tu hasa wanaohoji. Kuhoji ndani ya chadema ni mwiko! Mtakumbuka ya kafulila na vijana wengine wengi tu. Mtauliza we nape!! Ndio mimi chama changu kilinisikiliza na ndio maana nipo sikufukuzwa! Ukomavu ni pamoja na kuwa tayari kusikiliza maoni tofauti na uliyonayo!!

Ushauri wa bure: Watani anzeni upya! Msione aibu fumua anza upya tutawasubiri mkomae msihofu kuachwa sana! Mmekutana na ajali ya kisiasa kutafuta mchawi sio dawa, tafuteni mmejikwaa wapi.
 
Mkuu, CCM ni chama makini sana. Kina utaratibu wa kuwapata wagombea wasio na shaka. Si kuokota okota tu kama mfanyavyo chadema
eeeh hiyo Kali ya mwaka...viongoz dhaifu kuitwa makini...ndo Leo wametuambia uchumi unakua na umaskini unaongozeka...hahaha...nchi inanuka rushwa kuanzia ndan ya chaguzi za ndani ya chama still una viongoz makin...we hazkutosh
 
CCM kuongelea UNAFIKI wa CDM?! Give me a break dude

This is a case of a kettle calling a pot black
 
Swali kwako Mh. Nape. CCM ina mpango gani juu ya wanachama wake wanaotuhumiwa kuhonga viongozi wa Chadema mamilioni ya fedha? Nadhani ukituambia hatua zinazochukuliwa na CCM dhidi ya Mkono, Rostam, Sumaye na Kinana kwa hizi tuhuma zinazowakabili utakuwa umetusaidia kuona ni kwa jinsi gani Chadema nao hawatufai. Kinyume na hapo unatupotezea muda tu hapa jukwaani.
 
nape naomba majibu haya ukanipekulie kwenye makabrasha ya mwnyekiti wako wa chama.
1.NANI ALIMTEKA ULIMBOKA?
2.NANI ALIMJERUHI KIBANDA?
3.NANI ALILIPUA BOMU KANISANI ARUSHA?
4.NANI ALILIPUA MKUTANO WA CHADEMA?
5.NANI ALIMMUA WAJINA WANGU MVUNGI?
6.NANI ALIMWAGIA TINDIKALI KUBENEA?
7.NANI ALIMLISHA SUMU MWAKYEMBE?

ukimaliza hapo jibu haya yanayokuhusu.

1.ufisadi katika jengo la uvccm uliishia wapi?
2.kwa nini darubini yako ya kuona mawaziri mizigo ilishindwa kuwaona matayo,nchimbi,kagasheki na nahodha?

ukimaliza hayo anza kutafuta hifadhi ya ukimbizi kwani 2015 hiyoo imekaribia.
 
Mmmmmh, hata Nape nawe unaandika hivi, na hapo pengine umeona umeandika point ya maana sana lakini najua rohoni mwako unajua kinachoendelea ila basi tu utafanyaje kuwafurahisha wanaccm, najua wewe siyo mwanaccm ila unavaa rangi ya kijani na njano kwaajili ya pesa.
 
Mzee aliyekaa chini ua mti anaona mbali kuliko kijana aliyejuu ya mti!
Nape Nnauye

CHADEMA wameisha JIHAKIKISHIA kuwanyanyang'anya viti 2 vya udiwani so far;Sombetini-Arusha na Bunda!

Achana na hizi propaganda!CHADEMA wanazidi aminiwa na watz kwa maamuzi yao ya kutoogopa!Mkishindwa hata kuunga mkono maamuzi ya CCM Bukoba kuwafukuza madiwani!
 
Last edited by a moderator:
Nawambia tena mjue hilo sisi hatutayumbishwa na propaganda zenu, chadema mioyoni mwa watu na wameiamini sana hivo hawayumbishwi na uchuro wa vijana nyie wenye njaa..

Huku mbeya na maeneo mengine wanamjua mbowe na slaa tu huwambii kitu juu ya hilo ko nawambieni vijana fanyeni kazi na vitu vya umuhimu chadema haitokufa wala kuteteleka kwa maneno ya kwenye kanga,.

Tuma imani na slaa na mbowe
 
Tuongee tu ukweli Nape Kesho na Kesho kutwa Edward Lowassa ikitokea akawa Rais, wewe utawekwa kwenye position gani? Nachelea yasije yakakupata ya akina Mashishanga.
 
Tuongee tu ukweli Nape Kesho na Kesho kutwa Edward Lowassa ikitokea akawa Rais, wewe utawekwa kwenye position gani?

Nachelea yasije yakakupata ya akina Mashishanga.
 
Naandika hili kwa masikitiko makubwa maana watani zangu CHADEMA siku zao zinahesabika kwa kasi inayonitisha sana. Mimi ni muumini wa uimara wa CCM kutegemea sana uimara na umakini wa upinzani nchini! Kwahiyo anguko la upinzani nchini si jambo zuri kwa CCM, nchi na demokrasia yetu, CHADEMA kikiwa moja ya taasisi muhimu kwenye ukiaji wa demokrasia hiyo!

Kilichonistua ni degree ya unafiki inayojidhihirisha kila kukicha ya viongozi wengi wa CHADEMA. Kupinga ufisadi kwa mdomo mpana halafu unaendesha Chama kwa pesa hizohizo huu ni unafiki wa ajabu! Tunajifunza nini kwa kiongozi wa Chama anayesema pesa ni pesa tu inategemea unaitumiaje!!? Ha! Kwahiyo unaweza kuuza nchi ilimradi unapewa pesa!!?

Niliwahi kutoa mfano mkubwa wa unafiki wa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Slaa (sikuhizi nasikia vijana wanamwita Mzee wa Gongo) akihubiri watu waichukie CCM.

Na wakati mwingine alihamasisha wachane na hata kuchoma kadi za CCM wakati yeye kabanisha yake tena kwa matunzo makubwa! Huu ni unafiki mkubwa! Vijana tunajifunza nini kwa unafiki huu!???!

Lakini niliwahi kusema Chadema kinaendeshwa kwa pesa kutoka nje, wakabwata wakinipa siku saba kukanusha, kabla mate hayajakauka, aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Ndg. Zitto anakiri hadharani kuwa gazeti leo, ambacho ni chombo kikuu cha propaganda limeanzishwa kwa pesa kutoka nje!! Huwezi kujenga Chama kwa msingi wa uongo kuliko wa shetani halafu ukadhani chama kitadumu!!!

Utaratibu wa vyama kufukuza wanasiasa vijana kwenye vyama hivyo ni wa hovyo na unapaswa kukemewa! Vijana wasipokosea mnataka wakafanyie wapi makosa?? Vyama lazima vitumike kulea na kuwafumdisha vijana badala ya kuwafukuza. Toka watani zangu waanze kufukuza wamekuwa wakifukuza vijana tu hasa wanaohoji. Kuhoji ndani ya CHADEMA ni mwiko! Mtakumbuka ya Kafulila na vijana wengine wengi tu. Mtauliza we Nape!! Ndio mimi chama changu kilinisikiliza na ndio maana nipo sikufukuzwa! Ukomavu ni pamoja na kuwa tayari kusikiliza maoni tofauti na uliyonayo!!

Ushauri wa bure: Watani anzeni upya! Msione aibu fumua anza upya tutawasubiri mkomae msihofu kuachwa sana! Mmekutana na ajali ya kisiasa kutafuta mchawi sio dawa, tafuteni mmejikwaa wapi.

Nape, unakumbuka unafiki wa CCJ? haya bwana, kabla haujawarushia mawe wenzako ni vyema ukajitafakari.
 
Wanasiasa hawa ni baba mmoja mama mmoja

MAKABWELA NASHANGAA WANAWASHANGILIA ILI HALI HAWA WOTE KWETU WANA CASE YA KUJIBU,SIJUI NANI KATUROGA??
 
Naandika hili kwa masikitiko makubwa maana watani zangu CHADEMA siku zao zinahesabika kwa kasi inayonitisha sana. Mimi ni muumini wa uimara wa CCM kutegemea sana uimara na umakini wa upinzani nchini! Kwahiyo anguko la upinzani nchini si jambo zuri kwa CCM, nchi na demokrasia yetu, CHADEMA kikiwa moja ya taasisi muhimu kwenye ukiaji wa demokrasia hiyo!

Kilichonistua ni degree ya unafiki inayojidhihirisha kila kukicha ya viongozi wengi wa CHADEMA. Kupinga ufisadi kwa mdomo mpana halafu unaendesha Chama kwa pesa hizohizo huu ni unafiki wa ajabu! Tunajifunza nini kwa kiongozi wa Chama anayesema pesa ni pesa tu inategemea unaitumiaje!!? Ha! Kwahiyo unaweza kuuza nchi ilimradi unapewa pesa!!?

Niliwahi kutoa mfano mkubwa wa unafiki wa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Slaa (sikuhizi nasikia vijana wanamwita Mzee wa Gongo) akihubiri watu waichukie CCM.

Na wakati mwingine alihamasisha wachane na hata kuchoma kadi za CCM wakati yeye kabanisha yake tena kwa matunzo makubwa! Huu ni unafiki mkubwa! Vijana tunajifunza nini kwa unafiki huu!???!

Lakini niliwahi kusema Chadema kinaendeshwa kwa pesa kutoka nje, wakabwata wakinipa siku saba kukanusha, kabla mate hayajakauka, aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Ndg. Zitto anakiri hadharani kuwa gazeti leo, ambacho ni chombo kikuu cha propaganda limeanzishwa kwa pesa kutoka nje!! Huwezi kujenga Chama kwa msingi wa uongo kuliko wa shetani halafu ukadhani chama kitadumu!!!

Utaratibu wa vyama kufukuza wanasiasa vijana kwenye vyama hivyo ni wa hovyo na unapaswa kukemewa! Vijana wasipokosea mnataka wakafanyie wapi makosa?? Vyama lazima vitumike kulea na kuwafumdisha vijana badala ya kuwafukuza. Toka watani zangu waanze kufukuza wamekuwa wakifukuza vijana tu hasa wanaohoji. Kuhoji ndani ya CHADEMA ni mwiko! Mtakumbuka ya Kafulila na vijana wengine wengi tu. Mtauliza we Nape!! Ndio mimi chama changu kilinisikiliza na ndio maana nipo sikufukuzwa! Ukomavu ni pamoja na kuwa tayari kusikiliza maoni tofauti na uliyonayo!!

Ushauri wa bure: Watani anzeni upya! Msione aibu fumua anza upya tutawasubiri mkomae msihofu kuachwa sana! Mmekutana na ajali ya kisiasa kutafuta mchawi sio dawa, tafuteni mmejikwaa wapi.

dah kweli vijana tumepotea tumekaa kushangilia chama kinachouza nchi pamoja na rasilimali zake, kuongeza matabaka katika jamii, viongozi kujilimbikizia mali wao na familia zako, kuingia mikataba tata ambayo inanudaisha viongozi tu (10%), uongozi usiokuwa na better strategies ya kukuza uwekezaji kwa kutumia wazawa wenye uwezo wa kuwekeza, mimi kama kijana wa kitanzania nisie kuwa na chama ninasema haya mambo yana mwisho wake na kwa jinsi ninavyoona ilitabaka linavyoendelea kukua kunaishara kubwa sana siku tukachapana wenyewe kwa wenyewe pia kuna uwezekano mkubwa sana kukatokea vikundi ndani ya nchi ambavyo vitasapotiwa na mataifa ya marekani na china kwa maslahi yao binafsi yote ni kutokana na hiyo mikataba inayoingiwa na serikali kwa siri ni mtazamo wangu tu epuka kushabikia viongozi wanaoharibu nchi
 
Back
Top Bottom