Unafiki huu wa wanaharakati (CHADEMA), kiboko

Unafiki huu wa wanaharakati (CHADEMA), kiboko

Ningekuwa msajili wa vyama ningeshaifuta chadema na kupendekeza isajiliwe km saccos
 
Nape kasema kama mtazama mechi hivyo mtafuten refarii asimamishe mchezo kidogo CDM twahitaj siasa zenye mwelekeo jaman hii 2014
 
Kwa hali ilivyo sasa CDM twapaswa kujadili namna ya kupata ufumbuzi na si kuwabeza watazamaji ambao wanaehangilia mpira unaochezwa na CDM Kikubwa labda ni kusitisha mechi.
Duh, ni wazo zuri lakini
 
Mkuu, kwani wewe hulioni anguko la CHADEMA? Au mpaka kwenye ballot box ndo utathibitisha kuwa hakika hiki chama kimesambaratika. Huwezi kumfukuza ZITTO bado kajifariji kuwa chama kiko imara

Hahaaa fisi anasubiri mkono udondoke mpaka anaingia ndani anauwawa. Cdm sio zitto wala mbowe ni nguvu ya umma.
 
Nape wakanye Lowasa na JK wasiwaharibie chama chenu, wenzenu wamegeuza chimbo wawe unabwatabwata na chadema,

Kwataarifa yako chadema haitakufa kwa wewe kupiga kelele mitandaoni, kinyume chake nikuwa Chadema imeushinda udharimu wenu,

Haya kijana wenu Zitto tushampiga chini, mchukueni agombee uenyekiti huko ccm .
 
Hahaaa fisi anasubiri mkono udondoke mpaka anaingia ndani anauwawa. Cdm sio zitto wala mbowe ni nguvu ya umma.

Nguvu ya majumba dubai, kula ruzuku na mahawara dubai na ulaya
 
Mzee aliyekaa chini ua mti anaona mbali kuliko kijana aliyejuu ya mti!

Tatueni kero za wananchi mtaondolewa madarakani kwa kushindwa kutekeleza mliyoahidi. Tatueni tatizo aliloliona Mweyekiti wenu ambalo ni rushwa sio vinginevyo. Ni ngumu sana kuwaaminisha wananchi ubaya kuhusu CDM hasa vijana. Watu wengi katika nchi hii wamekata tamaa wanatafuta Chama mbadala, kwa sasa hivi mnayo kazi kubwa ambayo hamtafanikiwa kuwatenganisha CDM na wananchi.

Hebu fikiria nguvu ya pesa mnayotumia, magazeti na dola na mbinu nyingine na bado watu wapo pale pale, mnafikiri watu wa leo ni wa mwaka 1995. Hakuna sababu yoyote nchi yetu kuwa maskini hata wewe unafahamu, Tembo wetu wanakwisha wahusika mnawafahamu, wafanya biashara ya madawa ndiyo wanaotoa misaada kwa Chama. Wafanyabiashara wakubwa wamekuwa kama Miungu nchi hi,i kodi wanalipa wafanyabiashara wadogo na watumishi. Nani atakubali upuuzi huu uendelee milele, CDM wanaweza kuwa na mapungufu yao kama Taasisi yoyote lakini bado inao watu makini sana, hata huyo ZZK mnayemtumia alikuwa na akili hapo mwanzo lakini ameingia katika tamaa kama ndugu yake Amaan Kabourou.

Tatueni matatizo ya wananchi,mtawale kwa haki Mungu atawainua na kuliinua taifa letu, ikiwa mtaendelea na biashara ya meno ya Ndovu na Wachina na uchafu mwingine kilele chenu ni 2015. Na atakayewasaidia CDM kuchukua dola ni ninyi wenyewe ndani ya CCM
Habari ndiyo hiyo
 
Hapa naanza kupata mashaka juu ya akili ya mtu aliyemteua huyu Nnauye, kama kweli unauchukia wizi na ubadhilifu anzia kwako kwanza kwa kumwambia katibu mkuu wako aache ujangiri wa wanyama wetu.

Pili fuatilia kauli yako yakuwawajibisha mafisadi wote walioko katika chama chako akiwemo Lowassa, R Aziz, Mkono nawengine unaowafahamu hapo watu tutakuelewa lakini kumshambilia mwenzio wakati kwako kuna maovu yawaziwazi huko nikukosa umakini.
 
Mzee aliyekaa chini ua mti anaona mbali kuliko kijana aliyejuu ya mti!

Nape, umenikumbusha mbali na huu msemo; what a young man can not see while standing, an old man can see it while sitting

WEWE UMEUTOA WAPI MKUU?
 
umenena vyema nape, vyama vinatakiwa viwalee vijana na sio kuwafukuza. Viwarekebishe waweze kuwa viongozi wazuri wa kesho.
Cdm wameshafeli kabla ya kuanza.
 
Nimeshtushwa sana na attitude ya mbowe kuhalalisha fedha yoyote ile hata kama ni haramu yeye anachukua
Halafu anakesha jukwaani na kujiita hanunuliki huu ni unafiki mkubwa sana huu
 
Mzee aliyekaa chini ua mti anaona mbali kuliko kijana aliyejuu ya mti!

Mkuu Nape.
Hukuelewa kauli ya Mh Mboe.
Mfano huwa tunawaona wewe na Kinana mkinunua vitumbua, bajia na hata Kinana akitoa mwekundu kwenye ziara zake katika kuwahadaa wananchi, je hela yake ni haramu? wauza vitumbua wagomee hela?!

Mbili, ivi kwanini mnatumia nguvu ivi kumtetea Zitto? je angekua ni dr Slaa anataka kuvuliwa uanachama, mngekuja kumtetea!?
 
Yaani hata nyinyi mnasimama na kuongea eti ufisadi CDM.
Baada ya ufisadi unaofanywa na chama chenu, elimu duni, matibabu mnakimbilia India na South Africa, gharama za umeme, Gesi imugundulika lakini bei ndio ishapanda juu, na kero nyingine nyingi tu hamtwabii mtazirekebishaje mnakaa kuongelea CHDEMA tu.
Kwani mliomba kura kwa waTz kua mtakua mnaua upinzani wenye nguvu ndio wakawapa?
Jikiteni matatizo ya Watz sio CDM, mnatuboa sana!.
Kodi tunailipa serikali inayoongozwa na chama chenu, matatizo yote yanatokana mfumo wa uongozi wa chama chenu, mnaogopa kuwajibishana,
CDM aiongozi nchi kwa hiyo haiusiku kwa lolote na matatizo yanayoletwa serikali iliopo madarakani.
Sisi mtwambie ni lini elimu itakuwa bora, huduma za hospitali lini zitatengamaa na etc.
 
kwani Lowasa ni mwanachama wa chama gani? Huku ni kukata tamaa mkuu. Maana umechunguliaaaa ukagundua kuwa ndani ya chama chako hakuna mtu wa kukivusha kutwaa nchi badala yake unadandia wanasiasa wa ccm

Mimi si mwanachama wa chama chochote cha siasa,but quote me,kwa upepo wa kisiasa ulivyo sasa ni Lowasa pekee anayeweza kuinusuru CCM yenu unless otherwise wekeni hawa opportunist waliokuwa blinded na ambitions tumpigie kura Mtikila...
 
Nape wakanye Lowasa na JK wasiwaharibie chama chenu, wenzenu wamegeuza chimbo wawe unabwatabwata na chadema,

Kwataarifa yako chadema haitakufa kwa wewe kupiga kelele mitandaoni, kinyume chake nikuwa Chadema imeushinda udharimu wenu,

Haya kijana wenu Zitto tushampiga chini, mchukueni agombee uenyekiti huko ccm .
Bwana ameshaamka, hakikisha viatu vyake vinang'aa
 
Nape wakanye Lowasa na JK wasiwaharibie chama chenu, wenzenu wamegeuza chimbo wawe unabwatabwata na chadema,

Kwataarifa yako chadema haitakufa kwa wewe kupiga kelele mitandaoni, kinyume chake nikuwa Chadema imeushinda udharimu wenu,

Haya kijana wenu Zitto tushampiga chini, mchukueni agombee uenyekiti huko ccm .
Mkuu ZZK ameshakuonyesha tayari kwa kupiga deal,huko ndo boss wako anakopata fedha za kuwalipa mishahara vikaragosi kama wewe na alivyo mjinga amekiri kuwa yeye haachi fedha yoyote ile anachukua hata kama iwe haramu
 
!

Kilichonistua ni degree ya unafiki inayojidhihirisha kila kukicha ya viongozi wengi wa CHADEMA. Kupinga ufisadi kwa mdomo mpana halafu unaendesha Chama kwa pesa hizohizo huu ni unafiki wa ajabu! Tunajifunza nini kwa kiongozi wa Chama anayesema pesa ni pesa tu inategemea unaitumiaje!!? Ha! Kwahiyo unaweza kuuza nchi ilimradi unapewa pesa!!?

hata mimi limenistua sana na nika comment kusema amejichanganya sana, kuna msemo wa toa lwanza boriti kwenye jicho lako..............tuhuma hizo hizo wanamtuhumu nazo zitto

lakn YEYE ANATUHUMIWA KUPEWA/HONGWA,

je wewe unazungumziaje wanaoshutumiwa KUTOA ambao ni kutoka ndani ya chama chako?

Mkuu, kwani wewe hulioni anguko la CHADEMA? Au mpaka kwenye ballot box ndo utathibitisha kuwa hakika hiki chama kimesambaratika. Huwezi kumfukuza ZITTO bado kajifariji kuwa chama kiko imara

Hakuna anguko la CDM wala nini... kama mliweza kupenyeza fitina kwa Mrema na Lipumba vyama vyao vikafa, kwa CDM mmechemsha...
 
Back
Top Bottom