Chadema inaongozwa na makada wa CCM now?

Gilbert A Massawe

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2015
Posts
6,288
Reaction score
5,219
Hakuna asiejua Maria Sarungi , Mange Kimambi ni Waccm wa kuzaliwa, Kukulia, na wamewahi kutumika kuijenga Ccm.

Je watu Hawa sio Mpango wa Watu wale?

Chadema tunawapenda Jitafakarini.

Heche Kaa chini na Mwenzako malizeni Tofauti zenu.

Kupishana isiwe chanzo cha kuanikana hadharani kwa maana tunajua wote ni Watumishi wa Tiifu wa Watu wale.

NB: Chama cha siasa Ujengwa na uimara wa vikao, Taratibu.

Vijana wengi wa Bavicha wameziacha akili zao wamekua wafuasi wa watu waiowajua ( wanaharakati uchwara)

Maria Sarungi alipishana na mboss zake ila kwa Sasa yupo sawa na waliompa project ya Change Tz...

Vijana Akina Sativa, Hilda, Mwaipaya muwe makini chatu atawauza anytime.

GM - Summ
y Russia.
 
Wewe nenda zako huko. Mikono yako imejaa damu. Damu ya Thadei ole Mushi inakulilia na lazima uilipe.
 
Lema ndio alizusha hayo.

nilimwambia ipo siku yake.

Lema na wajinga wenzake ndio waliandika huo upuuzi.

Leo hii aibu inampata.
 
Hakuna asiejua Maria Sarungi , Mange Kimambi ni Waccm wa kuzaliwa, Kukulia, na wamewahi kutumika kuijenga Ccm.

Je watu Hawa sio Mpango wa Watu wale?

Chadema tunawapenda Jitafakarini.

Heche Kaa chini na Mwenzako malizeni Tofauti zenu.

Kupishana isiwe chanzo cha kuanikana hadharani kwa maana tunajua wote ni Watumishi wa Tiifu wa Watu wale.

NB: Chama cha siasa Ujengwa na uimara wa vikao, Taratibu.

Vijana wengi wa Bavicha wameziacha akili zao wamekua wafuasi wa watu waiowajua ( wanaharakati uchwara)

Maria Sarungi alipishana na mboss zake ila kwa Sasa yupo sawa na waliompa project ya Change Tz...

Vijana Akina Sativa, Hilda, Mwaipaya muwe makini chatu atawauza anytime.

GM - Summ
y Russia.
Idara ya meno imejitahidi kuweka mapandikizi wake lakini amemshindwa tata kutokea Tarime
 
Hakuna asiejua Maria Sarungi , Mange Kimambi ni Waccm wa kuzaliwa, Kukulia, na wamewahi kutumika kuijenga Ccm.

Je watu Hawa sio Mpango wa Watu wale?

Chadema tunawapenda Jitafakarini.

Heche Kaa chini na Mwenzako malizeni Tofauti zenu.

Kupishana isiwe chanzo cha kuanikana hadharani kwa maana tunajua wote ni Watumishi wa Tiifu wa Watu wale.

NB: Chama cha siasa Ujengwa na uimara wa vikao, Taratibu.

Vijana wengi wa Bavicha wameziacha akili zao wamekua wafuasi wa watu waiowajua ( wanaharakati uchwara)

Maria Sarungi alipishana na mboss zake ila kwa Sasa yupo sawa na waliompa project ya Change Tz...

Vijana Akina Sativa, Hilda, Mwaipaya muwe makini chatu atawauza anytime.

GM - Summ
y Russia.
Wanaharakati siku zote hawana rafiki wala adui wa kudumu! Wao kila kitu ni harakati! They are all over the place... Agenda zao mara nyingi ni kujadili kuhusu watu na matukio! Ni wa kujihadhari nao sana!

Hivyo CDM kama chama makini kisijiingize kwenye upepo wa wanaharakati! Wataachwa solemba!
 
Back
Top Bottom