Unafiki huu wa wanaharakati (CHADEMA), kiboko

Mkuu, kwani wewe hulioni anguko la CHADEMA? Au mpaka kwenye ballot box ndo utathibitisha kuwa hakika hiki chama kimesambaratika. Huwezi kumfukuza ZITTO bado kajifariji kuwa chama kiko imara

Unataka kutuambia siku CCM walipomfukuza Jumbe urais chama kilikufa? Chama hakina mtu nichawanachama.
 
NAPE jitafakari wewe na chama chako kwanza kabla ya kuirushia mawe CHADEMA...,Kuujua ukweli nusu ni hatari mno kuliko uongo mkamilifu.CHADEMA inaandaa vijana waadilifu na haijawahi kumfukuza kijna yeyote kwa kuhoji,tuletee ushahidi wa ulicho kizungumza ili vijana tukupe Data kamili.Hebu jiulize katika nchi hii ninani wanajenga chama kwa staili ya uongo na ufedhuli kama nyie CCM?? Hivi hamkai mkaajiuliza nilini mtawahadaa watanzania kwa uongo uliokithiri kiasi cha Ushetani??..,Siku zenu zina hesabika mtawatafuta wa kuwadanganya,hebu angalieni hii Ziara yako na Katibu wako mkuu Abrahaman KINANA jinsi mnavyo jinasahabisha kwa wananchi kuwa nyie ni watakatifu....,Nani mtawala wa nchi hii kama sio nyie CCM?? Mnapata wapi nguvu ya kuhoji aliye uwa viwanda?? shule kukosa walimu?? vijiji kukosa maji?? Mnaikumbuka ile kauli yenu ya Mawziri Mizigo?? Haya swali la kujiuliza Mawaziri wanateuliwa nanani?? Yani nisawa na Baba kumwita mtoto wake shetani jiulize mtoto wa shetani Baba yake nani?? Jibu rahisi ni kwamba Kama mawaziri walikuwa Mizigo wanatokana na CCM basi chama chako ni Mzigo na Alieye wateuwa je??...............
 
Aaaaah usihangaike na huyu ZUZU mbona tunamfahamu, siku akimpata Baba yake Uzuzu utamuisha
 
USHAURI MZURI,tatizo ni kwamba hawa WAASI WA LIBYA HUWA HAWASHAURIKI.
 
CHADEMA ni chama chenye nguvu kuliko vyama vyote Tanzania, wameanzisha maandamano ya kupinga Bunge Maalumu la Katiba, ccm wakaamrisha Polisi wazuie maandamano hayo nchi nzima wangeruhusu wangekiona cha moto.
 
wewe unayetukuza wazee na uzee leo,ndiye huyuhuyu uliyewahi kuwatukana kuwa wanasubiri kufa pale walipopaza sauti Zao kutaka serikali 3 kinyume na msimamo wa chama chenu.si unakumbuka vizuri?

Ha! Ha! Haaa!!! Safi sana , wanasema kwamba UKIWA MUONGO USIWE MSAHAULIFU .
 
Naandika hili kwa masikitiko makubwa maana watani zangu CHADEMA siku zao zinahesabika kwa kasi inayonitisha sana. Mimi ni muumini wa uimara wa CCM kutegemea sana uimara na umakini wa upinzani nchini! Kwahiyo anguko la upinzani nchini si jambo zuri kwa CCM, nchi na demokrasia yetu, CHADEMA kikiwa moja ya taasisi muhimu kwenye ukiaji wa demokrasia hiyo.

Kilichonistua ni degree ya unafiki inayojidhihirisha kila kukicha ya viongozi wengi wa CHADEMA. Kupinga ufisadi kwa mdomo mpana halafu unaendesha Chama kwa pesa hizohizo huu ni unafiki wa ajabu! Tunajifunza nini kwa kiongozi wa Chama anayesema pesa ni pesa tu inategemea unaitumiaje!!? Ha! Kwahiyo unaweza kuuza nchi ilimradi unapewa pesa.

Niliwahi kutoa mfano mkubwa wa unafiki wa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Slaa (sikuhizi nasikia vijana wanamwita Mzee wa Gongo) akihubiri watu waichukie CCM.

Na wakati mwingine alihamasisha wachane na hata kuchoma kadi za CCM wakati yeye kabanisha yake tena kwa matunzo makubwa! Huu ni unafiki mkubwa! Vijana tunajifunza nini kwa unafiki huu.

Lakini niliwahi kusema Chadema kinaendeshwa kwa pesa kutoka nje, wakabwata wakinipa siku saba kukanusha, kabla mate hayajakauka, aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Ndg. Zitto anakiri hadharani kuwa gazeti leo, ambacho ni chombo kikuu cha propaganda limeanzishwa kwa pesa kutoka nje!! Huwezi kujenga Chama kwa msingi wa uongo kuliko wa shetani halafu ukadhani chama kitadumu.

Utaratibu wa vyama kufukuza wanasiasa vijana kwenye vyama hivyo ni wa hovyo na unapaswa kukemewa! Vijana wasipokosea mnataka wakafanyie wapi makosa?? Vyama lazima vitumike kulea na kuwafumdisha vijana badala ya kuwafukuza. Toka watani zangu waanze kufukuza wamekuwa wakifukuza vijana tu hasa wanaohoji. Kuhoji ndani ya CHADEMA ni mwiko! Mtakumbuka ya Kafulila na vijana wengine wengi tu. Mtauliza we Nape!! Ndio mimi chama changu kilinisikiliza na ndio maana nipo sikufukuzwa! Ukomavu ni pamoja na kuwa tayari kusikiliza maoni tofauti na uliyonayo.

Ushauri wa bure: Watani anzeni upya! Msione aibu fumua anza upya tutawasubiri mkomae msihofu kuachwa sana! Mmekutana na ajali ya kisiasa kutafuta mchawi sio dawa, tafuteni mmejikwaa wapi.

Sina hakika kama ni mapenzi ya chama pekee au una kitu cha ziada ambacho yawezekana wengine hatuna; kwa jinsi mchakato mzima ulivyotia aibu mbele ya watanzania wenyewe na mataifa isingekuwa rahisi mtu kufurahia kama hana kitu cha pekee. Hakika kwa kuwa watanzani ni waafrika ambao kiasili tuna imani ya Uwepo wa Mungu basi baada ya bunge la katiba kuisha dhamira za wabunge walioshiriki uovu huu zitaungua sana pengine hata kukosa raha kwa sehemu yote iliyobaki ya maisha yao.

Siku 1 nilicheza mchezo wa drafti nikiwa peke yangu baada ya kukoseka mtu wa kucheza nae. Basi nilitumia mkono 1 kupanga kete pande zote 2 wangu na wa adui; nilipoanza kucheza nilitumia mikono miwili wa kushoto na kulia nikihisi kama vile sehemu 1 ya kiungo changu sio sehemu ya mwili wangu. Basi nilisukuma kete upande 1, nikasukuma na upande mwingine bila kuhisi kama ni mimi yule yule aliye sukuma huku na kule. Mwishowe upande 1 ambao sijui kama ni wangu au laa ukafunga ngoli nikacheka kwa sauti, punde tu nikaangaalia huku na kule kama kuna mtu aliniona na kunisikia; nikaona aibu kuwa nilikuwa mjinga sana. Siku jua kama ni upande uliofungwa au uliofunga ndio uliosaidia kujua kuwa nilikuwa mjinga; Mpaka leo bado sijatambua kuwa uwezo wa akili zangu ni ule ulioshindwa au shinda au ni huu ambao mpaka leo unashindwa kutambua nimkono wangu 1 ulifungwa au nilifungwa mimi mwenyewe.
 
Naandika hili kwa masikitiko makubwa maana watani zangu CHADEMA siku zao zinahesabika kwa kasi inayonitisha sana. Mimi ni muumini wa uimara wa CCM kutegemea sana uimara na umakini wa upinzani nchini! Kwahiyo anguko la upinzani nchini si jambo zuri kwa CCM, nchi na demokrasia yetu, CHADEMA kikiwa moja ya taasisi muhimu kwenye ukiaji wa demokrasia hiyo.

Kilichonistua ni degree ya unafiki inayojidhihirisha kila kukicha ya viongozi wengi wa CHADEMA. Kupinga ufisadi kwa mdomo mpana halafu unaendesha Chama kwa pesa hizohizo huu ni unafiki wa ajabu! Tunajifunza nini kwa kiongozi wa Chama anayesema pesa ni pesa tu inategemea unaitumiaje!!? Ha! Kwahiyo unaweza kuuza nchi ilimradi unapewa pesa.

Niliwahi kutoa mfano mkubwa wa unafiki wa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Slaa (sikuhizi nasikia vijana wanamwita Mzee wa Gongo) akihubiri watu waichukie CCM.

Na wakati mwingine alihamasisha wachane na hata kuchoma kadi za CCM wakati yeye kabanisha yake tena kwa matunzo makubwa! Huu ni unafiki mkubwa! Vijana tunajifunza nini kwa unafiki huu.

Lakini niliwahi kusema Chadema kinaendeshwa kwa pesa kutoka nje, wakabwata wakinipa siku saba kukanusha, kabla mate hayajakauka, aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Ndg. Zitto anakiri hadharani kuwa gazeti leo, ambacho ni chombo kikuu cha propaganda limeanzishwa kwa pesa kutoka nje!! Huwezi kujenga Chama kwa msingi wa uongo kuliko wa shetani halafu ukadhani chama kitadumu.

Utaratibu wa vyama kufukuza wanasiasa vijana kwenye vyama hivyo ni wa hovyo na unapaswa kukemewa! Vijana wasipokosea mnataka wakafanyie wapi makosa?? Vyama lazima vitumike kulea na kuwafumdisha vijana badala ya kuwafukuza. Toka watani zangu waanze kufukuza wamekuwa wakifukuza vijana tu hasa wanaohoji. Kuhoji ndani ya CHADEMA ni mwiko! Mtakumbuka ya Kafulila na vijana wengine wengi tu. Mtauliza we Nape!! Ndio mimi chama changu kilinisikiliza na ndio maana nipo sikufukuzwa! Ukomavu ni pamoja na kuwa tayari kusikiliza maoni tofauti na uliyonayo.

Ushauri wa bure: Watani anzeni upya! Msione aibu fumua anza upya tutawasubiri mkomae msihofu kuachwa sana! Mmekutana na ajali ya kisiasa kutafuta mchawi sio dawa, tafuteni mmejikwaa wapi.

Duh, huyu mke wa Kinana kaibukia wapi tena ?
 
Cdm komeshinda mbinu zenu za kigaidi,kimamluki,mabomu na upumbavu mwingine wa lumumba dhidi ya cdm na watu wake sana mumeua watu wasio na hatia na mkumbuke damu za hao marehemu zina walilia kama sio nyinyi basi watoto wenu laana hii itawaandama chadema kipo imara kuliko siku zote maana iko makini kuliko usalama wa taifa,serekali na ccm na hicho ndicho kinawaumiza kichwa limumba kumbuka maneno ya Wasira dhidi ya chadema kwamba itakapofika 2013 mwezi wa 12 chadema ingekuwa ndio mwisho wake sasa ndio kwa ukawa unazaliwa chini ya chadema sasa kwanini ccm na akina na Nape msiweweseke? Tulieni mtausoma mziki mwakani maana mshaanza kulia na mfumo kipoga kura na hofu yenu ni maboresho ya daftari udhalimu mwisho wake ni 2015 na mtafute nchi za kuamia kwa mauaji mliofanya mapema ....pumbavu zenu
 
Waziri wa Mawasiliano ambaye ni mgeni rasmi wa kutoa zawadi za stories of change amesema yeye ni member wa Jamii Forums

Amesema tofauti na wengine yeye ana ngozi ngumu ya kustahimili matusi. Na wakati mwingine huwa anayasoma kabla ya kulala.

Possibly Nape anatumia ID ambayo haijulikani so kuweni makini mnapotukana watu.

Nafuatilia youtube

View attachment 2420687
This is true, Nape ni mwenzetu humu, tupo naye kwa ID yake ya nape mnauye, ila pia yupo yupo!.
Mwenye ngozi ngumu ni hapa JF ni Pascal Mayalla wengine ngozi ya u-bwbw
Naomba kuthibitisha ana ngozi ngumu!.
P
 
Back
Top Bottom