Mkuu hao waliofanya waadhbiwe tu, hivi juzi Rais kawafuta kazi mawaziri, ubakaji ni mambo yanayohitaji ushahidi mahakamani na ikidhihirika washitakiwe....mie sipendi siasa za majitaka kuzungumzia vtuko binafsi vya ngono kwa viongozi wa CDM ila yapo mengi........Jana nimemsikia Mbowe anakiri kupewa hela kuhalalisha matumizi ya pesa chafu...eti ''kama unapokea pesa lakini matumizi yake ni mazuri.....kimombo ''the end jutify the means''......sasa jamaa wakikamata dola itakuwaje..........kama leo CDM inafukuza wanachama kwa madai ya kauandaa ''waraka wa mabadiliko'' kwa CCM labda wangeitwa wana ''Mtandao''ni hatari kubwa! hivi ni kweli Mbowe na kundi lake hawana mikakati ya ushindi wa uongozi ndani ya Chama? ni nani leo wa kumnyang'anya Lema,Nasary,Mbowe,Slaa Laptop zao kuchunguza nyaraka na mawasiliano baina yao?