Unafiki huu wa wanaharakati (CHADEMA), kiboko

Narudia Tena sijawai kuwa na Imani na freeman Mbowe, kidogo Padri niliwai kumuamini kipindi kile amejifunza kuwa mjasiri kutoka kwa ZZK
 
Chadema wanakiwanda cha uongo kama hutaki unaacha .
 
Hivi si wewe uliyetoa siku 30, 60, 90 na miaka sasa kuwa mafisadi lazima wafukuzwe ndani ya chama?

Kwani ulitarajia wafukuzwe kutoka CCM waende UVCCM au UWT?
Uliposema wafukuzwe na hawakufukuzwa na sasa unalaani wenzako huo kama si unafiki unaitwaje kwa lugha ya nyingine?

Nape kikao cha NEC Butiama ukiwa bado unacheza chipukizi wazee wakubwa walisema nini kuhusu mafisadi?

Kikao kilipoahirishwa na JK mchana ilikuwa ni nini kama si kuokoa mafisadi?
Unakumbuka mawaziri wakuu na wadhamini wa chama walitaka hatua gani zichukuliwe dhidi ya mafisadi?

Nani aliwalea katika chama kama si mwenyekiti wako aliyeogopa kuwafukuza maswahiba wake.

Juzi umemnanga Lowasa kuhusu kuvunja taratibu za CCM, Hee !! kama wewe ni bingwa wa malezi vipi usiendelee kumlea Lowasa unamwekea zengwe?
Kwanini CCM iwe na utaratibu na wengine wakiutumia utaratibu ionekane inda kwako?

Wewe Nape, si juzi ukiwa katibu mwenezi umekaa mbele ya meza kumfukuza Mansour Himid kwa kusema anataka serikai 3, Vipi uyaya ulikushindaje kumlea kijana huyu hadi utoe ushauri wa kulea kwa wenzako. Huo kama si unafiki mnaitaje pale Lumumba?

Nape, wewe unaona wizi ni wa gazeti ulisemalo, umeshawahi kuuliza nani anagharamia gazeti la habari leo na uhuru.

Unasema pesa za nje haramu, halali ni zipi za Kagoda, meremeta na meno ya tembo ya wakubwa wenzako.

Wewe Nape usiyeweza kulea tembo wa serengeti ukila na kunywa na majangili unawezaje kuwa yaya wa vyama vya upinzai. Uyaya huo umeutoa wapi na lini.

Tafadhali Nape usitibue nyongo za watu, kaa kimya na endelea kulea udhaifu na wizi wa chama chako na serikali yako.

Leo watoto wa Machala hawana shule hulioni hilo unalilia uyaya wa upinzani.

Nape! Nape! Nnauye usitutibue tafadhali.

Naandika hili kwa masikitiko makubwa maana watani zangu CHADEMA siku zao zinahesabika kwa kasi inayonitisha sana. Mimi ni muumini wa uimara wa CCM kutegemea sana uimara na umakini wa upinzani nchini! Kwahiyo anguko la upinzani nchini si jambo zuri kwa CCM, nchi na demokrasia yetu, CHADEMA kikiwa moja ya taasisi muhimu kwenye ukiaji wa demokrasia hiyo!

Kilichonistua ni degree ya unafiki inayojidhihirisha kila kukicha ya viongozi wengi wa CHADEMA. Kupinga ufisadi kwa mdomo mpana halafu unaendesha Chama kwa pesa hizohizo huu ni unafiki wa ajabu! Tunajifunza nini kwa kiongozi wa Chama anayesema pesa ni pesa tu inategemea unaitumiaje!!? Ha! Kwahiyo unaweza kuuza nchi ilimradi unapewa pesa!!?

Niliwahi kutoa mfano mkubwa wa unafiki wa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Slaa (sikuhizi nasikia vijana wanamwita Mzee wa Gongo) akihubiri watu waichukie CCM.

Na wakati mwingine alihamasisha wachane na hata kuchoma kadi za CCM wakati yeye kabanisha yake tena kwa matunzo makubwa! Huu ni unafiki mkubwa! Vijana tunajifunza nini kwa unafiki huu!???!

Lakini niliwahi kusema Chadema kinaendeshwa kwa pesa kutoka nje, wakabwata wakinipa siku saba kukanusha, kabla mate hayajakauka, aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Ndg. Zitto anakiri hadharani kuwa gazeti leo, ambacho ni chombo kikuu cha propaganda limeanzishwa kwa pesa kutoka nje!! Huwezi kujenga Chama kwa msingi wa uongo kuliko wa shetani halafu ukadhani chama kitadumu!!!

Utaratibu wa vyama kufukuza wanasiasa vijana kwenye vyama hivyo ni wa hovyo na unapaswa kukemewa! Vijana wasipokosea mnataka wakafanyie wapi makosa?? Vyama lazima vitumike kulea na kuwafumdisha vijana badala ya kuwafukuza. Toka watani zangu waanze kufukuza wamekuwa wakifukuza vijana tu hasa wanaohoji. Kuhoji ndani ya CHADEMA ni mwiko! Mtakumbuka ya Kafulila na vijana wengine wengi tu. Mtauliza we Nape!! Ndio mimi chama changu kilinisikiliza na ndio maana nipo sikufukuzwa! Ukomavu ni pamoja na kuwa tayari kusikiliza maoni tofauti na uliyonayo!!

Ushauri wa bure: Watani anzeni upya! Msione aibu fumua anza upya tutawasubiri mkomae msihofu kuachwa sana! Mmekutana na ajali ya kisiasa kutafuta mchawi sio dawa, tafuteni mmejikwaa wapi.

Jiandaye tu muda si mrefu utipata ya uhakika ....tia maji ya cdm ni cha mtoto amini usiamini.
nape nape nape kaa chonjo uvungu usioujua!??? kaa chonjo vuvuzella la ccm.
 
Mpuuzeni Nape ziilimwishia kichwani long time.
 
Mkuu, kwani wewe hulioni anguko la CHADEMA? Au mpaka kwenye ballot box ndo utathibitisha kuwa hakika hiki chama kimesambaratika. Huwezi kumfukuza ZITTO bado kajifariji kuwa chama kiko imara

Wewe kweli msukule,kwani zitto ndio cdm? mwambie nape atwambie zile siku 90 walizowapa mafisadi wajivue magamba bado tu?
 
ni kweli simba ikifa yanga itacheza na nani ijaze watu vile vile maendeleo yetu yanategemea nguvu ya upinzani kuhoji na kusimamia serikali
 
Naandika hili kwa masikitiko makubwa maana watani zangu CHADEMA siku zao zinahesabika kwa kasi inayonitisha sana. Mimi ni muumini wa uimara wa CCM kutegemea sana uimara na umakini wa upinzani nchini! Kwahiyo anguko la upinzani nchini si jambo zuri kwa CCM, nchi na demokrasia yetu, CHADEMA kikiwa moja ya taasisi muhimu kwenye ukiaji wa demokrasia hiyo!

Kilichonistua ni degree ya unafiki inayojidhihirisha kila kukicha ya viongozi wengi wa CHADEMA. Kupinga ufisadi kwa mdomo mpana halafu unaendesha Chama kwa pesa hizohizo huu ni unafiki wa ajabu! Tunajifunza nini kwa kiongozi wa Chama anayesema pesa ni pesa tu inategemea unaitumiaje!!? Ha! Kwahiyo unaweza kuuza nchi ilimradi unapewa pesa!!?

Niliwahi kutoa mfano mkubwa wa unafiki wa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Slaa (sikuhizi nasikia vijana wanamwita Mzee wa Gongo) akihubiri watu waichukie CCM.

Na wakati mwingine alihamasisha wachane na hata kuchoma kadi za CCM wakati yeye kabanisha yake tena kwa matunzo makubwa! Huu ni unafiki mkubwa! Vijana tunajifunza nini kwa unafiki huu!???!

Lakini niliwahi kusema Chadema kinaendeshwa kwa pesa kutoka nje, wakabwata wakinipa siku saba kukanusha, kabla mate hayajakauka, aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Ndg. Zitto anakiri hadharani kuwa gazeti leo, ambacho ni chombo kikuu cha propaganda limeanzishwa kwa pesa kutoka nje!! Huwezi kujenga Chama kwa msingi wa uongo kuliko wa shetani halafu ukadhani chama kitadumu!!!

Utaratibu wa vyama kufukuza wanasiasa vijana kwenye vyama hivyo ni wa hovyo na unapaswa kukemewa! Vijana wasipokosea mnataka wakafanyie wapi makosa?? Vyama lazima vitumike kulea na kuwafumdisha vijana badala ya kuwafukuza. Toka watani zangu waanze kufukuza wamekuwa wakifukuza vijana tu hasa wanaohoji. Kuhoji ndani ya CHADEMA ni mwiko! Mtakumbuka ya Kafulila na vijana wengine wengi tu. Mtauliza we Nape!! Ndio mimi chama changu kilinisikiliza na ndio maana nipo sikufukuzwa! Ukomavu ni pamoja na kuwa tayari kusikiliza maoni tofauti na uliyonayo!!

Ushauri wa bure: Watani anzeni upya! Msione aibu fumua anza upya tutawasubiri mkomae msihofu kuachwa sana! Mmekutana na ajali ya kisiasa kutafuta mchawi sio dawa, tafuteni mmejikwaa wapi.
Nape wewe ulivyo anzisha CCJ tukuiteje? au ndio unajitoka ufahamu? maccm mnabaki kujadili mambo ambayo hayawahusu mnaacha masuala ya msingi kama kupanda ghalama za umeme au ndio mnafurahia watanzania tunapo teseka?
 
Vita ya Chadema ni wahafidhina Vs wakuja kuelekea kushika hatamu ya uongozi
 
CCM kweli ni yaya,ndio maana wanawalea/kuwafuga wauaji kama kamuhanda,wabakaji kama kapuya,wezi wa raslimali za taifa(waliotorosha twiga hai),mafisadi kama mamvi,majangili kama yule msomali na wachina,magaidi kama mchembe aka savimbi,wauza unga n.k,KWELI NYIE NI MAYAYA WAZURI!
 
Pesa zinatolewa na wafadhiri kwa ajiri ya kuanzisha Gazeti la chama lakini gazeti linaanzishwa kwa kampuni ya kiongozi mkuu wa chama.

Watu ambao walikuwa hawafahamu ndiyo maana walikuwa kila mara wanapiga kelele na kujiuliza kwa nini chama hakianzishi media zake but little known kuwa fungu la pesa za kuanzisha media lilikuwa tayari limetolewa na wafadhiri wa chama ambao ni The Conservative Party (UK).

Huu unafiki ni kiboko!
 
Well said nape! Matumizi makubwa ya CDM yapo makao makuu, wilayani hakuna hata sennt, hivo wato wanajiandaa kushika dola, alikosoa hili WANGWE aka singiziwa USALITI
 
Tuna kazi kubwa sana kuifikia Tanzania tunayoitaka ikiwa watu ambao tunawategemea kutuongoza kufikia huko ni jamii hii ya kina Nape ambao wanatumia nguvu nyingi kuhakikisha upinzani unatoweka baada ya kuelekeza nguvu hiyo kwenye maendeleo ya wananchi,
Ndugu Nape ungeonekana una faida kama unge adress positively ishu ya kupanda kwa bei ya umeme,wazazi kulazimishwa kuchangia elfu 50 ili watoto waandishwe shule, wachina wako kuendeele kuua tembo wetu na kukamatwa kila kukicha bandarini na mengineyo mengi kuliko kuelekeza huko uliko hopeless kabisa sikutegemea kabisa mtu kama wewe kuleta porojo kama hizi
 
Minilidhani huyu katibu mwenezi wa chama cha mizigo angekuja haja jamvini na suluhisho la kupanda kwa gharama za maisha kunakosababishwa na kupanda kwa umeme na gesi,aidha suluhisho la kushuka kwa viwango vya elimu badala ya huu usanh wa sasa wa kupanua goli ili mabao mengi yaingie,gharama ya mashine za TRA,Swala la katiba mpy hasa tume huru ya uchaguzi na UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.Lakini cha kushangaza anakuja na ngonjera za kipuuz za kufa cdm kama vile yeye ni mpiga ramli au Yahaya! Kweli ccm ni chama cha mizigo!
 
Nape ni janga la kitaifa hata siku moja ujawahi kukanusha kuhusu CCJ Vipi kuhusu mafisadi kupewa siku 90
 
Well said nape! Matumizi makubwa ya CDM yapo makao makuu, wilayani hakuna hata sennt, hivo wato wanajiandaa kushika dola, alikosoa hili WANGWE aka singiziwa USALITI

Unauhakika ktk wilaya hakuna ruzuku? Mtaweweseka sana lakn cdm hamuiwezi! Mbinu zenu zote za kidhoofisha zilishabuma.WASALITITUMEWA DELETE na ndilo lililokuwa tegemeo lenu kubwa la kuibomoa cdm!
 
Mzee aliyekaa chini ua mti anaona mbali kuliko kijana aliyejuu ya mti!

Hiyo ndio adabu, kama Umejua umuhimu wa wazee post ya juu kumbe umeandikiwa? Kama umeandika mwenyewe basi we Psychiatric, na kama viongonzi tulio nao ndio hawa basi hatutatoka... ( vijana wana speed ila wazee ndio wanaoijua njia) )
 
Mimi sijamuelewa alikuwa aanzungumzia nini/
Maana naona mara gongo, mara gazeti, mara unafki, maara mimi haw ajanifikuza, mara kafulila, mara .....

AAAghhhhhhhh, Sikuelewi kiukweli.
 
Hivi si wewe uliyetoa siku 30, 60, 90 na miaka sasa kuwa mafisadi lazima wafukuzwe ndani ya chama?

Kwani ulitarajia wafukuzwe kutoka CCM waende UVCCM au UWT?
Uliposema wafukuzwe na hawakufukuzwa na sasa unalaani wenzako huo kama si unafiki unaitwaje kwa lugha ya nyingine?

Nape kikao cha NEC Butiama ukiwa bado unacheza chipukizi wazee wakubwa walisema nini kuhusu mafisadi?

Kikao kilipoahirishwa na JK mchana ilikuwa ni nini kama si kuokoa mafisadi?
Unakumbuka mawaziri wakuu na wadhamini wa chama walitaka hatua gani zichukuliwe dhidi ya mafisadi?

Nani aliwalea katika chama kama si mwenyekiti wako aliyeogopa kuwafukuza maswahiba wake.

Juzi umemnanga Lowasa kuhusu kuvunja taratibu za CCM, Hee !! kama wewe ni bingwa wa malezi vipi usiendelee kumlea Lowasa unamwekea zengwe?
Kwanini CCM iwe na utaratibu na wengine wakiutumia utaratibu ionekane inda kwako?

Wewe Nape, si juzi ukiwa katibu mwenezi umekaa mbele ya meza kumfukuza Mansour Himid kwa kusema anataka serikai 3, Vipi uyaya ulikushindaje kumlea kijana huyu hadi utoe ushauri wa kulea kwa wenzako. Huo kama si unafiki mnaitaje pale Lumumba?

Nape, wewe unaona wizi ni wa gazeti ulisemalo, umeshawahi kuuliza nani anagharamia gazeti la habari leo na uhuru.

Unasema pesa za nje haramu, halali ni zipi za Kagoda, meremeta na meno ya tembo ya wakubwa wenzako.

Wewe Nape usiyeweza kulea tembo wa serengeti ukila na kunywa na majangili unawezaje kuwa yaya wa vyama vya upinzai. Uyaya huo umeutoa wapi na lini.

Tafadhali Nape usitibue nyongo za watu, kaa kimya na endelea kulea udhaifu na wizi wa chama chako na serikali yako.

Leo watoto wa Machala hawana shule hulioni hilo unalilia uyaya wa upinzani.

Nape! Nape! Nnauye usitutibue tafadhali.

Nguruvi3 wewe si ulikimbia hili jukwaa na kwenda kule "Great thinkers" na ulikuwa unataka haki itendeke kwa Zitto leo umegeuka au leo ndio umeujua ukweli mkuu tafakari.....
 
naunga mkono hoja ,mbowe ni mpiga madili anachukua fedha kutoka kwenu,kwa akina nimrod,rostam na anaingia mikataba na akina kinana na sumaye ya madeni then zigo wanapachikwa chadema kama chama
mbaya zaidi amekiri kwa mdomo wake eti uchukue fedha kwa mpinzani wako kipindi cha uchaguzi then uhoji zinalengo gani?

wewe KUDANDIA TU, utabaki kuingizwa mjini tu...talk the reality....
 
Back
Top Bottom