Unaanzaje kumvua nguo mke wa mtu?

Unaanzaje kumvua nguo mke wa mtu?

Kwani huyo mwanamke alishikiwa bunduki wakati wakuvuliwa nguo au alilazimishwa kutongozwa
 
Wanaume ni watu ambao ufahamu wao unaweza kuwa interrupted kirahisi zaidi linapokuja suala na tamaa ya ngono.

Hebu fikiria ujasiri huwa unatoka wapi wa kumtongoza mpaka kutembea na mke wa mtu?

Jibu ni moja tu kipindi anafanya hivyo anakuwa akili zake haziko kawaida, fikiria kidogo uchungu wa mke au mume.

Vipi ukimkuta mwanaume mwenzio juu ya kifua cha mkeo?

Maumivu unayoyapata ndiyo anayoyapata mwanaume mwenzio pale anapogundua mkewe kaliwa nje.

Ukitaka kujua hili jiulize baada ya tendo kwanini unajilaumu?

Akili haiwezi kuja mpaka mbegu zimetoka wanaita bao sijui mara round moja.

Inamaana akili za mwanaume huwa hazifanyikazi kabisa kabla ya kupizi.

Nisaidieni niwaelewe nyie viruka njia msiyokuwa na haya.

Najua walioguswa zaidi wenye hekima watajirekebisha ambao akili zao wamekabidhisha kwa shetani watatokwa na mitusi kitusi ambacho huwa kinafanywa na mtu asiye na akili.

Karibuni
Ni kweli inauma. Lakini inauma pande zote mbili. Chukulia wewe ni mme wa mtu inakuwaje unakubali kujirahisisha mpaka unaingia mtego wa kutongozwa. Mbaya zaidi huwazi hata kidogo mke mwenzako atajisikiaje endapo atawakuta wote. Pia fikiria huyu mwanaume hakutii kamba lakini kwa tamaa zako za kingono na labda vitu kama pesa unakubali kumwaga mmeo unakwenda sijui hotel au Guest na fikiria unajichekesha chekesha na mwisho wa yote unavua nguo. Hivi wewe tukuite mzima au punguani kama siyo kukosa pia utu na heshma kwa mmeo. Ebu Monicca tupe majibu
 
Dah inaumiza ila kwasasa wanawake wengi wanajielewa nawanaheshimu ndoa zao. Wapo wachache wanaofanya huo uchafu
Kweli kabisa , isitoshe wameshtuka wakiona wanavyo olewa wachache
 
Hapa ishu isiishie kwenye mwanaume kuanza kumvua nguo mke wa mtu, ifikie mpaka kwenye - Mke wa mtu kukubali kuvuliwa nguo na asiye mume wake.

Kuuongelea upande mmoja, unamaanisha kua wake za watu ni wepesi kukubali? Hawawezi kukataa?

Ijazie hizo nyama thread yako.
Mkuu nimekuelewa zaidi
 
Kwanza wanawake wenyewe siku hizi hawavai hizo chupi zinazolalamikiwa!
 
Hapa mshenzi ni mwamke tena hafai tuna amini kwamba mwanamke ndo kioo cha jamii akijistiri vizuri hakuna baya ambalo litatokea ila akikaa kimitego lazima aliwe kwahiyo hili swala "WANALIPENDAGA"
Msanii ndio kioo cha jamii. Sio mwanamke. [emoji3]
 
Udhaifu mkubwa wa wawanawake wanajua sisi wanaume tunatamaa kwanini wasiwe na misumamo? Wanawake ndo jip
 
ndani ya mada mbona mke naye kakubali tuu kutongozwa na mume wa mtu ama yeye kukubali akiwa ndani ya ndoa
 
Huwa mnajileta wenyew na kujirahisisha wenyew sie tufanyeje zaid ya kuwapasua tuu
 
Wanaume ni watu ambao ufahamu wao unaweza kuwa interrupted kirahisi zaidi linapokuja suala na tamaa ya ngono.

Hebu fikiria ujasiri huwa unatoka wapi wa kumtongoza mpaka kutembea na mke wa mtu?

Jibu ni moja tu kipindi anafanya hivyo anakuwa akili zake haziko kawaida, fikiria kidogo uchungu wa mke au mume.

Vipi ukimkuta mwanaume mwenzio juu ya kifua cha mkeo?

Maumivu unayoyapata ndiyo anayoyapata mwanaume mwenzio pale anapogundua mkewe kaliwa nje.

Ukitaka kujua hili jiulize baada ya tendo kwanini unajilaumu?

Akili haiwezi kuja mpaka mbegu zimetoka wanaita bao sijui mara round moja.

Inamaana akili za mwanaume huwa hazifanyikazi kabisa kabla ya kupizi.

Nisaidieni niwaelewe nyie viruka njia msiyokuwa na haya.

Najua walioguswa zaidi wenye hekima watajirekebisha ambao akili zao wamekabidhisha kwa shetani watatokwa na mitusi kitusi ambacho huwa kinafanywa na mtu asiye na akili.

Karibuni
Chukua majibu kama ifuatavyo,wewe unamlaumuje mwanaume wakati mke wa mtu anajua ameolewa anmfuata mtu guest?hata mwanaume akikamatwa anaweza kusema alikuwa hajui huyo ni mke wa mtu,Mkuu nakuambia na amini kumvua chupi mke wa mtu ni raha sana yaani hapa mapigo ya moyo yanaenda mbio,tena ni raha mara mia moja zaidi kama mume wake unamfahamu tena ni rafiki yako!Ni treasure ambayo akilini huwa haitoki.shida ukikamatwa 0713 inakuhusu kwa hyo na wewe kabla ukamatwe unatumia kabisa na 0713.
 
Hivi hiyo avatar yako ulipata ajali au?
 
Back
Top Bottom