Unaanzaje kumvua nguo mke wa mtu?

Unaanzaje kumvua nguo mke wa mtu?

mwanamke anaye tembea n mume wa mtu ni hewa kabisa...na mwanaume anaye fanya hvy ni hewa pia mxieewwww..
 
Hebu fikiria ujasiri huwa unatoka wapi wa kumtongoza mpaka kutembea na mke wa mtu?

Jibu ni moja tu kipindi anafanya hivyo anakuwa akili zake haziko kawaida, fikiria kidogo uchungu wa mke au mume.

Huyo mtongozwaji hana tatizo? Mshika funguo za mlango ndio wakuwajibishwa endapo strangers wanaingia ndani wakati alitakiwa kuufunga. Pia yawezekana wengine wana tabia ya muuza karanga za kukaanga yaani kuonjesha kila mtu. Kwa hiyo mke wa mtu anatakiwa kuwa treated kama under 18?
 
Mi sioni kama kosa ni la mwanaume kama mwanamke mwenyewe anajua kabisa yeye ni mke wa mtu

Kiherehre cha nini amvulie nguo mwanaume mungine?

Nnachokijua mimi wanaume ni watu wa kujaribu tu.

Ni sawa na mbwa ukimchekea atakufata mpka nyumba ya ibada.
 
Wanaume ni watu ambao ufahamu wao unaweza kuwa interrupted kirahisi zaidi linapokuja suala na tamaa ya ngono.

Hebu fikiria ujasiri huwa unatoka wapi wa kumtongoza mpaka kutembea na mke wa mtu?

Jibu ni moja tu kipindi anafanya hivyo anakuwa akili zake haziko kawaida, fikiria kidogo uchungu wa mke au mume.

Vipi ukimkuta mwanaume mwenzio juu ya kifua cha mkeo?

Maumivu unayoyapata ndiyo anayoyapata mwanaume mwenzio pale anapogundua mkewe kaliwa nje.

Ukitaka kujua hili jiulize baada ya tendo kwann unajilaumu?

Akili haiwezi kuja mpaka mbegu zimetoka wanaita bao sijui mara round moja.

Inamaana akili za mwanaume huwa hazifanyikazi kbsa kabla ya kupizi.

Nisaidieni niwaelewe nyie viruka njia msiyokuwa na haya.

Najua walioguswa zaidi wenye hekima watajirekebisha ambao akili zao wamekabidhisha kwa shetani watatokwa na mitusi kitusi ambacho huwa kinafanywa na mtu asiye na akili.

Karibuni
Mama haka kamsemo kwa mafiga matatu wewe hujakasikia!!!

Nyie c ndiyo mnaosisitizia mafiga ma3 sisi ni watekelezaji tu.
 
Mkuu wanaoongoza kutongoza hovyo ni wanaume za watu, tena na Pete anayo kidoleni. Yaani huwa na nakwazika sana.
Mwenyewe wananikwaza saaana. Wanatuzibiaga riziki saana kwa sisi mabachela (tangazo hili limedhaminiwa na BUZZ. Buzz ni bomba)
 
Back
Top Bottom