Unaanzaje kumvua nguo mke wa mtu?

Unaanzaje kumvua nguo mke wa mtu?

Wanaume ni watu ambao ufahamu wao unaweza kuwa interrupted kirahisi zaidi linapokuja suala na tamaa ya ngono.

Hebu fikiria ujasiri huwa unatoka wapi wa kumtongoza mpaka kutembea na mke wa mtu?

Jibu ni moja tu kipindi anafanya hivyo anakuwa akili zake haziko kawaida, fikiria kidogo uchungu wa mke au mume.

Vipi ukimkuta mwanaume mwenzio juu ya kifua cha mkeo?

Maumivu unayoyapata ndiyo anayoyapata mwanaume mwenzio pale anapogundua mkewe kaliwa nje.

Ukitaka kujua hili jiulize baada ya tendo kwanini unajilaumu?

Akili haiwezi kuja mpaka mbegu zimetoka wanaita bao sijui mara round moja.

Inamaana akili za mwanaume huwa hazifanyikazi kabisa kabla ya kupizi.

Nisaidieni niwaelewe nyie viruka njia msiyokuwa na haya.

Najua walioguswa zaidi wenye hekima watajirekebisha ambao akili zao wamekabidhisha kwa shetani watatokwa na mitusi kitusi ambacho huwa kinafanywa na mtu asiye na akili.

Karibuni
Mbona umemzungumzia mwanaume tuuu hapo na huyo mwanamke umemuweka upande upi ktk huo uahirikiano? Kwan kalazimishwa si kahiyari mwenyewe. Tathmn akili ya huyo mwanamke aliyekubali kuvua nguo ikiwa anajijua ye ni nan!!!!!!!!
 
Mwanamke ndiye mjinga kabisa. Hata vitabu vya dini vinatambua mwanaume kaumbwa kwa hisia kali na za ghafla. Sasa mianajike ndo inatabia ya kutengeneza mazingira ya kutongozwa. Mwanaume hawezi kuanza tu kumtongoza mke wa mtu unless there is a welcome call.

Badili tabia moniccca, utavuliwa sana tu hicho kibikini chako.
 
Hapa ishu isiishie kwenye mwanaume kuanza kumvua nguo mke wa mtu, ifikie mpaka kwenye - Mke wa mtu kukubali kuvuliwa nguo na asiye mume wake.

Kuuongelea upande mmoja, unamaanisha kua wake za watu ni wepesi kukubali? Hawawezi kukataa?

Ijazie hizo nyama thread yako.
Kweli mkuu itabidi ajilekebixhe sio anawashutumu watu wa upande mmoja.
 
Da hapo mkuu nimefanya upembuzi ni wengi sana hufanya dhambi kwanza halafu anaokoka monica ulitembea namme wamtu sasa namwenzio kalipa mashambulizi umeumia!!
 
Mimi mpaka sasa hivi nimemwacha sasa ananitishia kweli ananitumia meseji za ajabu mpaka kero kwa hiyo sasa hivi wake za watu wamekuwa kero wanatuganda sana
 
Naye anayevua akijua ni mke wa mtu ni zaidi ya asiye na akili.. Kwani amekua na mawazo ya kuendeshwa asiweze kukataa... Kwann mwanaume akita tu anapewa??
 
Mpaka inafikia hatua ya kwenda sehemu faragha na huyo mwanaume wa mtu hapo wewe pia una makosa, ila kama huyo mwanaume alikudanganya kuwa hana mke, hapo utakuwa hauna kosa lolote. Maana wanaume akili zao wanazijua wenyewe, when they're in need of some things wanakuwa wapolee, watadanganya vile wawezavyo.

Sent from my GT-I9300 using JamiiForums mobile app
 
Kiukweli sisi vidume hua tunatamaa, na ndiyo maana mwanaume hata angepewa wa 70 wa 71 nakuendelea watapatikana tu, ukitaka kujua Mungu kwanini alimfanyia hakili mfugaji na kugundua kua zizi la mifugo yake majike yawe mengi??,,
Bebelu au Zagamba kwenye majike 30 vidume wa 2 au mumoja?? ...

Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom