Unaanzaje kumvua nguo mke wa mtu?

Unaanzaje kumvua nguo mke wa mtu?

kuna dada alinitext fb (she is my long time friend) nikachat nae baadae akaanza kunieleza jinsi mumewe asivyomjali, hatengi muda kuwa nae and so forth,. sasa mimi nikawa namsihi awe mvumilivu huenda jamaa atabadilika pia nikawa nampa maneno ya faraja and most of the time akawa ananitafuta nachat nae na mwendo ni ule ule malalamiko juu ya mumewe. Sasa kaniambia kuwa next thursday tukutane sehemu tulivu na ameshaaga kwa mumewe kuwa siku hiyo ataondoka home ataenda kuwasabahi ndugu zake. I dont know what will happen hiyo keshokutwa aisee
Nikikuona nae nachukua picha natuma Facebook
 
Mbona hueleweki?
I mean kuchepuka ni tabia inayoundwa na matukio anayopitia mtu inawezaa ikawa kusalitiwa ama hulka.! Though kuwa mwaminifu ni mtu anajijengea hiyo tabia na inakuwa desturi yake.! Cha muhimu ni mtu kuji tune awe mwaminifu ama mwingne aone kuwa na michepuko ndo furaha kwake THOUGH kuwa mwaminifu kuna FAIDA SANA na kuchepuka hakuna faida most of the times ni LOSS kwa reputation na Future ya muhusika
 
Eti moniccca uko tanganyika kweli wiki hii, naona mvua inanyesha.
 
Wanaume ni watu ambao ufahamu wao unaweza kuwa interrupted kirahisi zaidi linapokuja suala na tamaa ya ngono.

Hebu fikiria ujasiri huwa unatoka wapi wa kumtongoza mpaka kutembea na mke wa mtu?

Jibu ni moja tu kipindi anafanya hivyo anakuwa akili zake haziko kawaida, fikiria kidogo uchungu wa mke au mume.

Vipi ukimkuta mwanaume mwenzio juu ya kifua cha mkeo?

Maumivu unayoyapata ndiyo anayoyapata mwanaume mwenzio pale anapogundua mkewe kaliwa nje.

Ukitaka kujua hili jiulize baada ya tendo kwann unajilaumu?

Akili haiwezi kuja mpaka mbegu zimetoka wanaita bao sijui mara round moja.

Inamaana akili za mwanaume huwa hazifanyikazi kbsa kabla ya kupizi.

Nisaidieni niwaelewe nyie viruka njia msiyokuwa na haya.

Najua walioguswa zaidi wenye hekima watajirekebisha ambao akili zao wamekabidhisha kwa shetani watatokwa na mitusi kitusi ambacho huwa kinafanywa na mtu asiye na akili.

Karibuni
Mkuu mbona umeongea kwa uchungu sana as if wanaovuliwa huwa wanabakwa. Anyway ulipaswa pia kuuliza mke wa MTU anautolea ujasiri wapi wa kuvuliwa nguo na Mme wa MTU ilhali akijua fika ameolewa Mme mwengine
 
Hivi kuna wengine wanajilaumu baada ya kuwavua chupi...?
 
Wanaume ni watu ambao ufahamu wao unaweza kuwa interrupted kirahisi zaidi linapokuja suala na tamaa ya ngono.

Hebu fikiria ujasiri huwa unatoka wapi wa kumtongoza mpaka kutembea na mke wa mtu?

Jibu ni moja tu kipindi anafanya hivyo anakuwa akili zake haziko kawaida, fikiria kidogo uchungu wa mke au mume.

Vipi ukimkuta mwanaume mwenzio juu ya kifua cha mkeo?

Maumivu unayoyapata ndiyo anayoyapata mwanaume mwenzio pale anapogundua mkewe kaliwa nje.

Ukitaka kujua hili jiulize baada ya tendo kwann unajilaumu?

Akili haiwezi kuja mpaka mbegu zimetoka wanaita bao sijui mara round moja.

Inamaana akili za mwanaume huwa hazifanyikazi kbsa kabla ya kupizi.

Nisaidieni niwaelewe nyie viruka njia msiyokuwa na haya.

Najua walioguswa zaidi wenye hekima watajirekebisha ambao akili zao wamekabidhisha kwa shetani watatokwa na mitusi kitusi ambacho huwa kinafanywa na mtu asiye na akili.

Karibuni
Kwani we mkeo anawafuliaje waume za watu nguo
 
Tatizo wake za watu wanapenda wenyewe kuchanua miguu yao kama mtu hataki atakataa akitongozwa
Kama aliweza kumuongopea mumewe,akatumia nauli alopewa na mumewe akaja nyumba ya wenyeji ,basi hata pichu atavua mwenyewe!Na hapo muopoaji huwa anajiona kidume.
 
Wanaume ni watu ambao ufahamu wao unaweza kuwa interrupted kirahisi zaidi linapokuja suala na tamaa ya ngono.

Hebu fikiria ujasiri huwa unatoka wapi wa kumtongoza mpaka kutembea na mke wa mtu?

Jibu ni moja tu kipindi anafanya hivyo anakuwa akili zake haziko kawaida, fikiria kidogo uchungu wa mke au mume.

Vipi ukimkuta mwanaume mwenzio juu ya kifua cha mkeo?

Maumivu unayoyapata ndiyo anayoyapata mwanaume mwenzio pale anapogundua mkewe kaliwa nje.

Ukitaka kujua hili jiulize baada ya tendo kwann unajilaumu?

Akili haiwezi kuja mpaka mbegu zimetoka wanaita bao sijui mara round moja.

Inamaana akili za mwanaume huwa hazifanyikazi kbsa kabla ya kupizi.

Nisaidieni niwaelewe nyie viruka njia msiyokuwa na haya.

Najua walioguswa zaidi wenye hekima watajirekebisha ambao akili zao wamekabidhisha kwa shetani watatokwa na mitusi kitusi ambacho huwa kinafanywa na mtu asiye na akili.

Karibuni
nawewe unaanzaje kumpanulia miguu mtu so mmeo
 
Back
Top Bottom