Ujue watoto wa mjini washafanya yao..Ukiona povu........
Monnica, sawa umeongea na kufafanua vema tu kiujumla. lakini pia embu geuza maswali yawe kinyume nyume yaani yaguse upande wa pili, mfano ni sawa mwanaume anatongoza mke wa mtu (ingawa uhalisia ni kwamba mke wa mtu hatongozwi bali hujitongozesha) Mwanaume timamu hawezi kutongoza mke wa mtu.Wanaume ni watu ambao ufahamu wao unaweza kuwa interrupted kirahisi zaidi linapokuja suala na tamaa ya ngono.
Hebu fikiria ujasiri huwa unatoka wapi wa kumtongoza mpaka kutembea na mke wa mtu?
Jibu ni moja tu kipindi anafanya hivyo anakuwa akili zake haziko kawaida, fikiria kidogo uchungu wa mke au mume.
Vipi ukimkuta mwanaume mwenzio juu ya kifua cha mkeo?
Maumivu unayoyapata ndiyo anayoyapata mwanaume mwenzio pale anapogundua mkewe kaliwa nje.
Ukitaka kujua hili jiulize baada ya tendo kwanini unajilaumu?
Akili haiwezi kuja mpaka mbegu zimetoka wanaita bao sijui mara round moja.
Inamaana akili za mwanaume huwa hazifanyikazi kabisa kabla ya kupizi.
Nisaidieni niwaelewe nyie viruka njia msiyokuwa na haya.
Najua walioguswa zaidi wenye hekima watajirekebisha ambao akili zao wamekabidhisha kwa shetani watatokwa na mitusi kitusi ambacho huwa kinafanywa na mtu asiye na akili.
Karibuni
Itakuwa vizuri kama niKweli ...Kma utaeza control zipu..... Uturejeshee kiTakacho endelea....mkuu pole pole mi naenda kumpa ushauri man to man maana over the air advice inaonekana haelewi
copy that, nitaleta feedback mkuuItakuwa vizuri kama niKweli ...Kma utaeza control zipu..... Uturejeshee kiTakacho endelea....
mke wa mtu unaanzaje kuvuliwa nguo...
kutongozwa,kutoa namba ya simu mpk kuingizwa gesti....!!
mshenzi hapa na mchafu ni mwanamke
Mwanamke akitongozwa pia anaweza kukataa halazimishwiMkuu wanaoongoza kutongoza hovyo ni wanaume za watu, tena na Pete anayo kidoleni. Yaani huwa na nakwazika sana.