Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,176
- 62,220
- Thread starter
- #21
Ni umri wakuwa karibu na muumba wakoWewe jamaa either umesoma sana lakini unfortunately elimu yako hauifanyii kazi au haujasoma kabisa ndiyo maana kuna wakati unakuwa na uoni hafifu sana kwenye ishu ya makazi ambao kimantiki uoni huo ilibidi wawe nao watoto wadogo kama siyo wachanga.
Umesema nikiwa 65 natakiwa nisijenge nyumba ushauri wako nikalale nje chini ya mwembe?ok nikapange umejiuliza siku nikikosa kodi nani atanilipia hiyo kodi?je kama Mungu amenipa umri mrefu utanishauri tena nijiue kutokana na madhila ya kufukuzwa upangaji?wewe tulia tu kwenye hilo banda alilojenga mzee wako siku ndugu mligombanie ndiyo utajua ulikuwa unaandika vitu huvijui.

