Nitajuaje kwamba una kipawa cha ushawishi kweli na si kipawa cha kujipigia debe kwamba una kipawa cha ushawishi?Kila mtu ana kitu kile ambacho mwenzake hana na kila mmoja anatumia kipawa chake kwa usahihi kabisa kuliko mwenzake.
Kipawa na uwezo wa kufanya kitu chochote kile ambacho kinaweza kuwa kigumu kwa baadhi ya watu/mtu (Kipaji)
Naamini kila mmoja anajua kipawa chake hadi sasa kama huna kipawa basi pole sana na Mungu akuoneshe kipawa chako na jinsi ya kukitumia.
Kwangu mimi nina kipawa cha USHAWISHI nasema hili kwa uhakika sana ninaweza kushawishi pande mbili kuwa sawa au pale ambapo hakuna amani kukawa na amani, naweza kubadilisha mtu mawazo yake na akaenda vile navyotaka kwa muda mfupi sana.
Kwangu mimi Najivunia sana kuwa na kipawa hiki wote ambao wamekuwa na mimi wamejikuta wanapita njia yangu, marafiki, wapenzi, ndugu na jamaa.
Kwako wewe una kipi unachoweza kushukuru Mungu kuwa amekupa kitu cha kipekee kuliko yeyote?
Karibu.
Naweza kuprove hili????Nina kipaji Kama chako. Me naweza kujua ulivo kitabia hata kwa picha tu
Safi wewe ni mfanyabiashara.Aisee mm sijui naweza nn ila unaweza kunipa 10000 baada ya mwaka nikawa na milion 6-8 kwa elfu kum hyo hyo sasa sijui ni kipaji au lah
Na nikwel mfanya biashara...Safi wewe ni mfanyabiashara.
[emoji15] [emoji3] [emoji2]Mngh!
Siwezi kukushawishi maana umejiandaa kushawishiwa.Nitajuaje kwamba una kipawa cha ushawishi kweli na si kipawa cha kujipigia debe kwamba una kipawa cha ushawishi?
Unaweza kunishawishi?
Mange[emoji40]Kipawa changu vita....ukianza vita na mimi jipange. Nisipokuondoa basi nakuchafua
Njoo twende vitani mkuu [emoji23] [emoji23]Kipawa changu vita....ukianza vita na mimi jipange. Nisipokuondoa basi nakuchafua
Huruma, Utu, KujaliMi ninalia sana nikiona mtu anamuonea mjane, yatima au wazee. Je inaweza kuwa ni kipawa?
Kwa nini unasema nimejiandaa kushawishiwa wakati nahoji uwezo wako wa kushawishi?Siwezi kukushawishi maana umejiandaa kushawishiwa.
Naweza kushawishi ndio na hii ni kazi niliyoifanya kwa muda mrefu naijua vyema.Kwa nini unasema nimejiandaa kushawishiwa wakati nahoji uwezo wako wa kushawishi?
mkuu Kama mimiAisee hii ni bonge ya thread kama tutakua serious..mm nina kipawa cha ajabu sana,hata niwe na shida kiasi gani nitapata hela tu ya kutatua hiyo shida..yaani ni kama hela inanifataga yenyewe...tena wakati mwingine najua kabisa simu yangu ikiita ni hela tu..of course nafanya biashara,sijawahi feli biashara yoyote nayoianzisha au kuweka hela
hapana sio kweli angekuw tajir Sana labda angesema laki 6Safi wewe ni mfanyabiashara.
Ili unishawishi,inabidi unielewe.Naweza kushawishi ndio na hii ni kazi niliyoifanya kwa muda mrefu naijua vyema.
Kwa nini unasema nimejiandaa kushawishiwa wakati nahoji uwezo wako wa kushawishi?
Sawa katika vipawa kuna kipawa cha kiburi na ubishi hivi pia ni aina ya vipawa ambavyo nikitaka kushawishi mtu lazima niwe nimekwisha mjua vyema akili yake.Ili unishawishi,inabidi unielewe.
Nimeuliza.
Swali langu si "unaweza kunishawishi au huwezi kunishawishi?"
Hili ndilo swali ulilolijibu.
Umejibu swali ambalo sijauliza.
Swali nililouliza ni "Kwa nini unasema nimejiandaa kushawishiwa wakati nahoji uwezo wako wa kushawishi?".
Sio tu hujaweza kunishawishi, hata hujaweza kunielewa.
Utajigamba vipi kwamba una uwezo mkubwa wa ushawishi wakati hata uelewa wako tu unatiliwa shaka na swali dogo tu?