Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 372,823
- 863,775
Hahahaaa hakuna kitu Kama hicho nina rectifier kibokoBomu zito la nyukilia litakudondokea muda sio mrefu mkuu. Tafuta handaki na ulozi wako mkuu
Hahahaaa hakuna kitu Kama hicho nina rectifier kibokoBomu zito la nyukilia litakudondokea muda sio mrefu mkuu. Tafuta handaki na ulozi wako mkuu
Kijana unaota ndoto za mchana.Natambua fikra za MTU kwa kumwangalia tu. Haihitaji anieleze. Nikimuona tu physically basi. Sikusomea na wala si kwa dawa.
Naajiuliza sana no uwezo gani Mola alinipa
Asante sana. Mi kuna padri mmoja mwingereza alikuwa rafiki yangu mi nikiwa primary. Alikuwa anakuja kwetu mara nyingi sana anaongea na mshua kisha tunaongea naye mambo mengi.Nina kipaji Kama chako. Me naweza kujua ulivo kitabia hata kwa picha tu
Nilikua nacho cha uimbaj ila nlpoingia shule kikafa
teh teh teh aise ww Mkuu kiboko eti ulozi duuuuUlozi![]()
Kipawa [emoji125] [emoji125] [emoji125]teh teh teh aise ww Mkuu kiboko eti ulozi duuuu
teh teh teh ila Mungu azidi kukutia Nguvu kwa matatizo ya Msiba Mkuu tuko pamoja.Kipawa [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hapa kuna utofauti inamaana ukiangalia hata picha ya mtu au lazima ukutane nae in personal. Jibu tafadhariNatambua fikra za MTU kwa kumwangalia tu. Haihitaji anieleze. Nikimuona tu physically basi. Sikusomea na wala si kwa dawa.
Naajiuliza sana no uwezo gani Mola alinipa
Kama kipawa yaani intelligence usiwe uloziNina kipaji Kama chako. Me naweza kujua ulivo kitabia hata kwa picha tu
Sidhani kuwa unaweza kuwa navyo vyote as inborns nahisi umekuwa exposed ktk mazingira fulani ya kukufanya uwe hivyo au training. Ni ngumu kuwa na vipaji vingi as inbornNinamudu mambo mengi na yote najua ni vipawa vyangu
Drawing - kipawa changu cha kwanza kabisa kugundua. Bado naendelea kuchora (picha zangu binafsi si kwaajili ya business)
Singing - Yea mon, I can sing.
Math
Sio tu napenda hesabu pia naelewa kwa urahisi sana nikifundishwa
Visualization
Hii nilidhani si muhimu kwangu lakini nimegundua naweza kuona mambo yanavyokuwa hasa ninapowazia mambo ya miradi yangu
Musical instruments
Yea mon, I'm guitarist. Nikiwa na safari kwa muda mrefu lazima niwe na acoustic guitar pembeni. Music soothes my soul
Negotiation skills
Hiki ni kipawa muhimu sana. Nimekuwa nikijifunza kwa miaka mingi. Naendelea kufanikiwa.
Ability to focus
Ninauwezo mkubwa kusimamia mambo nayoyapanga.
Persuasive
Yes...naweza kushawishi.
kipawa changu mimi.kuto lewa pombe aisee sjawai.kulewa kapokuwa nakunywa bia ata kumi na tanoKila mtu ana kitu kile ambacho mwenzake hana na kila mmoja anatumia kipawa chake kwa usahihi kabisa kuliko mwenzake.
Kipawa na uwezo wa kufanya kitu chochote kile ambacho kinaweza kuwa kigumu kwa baadhi ya watu/mtu (Kipaji)
Naamini kila mmoja anajua kipawa chake hadi sasa kama huna kipawa basi pole sana na Mungu akuoneshe kipawa chako na jinsi ya kukitumia.
Kwangu mimi nina kipawa cha USHAWISHI nasema hili kwa uhakika sana ninaweza kushawishi pande mbili kuwa sawa au pale ambapo hakuna amani kukawa na amani, naweza kubadilisha mtu mawazo yake na akaenda vile navyotaka kwa muda mfupi sana.
Kwangu mimi Najivunia sana kuwa na kipawa hiki wote ambao wamekuwa na mimi wamejikuta wanapita njia yangu, marafiki, wapenzi, ndugu na jamaa.
Kwako wewe una kipi unachoweza kushukuru Mungu kuwa amekupa kitu cha kipekee kuliko yeyote?
Karibu.
"Muongo na mulozi ni watu wa kuchoma" nawachukia saana walozi ila simchukii Mshana Jr.Ulozi![]()
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]"Muongo na mulozi ni watu wa kuchoma" nawachukia saana walozi ila simchukii Mshana Jr.
Nimenukuu kutoka kwa nyimbo ya Sam mangwana na Franco lwambo lwanzo makiadi.