Una kipawa gani?

Una kipawa gani?

Kuna watu wana uwezo sana darasani hasa kwenye masomo ya hisabati na sayansi lakini hawawezi kabisa kutumia akili hizo kujiendeleza kimaisha au pia hawawezi socialization, sijui hawa kwenye kipawa tunawaelezaje? Mfano Professor ....... na Doctor...... pia Engineer ......
 
Natambua fikra za MTU kwa kumwangalia tu. Haihitaji anieleze. Nikimuona tu physically basi. Sikusomea na wala si kwa dawa.
Naajiuliza sana no uwezo gani Mola alinipa
Utambuzi huo unaitwa, yaani unasoma kitu/mtu/mazingira then mwishoni unapata jibu ndani ya muda mfupi...
 
Ulozi
3a5e873c3cfeee6c48da86ff5dfceda5.jpg
[emoji85] [emoji86] [emoji23]
 
Aisee mm sijui naweza nn ila unaweza kunipa 10000 baada ya mwaka nikawa na milion 6-8 kwa elfu kum hyo hyo sasa sijui ni kipaji au lah
 
Back
Top Bottom