Haya matendo yako mkuu ndiyo yananifanya nikuogope.[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Ulozi![]()
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] sipati picha zile hotuba mubashara unakuwa umeshajua leo nani anapewa michambo yake [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Natambua fikra za MTU kwa kumwangalia tu. Haihitaji anieleze. Nikimuona tu physically basi. Sikusomea na wala si kwa dawa.
Naajiuliza sana no uwezo gani Mola alinipa
Ni kipawa[emoji15] [emoji25] [emoji25] [emoji779]Haya matendo yako mkuu ndiyo yananifanya nikuogope.[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Sawa mkuu kuwa makini na mimi [emoji23] [emoji23] [emoji23] naweza kukulipua na vipawa vyangu vya NUCLEAR.Ni kipawa[emoji15] [emoji25] [emoji25] [emoji779]
Umeshinda nishawishi hata kusema kipawa changu.Kila mtu ana kitu kile ambacho mwenzake hana na kila mmoja anatumia kipawa chake kwa usahihi kabisa kuliko mwenzake.
Kipawa na uwezo wa kufanya kitu chochote kile ambacho kinaweza kuwa kigumu kwa baadhi ya watu/mtu (Kipaji)
Naamini kila mmoja anajua kipawa chake hadi sasa kama huna kipawa basi pole sana na Mungu akuoneshe kipawa chako na jinsi ya kukitumia.
Kwangu mimi nina kipawa cha USHAWISHI nasema hili kwa uhakika sana ninaweza kushawishi pande mbili kuwa sawa au pale ambapo hakuna amani kukawa na amani, naweza kubadilisha mtu mawazo yake na akaenda vile navyotaka kwa muda mfupi sana.
Kwangu mimi Najivunia sana kuwa na kipawa hiki wote ambao wamekuwa na mimi wamejikuta wanapita njia yangu, marafiki, wapenzi, ndugu na jamaa.
Kwako wewe una kipi unachoweza kushukuru Mungu kuwa amekupa kitu cha kipekee kuliko yeyote?
Karibu.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Ulozi![]()
Lazima urakuwa muongoNatambua fikra za MTU kwa kumwangalia tu. Haihitaji anieleze. Nikimuona tu physically basi. Sikusomea na wala si kwa dawa.
Naajiuliza sana no uwezo gani Mola alinipa
Huo pia ni ushawishi. Maana usingekuwa ushawishi ungeandika kipawa chako ila nimekushawishi hadi umeshindwa kuandika..Umeshinda nishawishi hata kusema kipawa changu.
Hahaaaaaa.Sawa mkuu kuwa makini na mimi [emoji23] [emoji23] [emoji23] naweza kukulipua na vipawa vyangu vya NUCLEAR.
Kama mimiNatambua fikra za MTU kwa kumwangalia tu. Haihitaji anieleze. Nikimuona tu physically basi. Sikusomea na wala si kwa dawa.
Naajiuliza sana no uwezo gani Mola alinipa
Bomu zito la nyukilia litakudondokea muda sio mrefu mkuu. Tafuta handaki na ulozi wako mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hicho sio kipawa
Mpaka nikuone ana kwa ana mkuuKama mimi
Safi sana Mungu akupe zaidiAisee hii ni bonge ya thread kama tutakua serious..mm nina kipawa cha ajabu sana,hata niwe na shida kiasi gani nitapata hela tu ya kutatua hiyo shida..yaani ni kama hela inanifataga yenyewe...tena wakati mwingine najua kabisa simu yangu ikiita ni hela tu..of course nafanya biashara,sijawahi feli biashara yoyote nayoianzisha au kuweka hela
Nina kipaji Kama chako. Me naweza kujua ulivo kitabia hata kwa picha tuMpaka nikuone ana kwa ana mkuu