Al-Watan
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 11,891
- 14,601
Unachoita wewe kiburi na ubishi wengine tutasema ni logical thinking tu.Sawa katika vipawa kuna kipawa cha kiburi na ubishi hivi pia ni aina ya vipawa ambavyo nikitaka kushawishi mtu lazima niwe nimekwisha mjua vyema akili yake.
Uwezo wa kushawishi ninao.
Kiburi na ubishi ni pale wewe unapong'ang'ania kwamba una kipawa cha kushawishi wakati ukiulizwa maswali madogo tu yenye mantiki si tu unashindwa kuonyesha ushawishi, bali pia unaonesha hata kutoelewa maswali.
Utashawishi vipi wakati hata kuelewa maswali madogo tu kwa kufuata mantiki huwezi?