BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,332
Maths ndo kipaji kikubwa nilicho nacho japo ninavyo Vingi ila hiki hatariKila mtu ana kitu kile ambacho mwenzake hana na kila mmoja anatumia kipawa chake kwa usahihi kabisa kuliko mwenzake.
Kipawa na uwezo wa kufanya kitu chochote kile ambacho kinaweza kuwa kigumu kwa baadhi ya watu/mtu (Kipaji)
Naamini kila mmoja anajua kipawa chake hadi sasa kama huna kipawa basi pole sana na Mungu akuoneshe kipawa chako na jinsi ya kukitumia.
Kwangu mimi nina kipawa cha USHAWISHI nasema hili kwa uhakika sana ninaweza kushawishi pande mbili kuwa sawa au pale ambapo hakuna amani kukawa na amani, naweza kubadilisha mtu mawazo yake na akaenda vile navyotaka kwa muda mfupi sana.
Kwangu mimi Najivunia sana kuwa na kipawa hiki wote ambao wamekuwa na mimi wamejikuta wanapita njia yangu, marafiki, wapenzi, ndugu na jamaa.
Kwako wewe una kipi unachoweza kushukuru Mungu kuwa amekupa kitu cha kipekee kuliko yeyote?
Karibu.
Mkuu marekani na Korea N.wanakuhitaji tafadhaliUpatanishi....
utakuwa na nyota ya chuma ulete.!mimi kuomba ela nikaomba ela lazima nipewe
Kukatika Pia K... K ni K dadaaaaNipo nipo tu maskini hata kipawa sina
asante[emoji1] [emoji1] [emoji1]Nina u Bill Gates ndani yake
Wanipe tu nafasiMkuu marekani na Korea N.wanakuhitaji tafadhali
Niko kitambo NK nawachora wamarekani wanavyoteateaNjoo twende vitani mkuu [emoji23] [emoji23]
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Mange[emoji40]
Kuna mashindano ya kuvuta, ila yanafanyika Bahamas mwezi wa 9 vipi tutaenda sadari wangu!?Kuvuta na kuchekesha
Kawaida yako hiyoUlozi![]()
Aisee ,, hongeraaNatambua fikra za MTU kwa kumwangalia tu. Haihitaji anieleze. Nikimuona tu physically basi. Sikusomea na wala si kwa dawa.
Naajiuliza sana no uwezo gani Mola alinipa
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] na chnyewni kipawa kumbee…!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] hata kusuuta hujui
Nahisi ndiyo kipawa changu mkuu,, asante sana kwa kunyumbua mambo mpk nmejielew na mimi,,, nishakitfut iki kitu cku nying sana ,ila leo nimeelew ni nn kilichomo ndani mwanguuHuruma, Utu, Kujali