Una cheti nina mume

marrykate

marrykate

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2012
Messages
666
Points
250
marrykate

marrykate

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2012
666 250
Kama cheti mali kitandike kitandani kwako ukilalie. Au jaribu kujifunika nacho kikutie joto. Nachekajeeee? Halooooooooo?
Na wanangu wana haki zote kwa baba yao.
Nakukumbusha tu.
Da sophy buana za miaka mingi
 
Sadatina

Sadatina

Member
Joined
May 11, 2015
Messages
95
Points
125
Sadatina

Sadatina

Member
Joined May 11, 2015
95 125
Namlinda mzee wangu asije kubebwa mambo yakawa kama hivi warere waregeze
 
Namkunda OG

Namkunda OG

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2015
Messages
675
Points
1,000
Namkunda OG

Namkunda OG

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2015
675 1,000
Wewe baki na mume yeye abaki na cheti ...mwisho wa season ndo utajua ....wewe utabaki na watoto mume ataenda kwa mwenye cheti
 
Shadeeya

Shadeeya

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2014
Messages
30,525
Points
2,000
Shadeeya

Shadeeya

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2014
30,525 2,000
Wanangu kusoma shule nzuri tu ndio linakushuka shuuuuu! Kumbuka anayesomesha wanangu ndiye aliyesomesha wanao, ni baba yao. Hawa watoto ni ndugu, acha roho mbaya.
Mume mwenyewe ulikuwa unamuona boya. Nimemchukua nimemtunza kapendeza sasa ndio unakumbuka ulikuwa umeolewa. Kaa na cheti chako umechelewa stendi.....Pole weeeee!
Eti urithi? Unazungumzia urithi wa mtu ambaye yuko hai na anatimiza majukumu yote mpaka yale uliyosema hawezi hapa kwangu mbona anatimiza. Hujioni una matatizo?
Kwa taarifa yako wanangu hawahitaji urithi wako na wala hawana sababu ya kugombana na ndugu zao. Nilivyo navyo vinanitosha sana na nimeridhika sina tamaa kama za kwako.
Kama ulivyosikia kuwa baba yao kawanunulia viwanja ni kweli hati ziko hapa kwangu. Sijamzuia asiwanunulie hao wa kwako.
Eti gari kistaleti changu tu ndio unapiga domo kila siku kwa mashoga zako sasa kama na wewe ulitaka kununuliwa si ungemwambia akununulie. Mbona una magari au hayo hajakununulia? Kwa hiyo unaona wivu kuwa wewe umejinunulia magari lakini mimi kaninunulia. Tuliza mshono bibiye. Kwa taarifa yako gari nimenunua mwenyewe kwa biashara zangu. Ni kweli kanipa mtaji lakini biashara nimefanya mwenyewe kwa juhudi zangu. Umeshakuwa mtu mzima sasa tulia sasa usubiri wajukuu
Sisi ni familia moja sasa upende usipende. Watoto wetu ni ndugu na wanajuana. Jiheshimu uheshimiwe.
Daaah!
 
PANTHERA LEO

PANTHERA LEO

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2019
Messages
2,051
Points
2,000
PANTHERA LEO

PANTHERA LEO

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2019
2,051 2,000
Wewe baki na mume yeye abaki na cheti ...mwisho wa season ndo utajua ....wewe utabaki na watoto mume ataenda kwa mwenye cheti
Hakuna icho kitu... Acha wivu
 
brenda18

brenda18

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2013
Messages
5,332
Points
2,000
brenda18

brenda18

JF-Expert Member
Joined Sep 17, 2013
5,332 2,000
Natamani Sana ungesoma mkasa wa naipenda jmosi yangu unaoandikwa na Irene mbowe

Kuna maneno Fulani huwa nayapenda Sana anakwambia kahaba ni shimo ndefu

Kwako Dada uliyeandikiwa huu ujumbe naamini upo humu Ila mtafute Sana Mungu ,mbingu zinakujua Kama mke halali hata Kama danga limekupokonya usilie usimrushie vijembe ,lilia magotini omba Sana Kuna majibu ya kila chozi

Kwako mwanaume uliyechepuka na kuacha mke anasutwa huku karma is near

Ujumbe wenu: Mbingu hutaiona otherwise umebadilika na kutubu machozi ya mwanamke mwenzio hayataenda bure miaka itapita lakini lazima Mungu atalipa kwa namna usiyojua


#Huu ugomvi nimetamani uwe wangu Mana ningeupangua spiritual Mimi Ni mwanamke naelewa maumivu ya ndoa
mi minyukano ya hivi naipenda ni usiku namnyuka huyu mpango wa kando mpaka arudi kuniomba samahani
 
R

Rubuye123

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2009
Messages
1,669
Points
2,000
R

Rubuye123

JF-Expert Member
Joined Dec 18, 2009
1,669 2,000
Aseee nimeenda kumfyukunyua huko doooooh huyu mtu ni mshari mnooo.... Ana kazi haswa but Nampa pole hata huyo mwanaume aliyejitoa mhanga
Vingine "vinakatikia" tu dada angu wala sio mipango.unaogopa kuongeza dhambi ya kuua kwenye ile ya kuzini na kutelekeza watoto inakua ngumu ndo yanatokea kama haya.
Nyumba ndogo ya "kiswahili" namna hii hapana aisee!!
 
Kaizer

Kaizer

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2008
Messages
25,214
Points
2,000
Kaizer

Kaizer

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2008
25,214 2,000
Kama cheti mali kitandike kitandani kwako ukilalie. Au jaribu kujifunika nacho kikutie joto. Nachekajeeee? Halooooooooo?
Na wanangu wana haki zote kwa baba yao.
Nakukumbusha tu.

Hivi hii ligi haikuishaga tu! Da Sophy mambo?

Cc Asprin legend mwenzangu, King'asti , Kongosho (naona hayupo tena), ASHA D Abinallah(sweetie), gfsonwin , Sky Eclat Atoto , Mtambuzi (bazazi) na wengineo wote old school. Da Sophy is back!
 
PANTHERA LEO

PANTHERA LEO

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2019
Messages
2,051
Points
2,000
PANTHERA LEO

PANTHERA LEO

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2019
2,051 2,000
Mbona matusi tena...ila usishangilie mtu kuibiwa mume kama umeolewa unajua maumivu yake
Sijashangilia ila ni huyu et anamwambia hiyo thread haitakiw kuwepo humu.. Sasa untampangiaje mtu chakupost
 
Kuchakuro Ps

Kuchakuro Ps

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Messages
350
Points
500
Kuchakuro Ps

Kuchakuro Ps

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2016
350 500
Nyie wenye vyeti acheni kuharibu ndoa za watu.
Mmekalia kutafuta vyeti, mwisho mmekosa Wame, mnaanza kuiba Wame za watu.
Acheni hiyo tabia ni mbaya Sana.
 

Forum statistics

Threads 1,315,258
Members 505,171
Posts 31,851,647
Top