Una cheti nina mume

D

Da Sophy

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2010
Messages
371
Points
225
D

Da Sophy

JF-Expert Member
Joined May 12, 2010
371 225
Kama cheti mali kitandike kitandani kwako ukilalie. Au jaribu kujifunika nacho kikutie joto. Nachekajeeee? Halooooooooo?
Na wanangu wana haki zote kwa baba yao.
Nakukumbusha tu.
 
D

Da Sophy

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2010
Messages
371
Points
225
D

Da Sophy

JF-Expert Member
Joined May 12, 2010
371 225
Wewe mama we mbona kuchambana tena??? Hizi mambo tumezoea insta na Facebook vipi huyo unaeshare nae dudu yupo humu?
Atajijua.
Kuna watu wanajisahau sana.
Ukishapigwa umepigwa tu bora utulie. Yalokuwa yamekuwa hubadilishi kitu.
Ulishindwa zamani hizo utaweza saa hizi watoto wameshakua?
 
Hannah

Hannah

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2015
Messages
2,767
Points
2,000
Hannah

Hannah

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2015
2,767 2,000
Kama cheti mali kitandike kitandani kwako ukilalie. Au jaribu kujifunika nacho kikutie joto. Nachekajeeee? Halooooooooo?
Na wanangu wana haki zote kwa baba yao.
Nakukumbusha tu.
Inaonyesha umezaa na mume wa mtu kwa makusudi Dada. Jaribu kumheshimu.
 

Forum statistics

Threads 1,315,258
Members 505,171
Posts 31,851,647
Top