Una cheti nina mume

Watu wasiokuwa na vyeti huwa hawana maana kabisa, wala mshipa wa aibu. Wanajisikia they have nothing to lose, no reputation to protect, kwahiyo wanaweza fanya lolote tu!
 
Naheshimu sn mtu Mwenye cheti maana siku zote yy ndio Mwenye Mali wengine wote ni waazimaji tu, bado tu siku zinahesabika utakimbiwa siku si nyingi
 
Hata ukiazima gari kadi inabaki kwa mwenyewe.
Lakini hata ukinunua gari milioni 100 na kadi ni yako ukienda car wash inaendeshwa na kijana mchafuchafu aliyelowa maji.
Na unaweza ukamiliki gari likaendeshwa na wengine
Na unaweza kuendesha gari japo hujawahi kumiliki gari
Na gari nyingine ni daladala madereva wanapokezana na deiwaka.
Bado kuna gari za taka!
 
Naheshimu sn mtu Mwenye cheti maana siku zote yy ndio Mwenye Mali wengine wote ni waazimaji tu, bado tu siku zinahesabika utakimbiwa siku si nyingi
Na mtu mwenye cheti anaangaika kwa muda tu ila heshima lazima irudi ndani ata baada ya miaka mingapi atarudi alipokiri na kukukubali mbele ya hadhara
 
Watu wasiokuwa na vyeti huwa hawana maana kabisa, wala mshipa wa aibu. Wanajisikia they have nothing to lose, no reputation to protect, kwahiyo wanaweza fanya lolote tu!
Lakini si unajua ata kijana carwash anaweza akapiga route za apa na pale ndani ya range kama wameshibana na mteja wake lakini kamwe hawezi kumiliki
 
Watu tusiiolewa tunajipa sana matumaini ya kuwa na sawa na mwenye cheti, lakini ukweli utabaki kuwa palepale ata kama umejilengesha mimba zako, mke wa ndoa ana heshima zake tuuu maana alichukuliwa kwa heshima zote na wazee wakatumwa kwao kuomba uhalali wa kumchukua na mwanaume akaulizwa akakiri mbele za watu kwa sauti huyu ndiye! Dah michepuko tuna shida bana ata tujitutumue hufiki thamani ileee
 
Na mtu mwenye cheti anaangaika kwa muda tu ila heshima lazima irudi ndani ata baada ya miaka mingapi atarudi alipokiri na kukukubali mbele ya hadhara
Sasa akirudi akiwa 'low battery' atafaa nini tena?
Yaani muwa wahuni wametafuna na meno machafu halafu wamefyonza sukari yote unarudishiwa makapi kunuka! Mbaya!!!!
 
Watu tusiiolewa tunajipa sana matumaini ya kuwa na sawa na mwenye cheti, lakini ukweli utabaki kuwa palepale ata kama umejilengesha mimba zako, mke wa ndoa ana heshima zake tuuu maana alichukuliwa kwa heshima zote na wazee wakatumwa kwao kuomba uhalali wa kumchukua na mwanaume akaulizwa akakiri mbele za watu kwa sauti huyu ndiye! Dah michepuko tuna shida bana ata tujitutumue hufiki thamani ileee
Hah! Kumbe na wewe ni kamchepuko? Ebu acha haraka!
 
Back
Top Bottom