Una cheti nina mume

Una cheti nina mume

OMG !! Umefika Hadi hii... "Man" Ana thaminiwa kwa elimi na usomi ?? Haya Mee suruali changamkieni fursa!! Mwajiri wenu Da Sophy !!
 
Atajijua.
Kuna watu wanajisahau sana.
Ukishapigwa umepigwa tu bora utulie. Yalokuwa yamekuwa hubadilishi kitu.
Ulishindwa zamani hizo utaweza saa hizi watoto wameshakua?
Kama unayawezabona hudatishi kijana akuoe ?
MI NDO HAPO MNAPONICHOSHAGA!
yani umahiri wehu wa mahaba na kutokujisahau huwa kunafanya tu kazi kwa waliooa!
Wasiooa aaaanh!
NA MWANAUME ALOZAA NA WEWE ANA HASRA SANA!
sema nini, kitumbua ndo mambo yote !
ACHA ajilie kuku wa kienyeji baba wa watu!
 
Daah! Nimekaa nikawaza ndio mwenye cheti anachambwa kwenye msg kupitia simu yake ya kiganjani kwa maneno ka hizi.

Haya bana muwe na mwisho mwema katika hizo mbio zenu.
Umemfanyia ukaguzi mumeo lakini -- usije kukuta amekuaga kuwa amesafiri kumbe yupo kwa mtoa mada ... na hili dongo waweza kukuta linakuhusu wewe ila tu haujui
 
Basi sawa


 
Daah! Nimekaa nikawaza huyo mwenye cheti anachambwa kwenye msg kupitia simu yake ya kiganjani kwa maneno ka hizi. 😀😀😀😀

Haya bana muwe na mwisho mwema katika hizo mbio zenu.
We awakiazaga kelele hivi wanakuwa wanataka kukupandisha hasira tu mfananae miserable life!
MTU WA NGEBE HIVI dawa yae ndogo!
KUENDELEA NA HAMSINI ZAKO!
 
Kumbeee


 
Back
Top Bottom