Una cheti nina mume

Una cheti nina mume

Kama unayawezabona hudatishi kijana akuoe ?
MI NDO HAPO MNAPONICHOSHAGA!
yani umahiri wehu wa mahaba na kutokujisahau huwa kunafanya tu kazi kwa waliooa!
Wasiooa aaaanh!
NA MWANAUME ALOZAA NA WEWE ANA HASRA SANA!
sema nini, kitumbua ndo mambo yote !
ACHA ajilie kuku wa kienyeji baba wa watu!
Eeeeeh hebu kwanza Kwani mwenye mume nani hapa mi sielewi.... Mtoa mada ni kimada au mwenye mume?
 
Alozaa au kumuona huyu Da Sophy ana kazi sana. Maana sio kwa hizi tantarira
Screenshot_20190709-164302.jpeg
Screenshot_20190709-164145.jpeg
Screenshot_20190709-164105.jpeg
Screenshot_20190709-164054.jpeg
Screenshot_20190709-164031.jpeg
 
Huo ndio unaitwa uchumi wa "kati"
We ng'ang'ana na cheti,
 
Hahahaha naweza wapi kutoa povu hivi kwanza nilivyo na aibu ikitokea nakausha tu mimi ugomvi wangu naamisha kwa mwanaume.
Yeees huwa nashangaa kuona mwanamke anamuattack mwanamke mwenzie kisa mwanaume

Wanaume hawa hawa watu mtoane meno kwa ajili yao!? Ninachoweza mimi ni kusema na huyo mwanaume tu sio mwanamke mwenzangu haitokei.... Kuna rafiki yangu huko whatsapp yupo hivi kila siku vijembe kwa mwanamke mwenzie na wote hawajaolewa.... Namlia timing nimlime block ya nguvu
 
Eeeeeh hebu kwanza Kwani mwenye mume nani hapa mi sielewi.... Mtoa mada ni kimada au mwenye mume?
huyu mie namjua kitambo humu Jf KITAMBO HICHO!
sio wa leo ati!
TOKA ENZI HIZO UPO HUYU!
na habadiliki miaka nenda rudi!
SASA KAMA ANAJIAMINI MUME ANAYE, MBONA HAKAI AKATULIA KILA SIKU JF!
UJINGA TU!
 
Yeees huwa nashangaa kuona mwanamke anamuattack mwanamke mwenzie kisa mwanaume

Wanaume hawa hawa watu mtoane meno kwa ajili yao!? Ninachoweza mimi ni kusema na huyo mwanaume tu sio mwanamke mwenzangu haitokei.... Kuna rafiki yangu huko whatsapp yupo hivi kila siku vijembe kwa mwanamke mwenzie na wote hawajaolewa.... Namlia timing nimlime block ya nguvu
😂😂😂😂Umenichekesha best badala adili na kidume aliye tongoza hivi atawatolea vijembe Wangapi ikiwa pengine mwanaume ni wale aina ya KISIMPITE.
 
Kama cheti mali kitandike kitandani kwako ukilalie. Au jaribu kujifunika nacho kikutie joto. Nachekajeeee? Halooooooooo?
Na wanangu wana haki zote kwa baba yao.
Nakukumbusha tu.
Sophy nikajua nyumba kubwa ilishapewa talaka. Kumbe bado unaionea wivu. Na yeye kama anapewa joto na mwanaume mwingine hapo vipi?
 
huyu mie namjua kitambo humu Jf KITAMBO HICHO!
sio wa leo ati!
TOKA ENZI HIZO UPO HUYU!
na habadiliki miaka nenda rudi!
SASA KAMA ANAJIAMINI MUME ANAYE, MBONA HAKAI AKATULIA KILA SIKU JF!
UJINGA TU!
Aseee nimeenda kumfyukunyua huko doooooh huyu mtu ni mshari mnooo.... Ana kazi haswa but Nampa pole hata huyo mwanaume aliyejitoa mhanga
 
Umenichekesha best badala adili na kidume aliye tongoza hivi atawatolea vijembe Wangapi ikiwa pengine mwanaume ni wale aina ya KISIMPITE.
Hapo sasa jamani mie rafiki shankupe simuwezi uuuwiiii mtu gani kila mara kiboro changu sijui kwako hakiji mara kilipanda kikashuka ujinga ujinga tu
 
Back
Top Bottom