Una cheti nina mume

Una cheti nina mume

Kama cheti mali kitandike kitandani kwako ukilalie. Au jaribu kujifunika nacho kikutie joto. Nachekajeeee? Halooooooooo?
Na wanangu wana haki zote kwa baba yao.
Nakukumbusha tu.
Ngoja akutelekeze ama afe ndo utajua umuhimu wa mwenye cheti
Haki kwa baba yao utazisikia kwenye bombaa
 
Nae ana maneno kama mleta mada na yupo radhi watoto wengine wa huyo mwanaume wafe ili wa kwake warithi mali

Wanawake siee baadhi yetu nati flan zimelegea sio siri
Ni ujinga na kutojielewa.
 
Natamani Sana ungesoma mkasa wa naipenda jmosi yangu unaoandikwa na Irene mbowe

Kuna maneno Fulani huwa nayapenda Sana anakwambia kahaba ni shimo ndefu

Kwako Dada uliyeandikiwa huu ujumbe naamini upo humu Ila mtafute Sana Mungu ,mbingu zinakujua Kama mke halali hata Kama danga limekupokonya usilie usimrushie vijembe ,lilia magotini omba Sana Kuna majibu ya kila chozi

Kwako mwanaume uliyechepuka na kuacha mke anasutwa huku karma is near

Ujumbe wenu: Mbingu hutaiona otherwise umebadilika na kutubu machozi ya mwanamke mwenzio hayataenda bure miaka itapita lakini lazima Mungu atalipa kwa namna usiyojua

#Huu ugomvi nimetamani uwe wangu Mana ningeupangua spiritual Mimi Ni mwanamke naelewa maumivu ya ndoa
 
Huna lolote hata mumeo anachepuka tu sema hujui
 
Mwanaume unatekwaje na kahaba?
Unatelekeza mke na kwenda kujichimbia huko unazaa,unasahau mkeo.
Wanawake kabla hawajaolewa wanakuwaga wife material
Ukiwaoa tu wanasahau kila kitu wao miguu juu kila kitu dada fanya hivi fanya vile.

Sasa kwanini nisihame mazima ila huko sioi maana kuoa ni kujitakia matatizo mbeleni
 
Back
Top Bottom