Una cheti nina mume

Kama cheti mali kitandike kitandani kwako ukilalie. Au jaribu kujifunika nacho kikutie joto. Nachekajeeee? Halooooooooo?
Na wanangu wana haki zote kwa baba yao.
Nakukumbusha tu.
Naona miaka 9 sasa unae tu mme wa mtu

The iron batterfly nasubiria mchango wako huku maana ile thread ya yule mwanamke aliyehitaji ushauri aweze kuishi na mwanaume bahili uliitendea haki. Nasubiri na hii
Hahahahah hapa naona mchepuko anamtambia mke mwenye cheti le waifu matirio.

Chanzo ni mwanaume (mume)anayempa kibri mchepuko hadi kufikia kumdharau mwenye cheti chake(mke wa ndoa).Na mwenye cheti badala ya kudeal na source ya tatizo,ambaye ni mumewe ameanza kuuattack mchepuko,so mchepuko unajibu mashambulizi.

Thats y mara zote nasema kibongobongo ndoa si heshima,ni kukimbia kusemwa vibaya mtaani ilhal hawakulishi,hawakulishi,hawakusomeshei watoto,so kwanini wakuumize? mwanamke ishi maisha yako usikubal jamii idefine your life kwani hawana impact kwenye maisha yako.

Inshort Mama mjengo aka le waifu alipaswa adeal na mumewe then problem solved kwani hata vitabu vya dini vinatoa solution inapotokea mwanandoa mmoja kuvunja kiapo cha ndoa ikiwemo uzinzi nini kifanyike.

Ila kukimbilia kutukanana ama kugombana na mchepuko ni kujishushia hadhi kama mke,kwani mchepuko naye ulitongozwa kama yeye na huenda unapendwa kuliko hata yeye mke.Mke adil na mumewe kwani ndiye waliyeingia naye mkataba wa ndoa na ndiye ana mahusiano naye,mchepuko hamuhusu kwa lolote.So sioni kosa la mchepuko so far,mwache ajimwayemwaye manake bwana kampa rungu hilo.
 
weee Rubuye123 like Serious? Dena kama nilisikia lakini Kongosho hapana jamani,,,
Sina hakika ndugu yangu..
Michano ya kina Nguli,mbwembwe za Yo Yo,Balantanda,Lizzy,fisadi,Rejeao,Joka,Mkandala,Masanilo,Fidel80...zamaaaani.ambapo mada yenye “matusi” ingejadiliwa kwa staha kila mtu akafurahi.zamani ambazo kama haina uhakika na uelewa wako kwenye mada usingethibutu ku post.Imekua miaka kumi na.. sasa.Time flies man!
 
Kweli kabisa mkuu. Kwa wengine kama sisi ni more than a decade. Nikiingia humu napata tabu nichangie wapi!
Sina hakika ndugu yangu..
Michano ya kina Nguli,mbwembwe za Yo Yo,Balantanda,Lizzy,fisadi,Rejeao,Joka,Mkandala,Masanilo,Fidel80...zamaaaani.ambapo mada yenye “matusi” ingejadiliwa kwa staha kila mtu akafurahi.zamani ambazo kama haina uhakika na uelewa wako kwenye mada usingethibutu ku post.Imekua miaka kumi na.. sasa.Time flies man!
 
Bonge la summary umetuwekea.
Kwa hiyo bibiye Da Sophy kapata vifuatavyo kutoka kwa mume wa mtu:
  1. Watoto
  2. Anasomeshewa watoto katika shule nzuri
  3. Watoto wake wamenunuliwa viwanja
  4. kahongwa 'kistaleti', japo mwenyewe anadai kajinunulia kwa biashara zilizotokana na kumdanga huyo mume wa mwenzie
Anajaribu kumshawishi mke halali akubaliane na hali kuwa hao watoto wa mke halali na hao wa hawara wote ni ndugu wa baba mmoja, hivyo wanastahili haki sawa. Sijui kama inawezekana kupata haki sawa kwa njia hiyo.
Naogopa kutoa maoni kwa uwazi sana kwa kuwa naelewa hata humu jf kuna watoto wa mahawara kwa hiyo watajisikia offended na maoni yangu. Lakini naona kauli za huyu hawara Sophy pia ziko very offensive kwa mke halali na hazijengi udugu baina ya hao watoto anaodai ni ndugu. Anasema hapiganii urithi, so anachotafuta ni nini? Si anyamaze alee hao watoto wake?
Au mtu akishakuwa hawara kuna upunguani fulani unamwingia anajiona kuwa ni lazima aweke ligi na mke halali?
Namshangaa pia huyo mwanaume wake. Ni kweli kuna wakati wanaume huwa tunaghafilika na kukamata lihawara huko, lakini kwangu mimi sababu namba moja ya kumtosa hawara ni pale atakapoanza kuniletea dharau nyumbani, yaani huyo ni wa kufyekelea mbali kama noma na iwe noma aende hata ustawi wa jamii huko nitapeleka matunzo. Jinga sana hili!
 
Hahahahah hapa naona mchepuko anamtambia mke mwenye cheti le waifu matirio.

Chanzo ni mwanaume (mume)anayempa kibri mchepuko hadi kufikia kumdharau mwenye cheti chake(mke wa ndoa).Na mwenye cheti badala ya kudeal na source ya tatizo,ambaye ni mumewe ameanza kuuattack mchepuko,so mchepuko unajibu mashambulizi.

Thats y mara zote nasema kibongobongo ndoa si heshima,ni kukimbia kusemwa vibaya mtaani ilhal hawakulishi,hawakulishi,hawakusomeshei watoto,so kwanini wakuumize? mwanamke ishi maisha yako usikubal jamii idefine your life kwani hawana impact kwenye maisha yako.

Inshort Mama mjengo aka le waifu alipaswa adeal na mumewe then problem solved kwani hata vitabu vya dini vinatoa solution inapotokea mwanandoa mmoja kuvunja kiapo cha ndoa ikiwemo uzinzi nini kifanyike.

Ila kukimbilia kutukanana ama kugombana na mchepuko ni kujishushia hadhi kama mke,kwani mchepuko naye ulitongozwa kama yeye na huenda unapendwa kuliko hata yeye mke.Mke adil na mumewe kwani ndiye waliyeingia naye mkataba wa ndoa na ndiye ana mahusiano naye,mchepuko hamuhusu kwa lolote.So sioni kosa la mchepuko so far,mwache ajimwayemwaye manake bwana kampa rungu hilo.
Ninachoshangaa hapa ni hiki: Mwanaume anakuwa wapi mkewe anapotukanwa hivi na mchepuko? Na anajisikiaje? Ameshindwa kuudhibiti huo mchepuko? Haoni kuwa hata yeye anakosewa heshima kwa kutangazwa mtandaoni hivi, mtu akisoma posts zote hizi kama ana ukaribu fulani naye atajua kabisa anayezungumziwa hapa ni fulani. Aibu.
Au tuseme ni kweli kuwa uchawi upo.
 
Back
Top Bottom