Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,948
- 74,431
Na ndio umri akili imetuliaHuo ndio umri wake sahihi.. Hatujapishana sana
Na ndio umri akili imetuliaHuo ndio umri wake sahihi.. Hatujapishana sana
Mimi pia nimemaliza 4M4 na 20 yrs na tulikuwa na classmate yupo na 28 yrsSiyo ajabu. Mimi nimemaliza form 4 nikiwa na 38. 🤣🤣🤣🤣
Punguza na kupigisha fimbo yako pia.Mazoezi muhimu Ila kiufupi unakua vizuri Sana , nafikiri na wewe unaingia katika category ya akina polepole ya watu ambao hauwezi kukadilia umri wao
Moja ya historia ya Humphrey ktk elimu ni kuungaunga sana waliwahi jibizana na Ado Shaina juu ya hiliNinavyojua mwamba kamaliza form 4 Azania mwaka 2000, yaani miaka 25 iliyopita, kama ana miaka 55 now manake alimaliza f4 akiwa na miaka 30???
Ameshafikia umri wa kikatiba wa kugombea uraisWakuu, nilikua nimechill na jamaa yangu hapa tunajiuliza huyu Gwiji atakua na umri gani kutokana na muonekano wake. Sisi tulidhani anaweza kuwa kwenye 46 yrs.
Ikabidi tuingie Google tukakutana na hii kwamba ana Umri wa miaka 55.
Je, Ni kweli kwa wale wanaomjua au ni Google imeingia chaka?
Ni swala la kutaka kujua mambo tu Nothing Personal.
Huyu Mwamba huwa namkubali sana toka Enzi za Katiba mpya akiwa na Mzee warioba na Joseph Butiku, huyu jamaa ana madini mengi kichwani ni mtu hasa.
View attachment 3406236
Hakuna kula hapo watu wanashinda njaa maana bora mboga ingekuwepo pamoja na kutoboa sufuria ugali ungelika tu kwa kuweka unga kwenye tobo alafu kitu kinasongwaMtu mzima kamwaga mboga, kazima moto, katoboa na sufuria.....
hakun yoyot chin ya jua anaweza shindan na mhimil uliojichimbia.i wonder what is he expcectingMtu mzima kamwaga mboga, kazima moto, katoboa na sufuria.....
Hakika Mkuu na ukijona upo fiti ukiwa na 50s ujue unaingia hadi 70 ukiwa fitiKama yule mama anajiita Mo finance kama sijakosea
Na watu wa hivyo huwa nondo sana.Moja ya historia ya Humphrey ktk elimu ni kuungaunga sana waliwahi jibizana na Ado Shaina juu ya hili
Angalia hilo jina asijekosea mtu akaandika au kutamka U.T.I badala ya G.T.IShikamoo Baba
Aah Eti kupigisha fimbo , Mkuu haya mambo ni blessing Mkuu maana dah kuna watu wanakua vizuri Sana .Punguza na kupigisha fimbo yako pia.
Mhimili my foothakun yoyot chin ya jua anaweza shindan na mhimil uliojichimbia.i wonder what is he expcecting
Sema wewe ulitisha polepole mwenyewe haoni ndaniSiyo ajabu. Mimi nimemaliza form 4 nikiwa na 38. 🤣🤣🤣🤣
Mimi watu wakiniona wanadhani nina 25🤭kumbe 11 zaidiHakika Mkuu na ukijona upo fiti ukiwa na 50s ujue unaingia hadi 70 ukiwa fiti
Mzee wangu yupo 70s Ila kimuonekano Kama ana 50s .
Na hii imenifanya kujifunza mambo mengi
Aaah, je ni kweli Kama wanavyosema wadau ukipunguza kupiga mkwaju unakua vizuri ?Mimi watu wakiniona wanadhani nina 25🤭kumbe 11 zaidi
Heshima yako ankoHuo ndio umri wake sahihi.. Hatujapishana sana
Age go anko 🙏🏿🙏🏿🙏🏿Heshima yako anko
Labda mwl wake wa form 3 alikuwa mdogo kwake? zamani shule zilikuwa hazingatii umri, mimi nimesoma na mabraza yaani nina miaka 16 form one, wenyewe wana miaka 20Sio kweli.
Leo nilikuwa na mwalimu wake wa F3, mwalimu ana miaka 52
Sawa sawa 🤝Age go anko 🙏🏿🙏🏿🙏🏿