Umri wa Humphrey Polepole

Umri wa Humphrey Polepole

From 4 mwk 2000 atakuwa alimaliza na twenty sio 30

Ausiyo sijui umenielewa ndugu
Wewe jamaa una confidence sana yaani unamrekebisha mtu kwa kujiamini kabisa alafu Bado umeingia chaka........2000 kutoa 1970 inakunja 30 mkuu
 
Kuna wakati nikikumbuka umri wangu huwa napata shida sana. Age go halafu ninayaona ya kufanya hayajakamilika. Ninachoka hadi nakosa hamu ya kula.🤗🤗
Nakuombea its never too late.. Sometimes watu hutoboa uzeeni
 
Mtu mzima kamwaga mboga, kazima moto, katoboa na sufuria.....
Amumjui Samia bushiri nyinyi 😁😁😁 alicho kifanya Polepole ni sawa na kuvujisha picha za ngono za gigy money mtandao kisha kudhani umemkomoa ....siku mkijua kuwa samia bushiri anakiburi cha upumbavu uliotukuka ndiyo mtajua ninacho sema....😁😁😁
 
Na mazoezi father
Kwenye Lishe kweli kabisa nadhani hii inawezekana ikawa na ufanisi .

Maana hawa watu ambao hawakui ukizingatia upande wa vyakula wapo very selective na wanakula chakula kinachohitajika .

Mkwaju unasingiziwa bure ikiwa utapiga mkwaju then lishe ikawa inasua sua hapo italeta shida
 
Kije
Kumbe ni kijeba haswa! Nilidhani yupo kwenye 40s!

Kachelewa sana kuingia kwenye mfumo wa siasa za nchi hii,ni mchakato wa katiba mpya ndiyo umemtambulisha kwa wengi.
Kijeba, kijeba Neno la zamani,nawe ni kijeba Nini?!
 
Back
Top Bottom